Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Moja ya matukio ambayo yalikuwa staged kishamba hadi watu wakajua lilikuwa ni hili la Mo.

Ni mtu mjinga tu ndio ataamini eti Mo alitekwa na watu kutoka Afrika ya Kusini ambao eti hakujua wanaongea nini ila alitambua lugha yao!

Dikteta yule alikuwa mshamba sana, mtu kama halipi kodi duniani kote kama ushahidi upo huwa wanashikilia mali zake tu wala hawamgusi mtu hadi pale atakapolipa deni na faini juu au atapelekwa jela baada ya taratibu za kimahakama .
 
Mo aje akanushe au aseme ni kweli. Tupate kuamini kitabu
 
Mna siri jamani…Bank gani hiyo….
Waitaje hiyo Bank. Mtu ambaye alikuwa ametekwa wanaruhusuje atoe fedha nyingi tena mida ambayo sio ya kazi.

Bank kuu ikiwezekana iipige faini kubwa hiyo bank na maafisa wake wachukuliwe hatua. Financial sysytem zinahitaji kulindwa kwa gharama kubwa sana.

Hivi baada ya kujua matajiri wote ama wateja wakiamua kuondoa fedha benk unadhani nini kitatokea.

Tuna mifumo ya hovyo sana ya kibenki ndiyo maana kila taasisi inaweza kuingilia taarifa za wateja.
 
Nyie ndio wachawi wenyewe
 
Kitabu hiki Kitafikaje na lini mikoani? Kama muhusika yupo humu atujuze.
 
Aseeee
Kaaazi kweli kweli
 
Trails mkuu, Akitoa mwenyewe, ametoa mwenyewe tu.
 
Kwa nchi yetu na siasa zake lolote linawekana. Ukishakuwa kiongozi ni mungu mtu unafanya lolote lile
 
wapumbavu a.k.a wanyonge wa magufuri uwezo wa kusoma vitabu hawana
 
kwa hili la kununua vitabu na kusoma hata kikiwa kimeandikwa na nani, mjinga ni wewe usiyependa kusoma.
Dhima ana dhamira ya kununua na kusoma kitabu ni kuongeza maarifa maana maarifa yamefichwa kwenye maandishi hivyo lazima usome vitabu ili kuyapata hayo maarifa yaliyofichwa kwenye maandiko ama maandishi.

Shida inakuja pale unaponunua kitabu ambacho hata ukisoma hupati maarifa yoyote ya maana, bora hata ungecheza karata huo muda uliopoteza kusoma kitabu kisicho ma maudhui yoyote ya maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…