Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Kama alikuwa na uwezo wa kugharamia matibabu binafsi kibali cha kutoka nje ya nchi kilihitajika kwa minajili gani?

Mbona mimi nilikuwa nasafiri nje ya nchi bila kuomba kibali toka kwa yeyote yule. Sembuse Rais Mkapa na connections zote alizonazo?

Make it make sense.
Tatizo halikua kutoka Nje.

Shida ni anaenda kutibiwa COVID 19, Of which yeye anasema haipo imeondoka na maombi ya siku tatu.

Na kabla ya hapo, alisema tujifukize
 
Nadhani kabendera ame target wateja na hadhira yenye uwezo mdogo wa kufikiri na kupembua mambo.

Mythology aliyoitumia amefanikiwa sana, hasa humu jamiiforums ambamo panajulikana kama "The home of great thinkers".

Huwezi kuorodhesha mythical premises kama hizo zisizo na clear justifications halafu Kuna watu wana consume bila kujiuliza.

Kwamba Mo Dewji alitekwa Ili wakatoe pesa benki na maafisa wa serikali ya Magufuli? 🤣🤣🤣

Kwa taarifa yenu tu! Serikali inaweza kuchukua au ku freeze account yoyote ya pesa bila hata kumhitaji mhusika kwa kumteka.

Tumieni akili, simtetei Magufuli lakini pia siwezi kudanganywa kirahisi namna hii kwa sababu najua ninachokisema.

Hiki kitabu hakina tofauti na Ile "Takataka" Fulani ya bwana yericko.

Wataalamu wa mambo najua mnanielewa.
Sasa mkuu kama serikali wakichukua PESA ya mtu bank auoni iyo pesa inauwezekano mkubwa wa kurudi ..as long as PESA ili wekwa bank na vidhibitisho vipoo..
 
Dhima ana dhamira ya kununua na kusoma kitabu ni kuongeza maarifa maana maarifa yamefichwa kwenye maandishi hivyo lazima usome vitabu ili kuyapata hayo maarifa yaliyofichwa kwenye maandiko ama maandishi.

Shida inakuja pale unaponunua kitabu ambacho hata ukisoma hupati maarifa yoyote ya maana, bora hata ungecheza karata huo muda uliopoteza kusoma kitabu kisicho ma maudhui yoyote ya maana.
Bora hichi kitabu au kile cha How Europe Underdevelop Africa?????
 
Kabendera amenichekesha sana anaposema kuwa Mo alikuwa anapelekwa bank ili aweke finger print watoe pesa hahahahaha hakika Erick ni mwehu yani watu wenye mamlaka ya kufunga account ya pesa ya mtu na kuchukua pesa wahangaike na wewe kukupeleka bank ili wakatoe pesa hahahaha hakika hichi ni kituko
Wewe ni mshenzi kama huyo fala na mshenzi wako ******** !
Unachobisha hapo ni nini na akili yako ndogo hiyo yenye kamasi
Kwani hujui kwamba Mo ni international icon na kuna jinsi ya kumlazimisha kuwithdraw pesa kwa njia tofauti na watu wengine wa kawaida ? , Hujui kwamba kuna repricautions ambazo huyo mjinga ******** na utawala wake wa vilaza alikuwa anazikwepa hasa kwa WTO na organisation nyingine ,kama wangegundua kwamba Mo pesa zake zimetaifishwa kingewaka na hata na Makampuni mengine kuacha kabisa kufanya biashara humu na kukimbia
Kabendera ana akili kuliko ninyi wapumbavu ,misukule ya ccm na ******** aka mataga
Takataka kabisa ninyi
Magufoool alikuwa ni mwehu na alifanya vile ili kupata fingerprints za MO ili ionekane MO alitoa hizo pesa kwa idhini yake ili kukwepa scrutiny ya international community , pumbavu Sana huyo .
 
Magufuli aliambiwa kuhusu ugonjwa wa Mkapa, ilikuwa Covid 19 ina msumbua na alikuwa na hali mbaya sana, madaktari na familia waliomba apelekwa Afrika ya Kusini kupata matibabu sahihi kutokana na hali yake kuwa mbayaMagufuli akakata kutoa ruhusa ya matibabu mpaka kifo kilimpomkuta wakasema ni homa ••IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Acha bc
 
Kwa hiyo unatuaminisha kuwa Mkapa alihitaji kibali cha Jiwe ili kusafiri?
Mbona wafanyakazi tu wa serikali walikuwa wanapata vibali vya kutoka utumishi na wakawa wanasafiri?

