Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Hahaahaaaa! Legend atabaki legend tu. Wabaya wanajaribu kuzika legancy kila siku lakini wapi!

Legend hakuwahi kushindwa.... Miaka 20 anashinda ubunge, mara mbili anashinda uraisi, kafa anawashinda wafitini. Hadi leo mnajaribu kuua jina lake lakini hata jina linawashinda.
Hovyo kabisa
 
fred alipigwa risasi na mlinzi wake akiwa camp, m7 akatuma binamu yake kumchukua hyo mlinz ili apelekwe ug kwa mahojiano zaid, wakiwa mpakan mwa rwanda na ug mlinzi akapigwa risas akafa, mpaka leo ukihoji kifo cha fred unawekwa sehemu salama fasta.
 
CCM inabaki madarakani kwa kutumia mtutu wa bunduki na wala sio kwa sababu watu wananunua vitabu vya yeriko na kabendera usijitoe ufahamu mkuu
 
Watanzania wengi ni low IQ, Kila upepo unapovumia na wenyewe huko huko. πŸ™‚πŸ™‚
 
UBUNGE ASHAPIGWA MARA MBILI

Mnamo mwaka 1985,Mwalimu wa kemia wa shule ya sekondari Sengerema JOHN POMBE MAGUFULI aligombea ubunge wa Jimbo la biharamulo akichuana na mkulima PHARES KABUYE (wote CCM). PHARES KABUYE alishinda na kutangazwa kuwa mbunge JOHN POMBE MAGUFULI akarudi Sengerema kuendelea na majukumu yake ya kila siku ya ualimu (alirudi kufundisha

Mnamo mwaka 1990 Mwalimu JOHN POMBE MAGUFULI alichuana Tena na mkulima PHARES KABUYE kwa mara ya pili. PHARES KABUYE alimshinda tena JOHN POMBE MAGUFULI akafanikiwa kukitetea kiti chake
 
Nadhani kuna kitu zaidi Kabendera ana Conspire

Kuna drama nyingi sana zimechezwa kwenye hicho kitabu
Niko kijijini huku bado nakula raha, vipi Kabendera hajamtaja Ridhiwani na lile sakata la makontena ya madawa ya kulevya China na jinsi baba yake alivyokwenda kumuokoa kwenye kitanzi asinyongwe usiku usiku. Dogo kalitia taifa hasara kubwa sana wakati hana faida yoyote ndani ya hii nchi!
 
Aiseeeee
 
Dah huo ulikuwa uongo wa zamani kweli. Ilikuwa 2010 hadi 2013 tukawa tunatumia email zenye maelezo hayo.
 
Mbona wanao tajwa kwenye kitabu hicho hawajitokezi kukanusha yaliyo ndani ya kitabu hicho?
Hiyo ni inshara ya kuwa kilicho andikwa ni kweli.
Usitake kupoteza lengo jiwe alikuwa mtu wa hovyo.
 
HACHAFUKI HACHAFULIWI !
Tumeshakataa Watanzania wema kuburuzwa na Mafisadi na wabadhirifu wa mali za Umma !
HACHAFUKI HACHAFULIKI πŸ™πŸ˜³
Regasi iko pale pale hata Prof Lumumba wa Kenya anajua hivyo πŸ™πŸ™ŒπŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…