Kama unatazama majina ya CEOs kwa DINI zao unaweza kuwa sahihi kabisa. Hofu yangu ni kwamba hautaishia hapo tu kwenye dini za wahusika. Itabidi utazame na MAKABILA yao pia. Kwa nini Wachagga ni wengi kwenye hizi ajira; kwa nini Wakurya walikuwa wengi Jeshini; Kwa nini Wakurugenzi wengi kwenye Halmashauri ni akina Mapunda,...,na mambo yanayofanana na hayo.Mkuu kanisa lina mikono kuanzia serikalini hadi kwenye mashirika nyeti kama TRA, BOT nk...siku zote walikuwa wanaoperate kimya kimya thru CEOs na Wakurugenzi Waajiri ndiyo maana Ratios kwenye ajira tofauti zake ni mbingu na ardhi hata kwa wafanyakazi wahudumu!!! so ile hoja eti waislam hawajasoma ni kaputi kwakuwa nafasi zilizokuwa za STD VII hadi kidato cha nne wameshika wao kutokana na upendeleo wa HR waliowekwa strategically na Kanisa...Kama alivyosema Lisu, Ukweli lazima utaibuka tu hatakama itakuwa imechelewa kwa muda gani... Ili kuepusha machafuko kwa nchi hii dawa ni kujenga Jamii yenye fursa sawa kwa wote kama walivyofanya wenzetu wa nchi za ASIA or Mashariki ya mbali...
Lisu Mjinga tu. Haelewi hata ngoma anayoicheza ni kwa manufaa ya nani.