Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 661
- 2,204
Kumbuka alitekwa na binadamu...Unaweza kuthibitisha hayo yaliyo andikwa?....Usisahau kuwa hicho ni kitabu tu kimeandikwa na binadamu kama wewe so akili kumkichwa...Yawezekana/sivyo.
Na uchunguzi hauko wazi. ..na ulifanyika na binadamu ...
Kumbuka akili kumkichwa kwa aina ya Serikali tulionayo