Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Moja ya matukio ambayo yalikuwa staged kishamba hadi watu wakajua lilikuwa ni hili la Mo.

Ni mtu mjinga tu ndio ataamini eti Mo alitekwa na watu kutoka Afrika ya Kusini ambao eti hakujua wanaongea nini ila alitambua lugha yao!

Dikteta yule alikuwa mshamba sana, mtu kama halipi kodi duniani kote kama ushahidi upo huwa wanashikilia mali zake tu wala hawamgusi mtu hadi pale atakapolipa deni na faini juu au atapelekwa jela baada ya taratibu za kimahakama .
images (1).jpeg
download.jpeg
 
###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###

Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,

Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu

Nawakumbusheni msome kitabu
Mo aje akanushe au aseme ni kweli. Tupate kuamini kitabu
 
Mna siri jamani…Bank gani hiyo….
Waitaje hiyo Bank. Mtu ambaye alikuwa ametekwa wanaruhusuje atoe fedha nyingi tena mida ambayo sio ya kazi.

Bank kuu ikiwezekana iipige faini kubwa hiyo bank na maafisa wake wachukuliwe hatua. Financial sysytem zinahitaji kulindwa kwa gharama kubwa sana.

Hivi baada ya kujua matajiri wote ama wateja wakiamua kuondoa fedha benk unadhani nini kitatokea.

Tuna mifumo ya hovyo sana ya kibenki ndiyo maana kila taasisi inaweza kuingilia taarifa za wateja.
 
Hahaahaaaa! Legend atabaki legend tu. Wabaya wanajaribu kuzika legancy kila siku lakini wapi!

Legend hakuwahi kushindwa.... Miaka 20 anashinda ubunge, mara mbili anashinda uraisi, kafa anawashinda wafitini. Hadi leo mnajaribu kuua jina lake lakini hata jina linawashinda.
Hovyo kabisa
Nyie ndio wachawi wenyewe
 
###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###

Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,

Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu

Nawakumbusheni msome kitabu
Kitabu hiki Kitafikaje na lini mikoani? Kama muhusika yupo humu atujuze.
 
Dr Abbas aliwapigia Mwananchi media kufuta video ya interview ya mama yake KabenderaMwananchi walizuiwa kuchapisha hiyo story kwenye magazeti yaoWaandishi wa habari wengi sana wamewahi pigiwa simu za vitisho na Dr AbbasKwa sasa Dr Abbas bado ni katibu Mkuu kwenye hii serikali ya Samia, huyu ni mtu amefanya mambo ya ajabu sana ndani ya utawala wa MagufuliWahandishi wa Habari mliotishwa na Dr Abbas kwa nini bado mko kimya?Dr Abbas aligeuka kama mhariri wa magazeti yote nchini kwa kutumia simu • • • IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Aseeee
Kaaazi kweli kweli
 
Kwamba Fingerprint ya Mo ilikuwa inatakiwa kutoa hizo Pesa ? Yaani watu wenye Power ya kuteka, kufreeze akaunti na kupigia mameneja wakae mpaka jioni kutoa pesa wanashindwa kushinikiza pesa iwe transferred popote wanapotaka au wakati wowote wanaotaka ?

This is insulting our intelligence...
Trails mkuu, Akitoa mwenyewe, ametoa mwenyewe tu.
 
Madai mengi ya huyo Kabendera hayaingii akilini kabisa.

Yanajenga picha ya Magufuli kuwa alikuwa mwehu na mwendawazimu kabisa licha ya kuwepo serikalini kwa zaidi ya miaka 20 ambapo alipanda vyeo mpaka kufikia kiwango cha uwaziri.

Napata shida sana kuamini mengi aliyoyaandika.

Mengi aliyoyaandika ni tabloid-ish.
Kwa nchi yetu na siasa zake lolote linawekana. Ukishakuwa kiongozi ni mungu mtu unafanya lolote lile
 
###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###

Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,

Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu

Nawakumbusheni msome kitabu
wapumbavu a.k.a wanyonge wa magufuri uwezo wa kusoma vitabu hawana
 
kwa hili la kununua vitabu na kusoma hata kikiwa kimeandikwa na nani, mjinga ni wewe usiyependa kusoma.
Dhima ana dhamira ya kununua na kusoma kitabu ni kuongeza maarifa maana maarifa yamefichwa kwenye maandishi hivyo lazima usome vitabu ili kuyapata hayo maarifa yaliyofichwa kwenye maandiko ama maandishi.

Shida inakuja pale unaponunua kitabu ambacho hata ukisoma hupati maarifa yoyote ya maana, bora hata ungecheza karata huo muda uliopoteza kusoma kitabu kisicho ma maudhui yoyote ya maana.
 
Back
Top Bottom