DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Muamuzi wa Yeye aende au asiende ni Rais...Rais Mstaafu yuko Chini ya Rais aluyepo madarakani..Ebu mda mwingine tuwe tunashirikisha akili zetu vizuri alizotujaalia Mwenyezi Mungu,hivi kweli late Mkapa kwa pesa alizokuwa nazo alishidwa kwel kwenda south kwa matibabu kwa vile magu alikataaa yeye kwenda soutg
Hta sasa Kikwete akiumwa Mwenye Kuamua Apelekwe Wapi ni Rais Samia