Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

"Hivi sasa hisia za Uislam katika nchi yetu zinafukuta chini kwa chini na ndiyo maana tumekuwa na mauaji ya Mwembechai, Picha ya Ndege, na Kilindi na vijiji vya pembezoni mwake hivi karibuni na majuma mawili yalopita tu Waislam wamingiliwa msikitini (staili ya Mwembechai) na kupigwa na polisi. Kesi za masheikh zimekuwa maarufu Zanzibar na Tanganyikia."

Hivi ulisoma between the lines nilichoandika! Well, hata kama ndiyo uelewo wako ulivyo, But if my brains still serves me correct mauaji ya Mwemba chai yalifanywa na Alhaji Ali Hassan Mwinyi (Rukusa kula nguruwe , nyoka etc). Hao waislamu kuingiliwa msikitini kwa nguvu yamefanywa na huyo Kikwete wako unayeshadadia hapa JF, hao masheikh wa Zanzibar wanakamatwa na kufunguliwa mashitaki na wenzao hao 99.9%. BTW, hivi unaweza kunikumbusha mara ya mwisho IGP wa nchi hii mkristu alikuwa nani? Je ni sahihi pia wakiristu wakisema kwamba watu wanaochoma makanisa na shule zao mioto hawakamatiki kwasababu IGP ni mwislamu itakuwa sahihi? Waumi wa dini hii ya "Mwenyezi Mungu" hamkosi VIOJA. Kwahiyo fukuto hilo la chini chini la waislamu ndiyo maandalizi ya JIHAD kama ilivyo Boko Haram na Al Shabaab?
 
Habari mzee Said mimi naomba kuuliza tu huyo kiongozi wa Tanganyika aliyekuja znz na msalaba mzito wa dhahabu shingoni ni yupi huyo mzee wangu?
 
JINI NI NINI?
Katika lugha ya kiarabu, neno jini linamaanisha
kitu kilichofichwa au kisichoonekana QURAN
1:7.1 Neno hili hutumiwa na Waarabu kwa ajili
ya kutaja jina fulani. Kwa Waarabu, Jini
anayevaa sura ya kike humwita Jinivya, hivyo
majini Ghul/Ghilan, nao hujifunua kwa sura ya
kike.

Halafu kuna majuha watakuamini kuwa wewe unaujuwa kweli Uislaam.

Kwa hakika umejidhihirisha kuwa una hofu ya Uislaam zaidi ya William Lukuvi?

Pole sana.
 
Niliambiwa kuwa Mtu Mwenye kula Nguruwe huwa mropokaji, mpayukaji haya hana... Mag3 unakula Nguruwe? Kwanini Wasabato hawali?
Huyo Nyerere alikuwa anakula nguruwe,na akiingia ukumbini WAZEE wote wa gerezani wanasimama na kuitikia ndio baba hata kama wamemzidi umri-usicheze na akili
 
