Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Magufuli aliambiwa kuhusu ugonjwa wa Mkapa, ilikuwa Covid 19 ina msumbua na alikuwa na hali mbaya sana, madaktari na familia waliomba apelekwa Afrika ya Kusini kupata matibabu sahihi kutokana na hali yake kuwa mbayaMagufuli akakata kutoa ruhusa ya matibabu mpaka kifo kilimpomkuta wakasema ni homa ••IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Ebu mda mwingine tuwe tunashirikisha akili zetu vizuri alizotujaalia Mwenyezi Mungu,hivi kweli late Mkapa kwa pesa alizokuwa nazo alishidwa kwel kwenda south kwa matibabu kwa vile magu alikataaa yeye kwenda soutg
 
Mbona wanao tajwa kwenye kitabu hicho hawajitokezi kukanusha yaliyo ndani ya kitabu hicho?
Hiyo ni inshara ya kuwa kilicho andikwa ni kweli.
Usitake kupoteza lengo jiwe alikuwa mtu wa hovyo.
Kuna kitu kinaitwa burden of proof, hii ni kanuni kwenye sheria inayotaka anaetoa tuhuma kuthibitisha hizo tuhuma na sio anaetuhumiwa.

Sasa wewe umeibua tuhuma zako huko unatakiwa ulete na ushahidi pia wa kuthibitisha hizo tuhuma ulizoziibua na sio wajibu wa unaemtuhumu. Anaetuhumiwa sio lazima ajitokeze kukana, hata akinyamaza tu ni ishara kwamba amekataa na kukana hizo tuhuma, sasa wewe unatakiwa ulete ushahidi kuthibitisha zaidi ili mtuhumiwa aonekane anakataa tu bila sababu.

Tuhuma zisizo na ushahidi ni uzushi na umbea tu kama umbea mwingine.
 
Nyie wagumba, matasa na mahanithi msiozaa huwa mna shida sana. Sasa lengo la kusema na kusisitiza ana watoto 27 ni nini?😀😀😀
Mkuu matusi yote ya nini hayo?!
Ugumba, uhanithi, utasa namshukuru Mungu sikuwahi pitia hayo hadi muda huu wa uzee, ikiwa hata kuzaa nilishastop miaka sasa.

Huu uzi watu wanaweka vitu walivyokutana navyo kwenye kitabu nami nimeweka hilo la watoto 27...
Hata kama angekuwa na wanne au 12 ningeweka pia.
 
CCM inabaki madarakani kwa kutumia mtutu wa bunduki na wala sio kwa sababu watu wananunua vitabu vya yeriko na kabendera usijitoe ufahamu mkuu
Kama mtu unaweza kununua kitabu cha Yerico Nyerere, ccm inahitaji mtutu wa bunduki wa nini kuendelea kubaki madarakani?

Kama una akili za kununua kitabu cha Yerico basi ccm hawana sababu ya kutafta mtutu, hata manati haihitajiki, labda makofi.
 
Madai mengi ya huyo Kabendera hayaingii akilini kabisa.

Yanajenga picha ya Magufuli kuwa alikuwa mwehu na mwendawazimu kabisa licha ya kuwepo serikalini kwa zaidi ya miaka 20 ambapo alipanda vyeo mpaka kufikia kiwango cha uwaziri.

Napata shida sana kuamini mengi aliyoyaandika.

Mengi aliyoyaandika ni tabloid-ish.
 
###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###

Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,

Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu

Nawakumbusheni msome kitabu
 
Attachments

  • JamiiForums839866055.jpeg
    JamiiForums839866055.jpeg
    50.6 KB · Views: 2
###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###

Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,

Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu

Nawakumbusheni msome kitabu
 
Watanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂.

Ndio maana ccm inaendelea kua madarakani miaka na miaka na hakuna wanachokifanya cha kimaendeleo lakini wanaendelea tu kwa sababu watu wa kuwatoa hawapo maana ccm imekua ikiwadanganya na kuwafukarisha kwa miaka zaidi ya 60 na bado wanaichagua.

Nadhani Tanzania ni nchi yenye binadamu wa aina yake Duniani, special human species.
Wewe bwana nani anaichagua ccm, unawalaumu wananchi bure wakati dunia nzima inafahamu kwamba ccm hawashindagi kura bali ni wizi wanafanya na ndio maana tume ya uchaguzi ni mali yao na wanaitumia kwa makusudi ya kuwabakiza madarakani.
 
Ebu mda mwingine tuwe tunashirikisha akili zetu vizuri alizotujaalia Mwenyezi Mungu,hivi kweli late Mkapa kwa pesa alizokuwa nazo alishidwa kwel kwenda south kwa matibabu kwa vile magu alikataaa yeye kwenda soutg
Dah kusoma na kuelewa huwa ni vitu viwili tofauti, ni wapi ameongelea habari ya Mkapa kukosa hela ya kujitibu?

Umeambiwa alinyimwa kibali sio pesa,

Kipindi cha Magufuli kutoka nje ya nchi hii ni lazima upate kibali chake.

Na alifanya hivyo makusudi baada ya Mkapa kusema kwenye nchi hii hamna mtu ataongeza muhula mwingine zaidi ya miaka 10 akiwa hai

Aliyasema haya siku anazindua kitabu chake

Kwa roho ya korosho ya jiwe naamini kabisa alimnyima kibali
 
Back
Top Bottom