Mimi nafikiri mwandishi na sisi wasomaji, tungejikita kwenye kutafuta ukweli. Tusilazimishe vitu fulani vinavyofanya jiwe aonekane mbaya sana au mzuri sana kuliko alivyokuwa.
Mkuu shida sio kusafiri, shida ilikua kusafiri kwenda kutibiwa COVID 19.

Kwa vile Jiwe aliamini VOVID 19 ni propaganda za mabeberu, ingekua ni aibu kwake kwa jumuia ya kimataifa kuona Rais mstaafu anaumwa na kutibiwa COVID 19 SA.

Kwa logic ya kawaida ni lazima alikataa.

Kwani ni mara ngapi, Hospitalini walikataliwa kusema unaumwa COVID bali ni changamoto ya upumuaji?

Kama aliweza kuwazuia, watu wenye taaluma yao kulizungumzia COVID hapa ndani angeweza kuruhusu Ben akatibiwe nje? Vyombo vya habari vya kimataifa vingeandikaje
 
Mimi nimechoka hapo baada ya kifo cha Magufuli, Kulikuwa na 50Kgs za dhahabu hapo Ikulu,
Ikabidi zisafirishwe kwenda Chato na baadhi ya maafisa, Kule kulikuwa na strong room iliyokutwa pia mahela kibao.

Jamaa waliosafirisha mzigo, baada ya kukabidhi wakiwa wanarudi Dar wakapata ajali wakafa, taarifa ikatoka walikuwa wamelewa.

Mke wa mmoja wao akakana mumewe hajawahi kunywa pombe huo ulevi kaanza lini?.

Mambo yakaishia hapo

Dunia imebeba mengi sana.
Duh watu mna siri
 
Mama yangu ni mwalimu mstaafu, nilivyomsimulia baadhi ya tuhuma hizi aiseee alijibu ni wajinga tuu watakaoamini huu uzushi tena wa kiwango kidogo sana, mama yangu ni mwalimu mstaafu ila ana high IQ kuliko hata hawa wanaojiita great thinkers wanaoamini uongo wa wazi wazi. Kitabu kimejaa mauongo hata mtoto wa form one aliye smart kichwani hawezi kuamini
Kwa hiyo watu wasiamini kitabu ila wamuamini mama yako.
 
Dah kusoma na kuelewa huwa ni vitu viwili tofauti, ni wapi ameongelea habari ya Mkapa kukosa hela ya kujitibu?

Umeambiwa alinyimwa kibali sio pesa,

Kipindi cha Magufuli kutoka nje ya nchi hii ni lazima upate kibali chake.

Na alifanya hivyo makusudi baada ya Mkapa kusema kwenye nchi hii hamna mtu ataongeza muhula mwingine zaidi ya miaka 10 akiwa hai

Aliyasema haya siku anazindua kitabu chake

Kwa roho ya korosho ya jiwe naamini kabisa alimnyima kibali
Duh
 
Magufuli walikosana na Kagame kutokana na Kagame kufunga mpaka wakati wa Covid 19Magufuli alimpigia Kagame wakaongea kisha akasema huyu anatumika na mabeberu ndio ukawa mwisho wa mahusiano yao••IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Ya kweli hayo? Mbona nahamasika kukitafuta hicho kitabu?
 
Wewe ni mshenzi kama huyo fala na mshenzi wako ******** !
Unachobisha hapo ni nini na akili yako ndogo hiyo yenye kamasi
Kwani hujui kwamba Mo ni international icon na kuna jinsi ya kumlazimisha kuwithdraw pesa kwa njia tofauti na watu wengine wa kawaida ? , Hujui kwamba kuna repricautions ambazo huyo mjinga ******** na utawala wake wa vilaza alikuwa anazikwepa hasa kwa WTO na organisation nyingine ,kama wangegundua kwamba Mo pesa zake zimetaifishwa kingewaka na hata na Makampuni mengine kuacha kabisa kufanya biashara humu na kukimbia
Kabendera ana akili kuliko ninyi wapumbavu ,misukule ya ccm na ******** aka mataga
Takataka kabisa ninyi
Magufoool alikuwa ni mwehu na alifanya vile ili kupata fingerprints za MO ili ionekane MO alitoa hizo pesa kwa idhini yake ili kukwepa scrutiny ya international community , pumbavu Sana huyo .
Magufuli ipo censored?
 
Back
Top Bottom