JINI NI NINI?
Katika lugha ya kiarabu, neno jini linamaanisha
kitu kilichofichwa au kisichoonekana QURAN
1:7.1 Neno hili hutumiwa na Waarabu kwa ajili
ya kutaja jina fulani. Kwa Waarabu, Jini
anayevaa sura ya kike humwita Jinivya, hivyo
majini Ghul/Ghilan, nao hujifunua kwa sura ya
kike.
Katika imani ya Kiislamu, wao huamni kwamba
Majini hutofautiana na Mashetani. Majini
waliosilimu wao huitwa majini mazuri na hawa
wakiwa katika hali kujionyesha kwa wanadamu,
hao huitwa AJINU na wale walioacha kusilimu
mwaka 610 AD (Baada ya Kristo) katika safari
ya mtume Muhamad alipotoka Taifa , wao
wanaitwa Mashetani . Hivyo, wao wanapokuwa
katika hali ya kutoonekana huitwa ALBAHATWA
lakini pia Majini wote wanapokuwa katika hali
ya kutoonekana waweza kuitwa ALBAHATWA,
yaani PEPO.
Muislamu huamini kwamba kuna majini ya kike
na kiume. Lakini pia , huamini kuwa Majini
huoana na kuzaliana QURAN 55:56 na kuwa
Majini huzaa sana kuliko binadamu na kwamba,
Jini mmoja anaweza kuzaa watoto 300, na
kuwa Jini huzaa watoto 3 hadi 4 kwa mkupuo.
Somo QURAN 55:26-28 na kuwa Majini
wanaweza kuishi miaka 400-1,000 kisha
wanaweza kufa. Tofauti yao na binadamu ni
kwamba wao wanaishi miaka mingi kuliko
binadamu. Lakini pia, huamini kuwa wapo
Majini wanaokula, wanaomeza, wanaokunywa,
ila tofauti yao na wanadamu ni kwamba wao
hula kwa kutumia mkono wa kushoto. Pia
hiamini kuwa Majini wana uwezo wa kuzaa na
Wanadamu. Soma QURAN 17:64. Waislamu
huamini kwamba mtu anauwezo wa kuoa au
kuolewa na Jini bila kujua, na mwanadamu
anauwezo wa kumuua Jini. Soma QURAN
57:14-15
SURATULJINN
Ndani ya QURAN pia imo sura inayoitwa
Suratuljinn ( QURAN 72 ). Sura hiyo huitwa
hivyo kwa sababu ni sura ya Majini (Mapepo).
Kwa nini wanatajwa Majini katika imani ya
Kiislamu?
Majini wanatajwa sana katika dini ya Kiislamu
kwa kuwa ni waislam kwa kusilimu, kwa
kuiamini Quran tukufu aliyopewa mtume
Muhamad.. Majini walisilimu na kuwa Waislamu
mwaka 620 AD(Baada ya Yesu) 72:1-14
QURAN. Hivyo basi, unapotumia neon jinni
maana yake unatumia lugha ya Kiarabu
ukimaanisha Pepo mchafu. Ni kama Spoon/
kijiko, vyote ni kitu kimoja. Ndani ya Quran,
neon “PEPO” limetumika kama Paradiso,
mbinguni. Lakini pia, tunapata neon jingine
liitwalo AKHERA ila neon hilo halimaanishi
PARADISO, bali kwa lugha ya Kiarabu neon hili
“AKHERA” lina maana ya KUZIMU. Lakini pia
ukiangalia ndani ya SURALJINN ( QURAN
72:1-2, 8-9, 12 ) Mapepo hawa wanajieleza
waziwazi kabisa kuwa mwanzo waliishi
Mbinguni, walipogeuka kwa kuasi, walitegwa na
Mungu. Linganisha na maandiko haya katika
Biblia ( UFUNUO WA YOHANA 12:7-9; YUDA
1:6-8; UFUNUO 20:10; UFUNUO 21:8 ). Kwa
mujibu wa dini ya Kiislamu, hawa majini
( Mapepo ) waliotegwa na Mungu Mbinguni
wakiwa Malaika huko na kutupwa Duniani
baada ya kuasi huko, sasa, wakati wa mtume
Muhamad katika safari yake ya kurudi Taifa
mwaka 620 AD (baada ya Yesu) wapo
walioamini na kuona kuwa Quran ni ya ajabu ya
kuwatangazia neema ya kuabudu. Katika vol
8-9, husema , wanapojaribu kwenda Mbinguni
( walikotoka zamani ), hukuta ile Mbingu
imezungushiwa vimondo vya moto. Hivyo, hudai
kuwa mbingu yao iko Akhera, yaani Kuzimu,
maana Mbingu ya juu ina moto na hawana
uwezo wa kwenda huko. SOMA ( QURAN 72:9 ),
Mbingu ina utisho wa moto ila Akhera
( kuzimu ) hakuna shida kwao .
Hivyo basi, kulingana na jinsi Allah asemavyo
ndani ya Quran kuwa nimeumba binadamu na
majini ili muniabudu ( QURAN 57:58 ; 51:56) na
kuwa , mbinguni mwao Majini wamo waabuduo
(Majini waliosilimu mwaka 620 AD ,SOMA
QURAN 72:14, ambao ni wema wanaosafiri na
kurithi uzima wa milele upatikanao Akhera
( Kuzi mu ). Lengo kubwa la Shetani na Majini
ni kufanya urafiki na wanadamu wengi ili kwa
wingi huo apate watu wengi wa kwenda nao
JEHANAMU ( QURAN 6:128 ). Jambo la
muhimu kujua hapa ni kwamba moto wa milele
hakuwekewa Mwanadamu bali ni Shetani na
malaika zake wote ( Majini au mapepo ). Hawa,
hawana nafasi tena ya kuungama au kutubu.
Yesu Kristo hakuwa na urafiki wowote na
Shetani wala Mapepo ( Majini ), aliyaamuru
kutoka ndani ya watu waliokuwa wakiteswa
nayo ( MATHAYO 8:29: MARKO 5 N,K

Nilushukuru sana kwa elimu yako ndugu na bila shaka ulipata kuwa muislam huko nyuma na ndio maana umeeza kuyajua yote haya.

Sasa mimi ombi langu ni moja tu nataka kujua juu ya hii inayoitwa ALBADIRI samahani kama sijaandika sahihi

Je hii sara anaweza kuomba muislam kwa mtu yeyote hata asiye muislam.

Je muislam anapoomba sara hiyo dua zake huzielekeza kwa nani ALLAH au JINI

Je sara hiyo hufanywa kwa matokeo yoyote kiwe kif,ugonjwa au ulemavu.

Je muislam ni mpaka atendewe nini ndipo aitumie sara hiyo je hata kwa tusi aweza kuitumia sara hiyo kukudhuru.

BACK TANGANYIKA
 
"kuna Waislam wananyanyua silaha kuilinda dini yao. Kama hivyo ni sawa au si sawa hilo tuwaachie maulamaa waamue."

Use your Common SENSE

Common sense ni grey area!

Yawezekana common sense yako weye, ni nightmare au comedy kwa mwangine!?

Sasa tumia sense kufahamu hili,Ok!?

Ahsanta.
 
Matawana,
Upo ushahidi vipi Kanisa linaongoza serikali.

Tatizo ni hofu ya marais wote kuukubali ukweli huu.

Kwa mtazamo wa KIDINI KWANZA kwa kila jambo uko sahihi Mzee Mohamed. Vinginevyo serikali yetu haina wala haiongozwi na DINI. Mungu wetu sote hana DINI.

Umemsikia Waziri Mkuu wa UK alichokisema juzi kuwa nchi ile ni ya Kikristo?
 
huu mjadala wa kihistoria wcha mimi niendelee kujifunza mema, mabaya nayaacha.
 
Safety,
Hapana haja ya kunitukana kwani mie sijatukana.
 
Nchi hii hakuna ubishi imejengwa juu ya uongo.Tufikiri kidogo.Hivi kwann kila jambo rejea ni kwa Nyerere?(sisemi asirejewe kabisa).Hivi ina maana watu kama Kawawa na wengine waliokua pamoja nao hawana lolote la kurejewa?Ukweli ni ukweli tu hata ufichwe kiasi gani utakuja kujulikana.Leo mdini Lukuvi anaweka wazi rangi yake ya udini na vhuki yake dhidi ya Uislam na Waislam.Tulipokua tunaandika kwamba kanisa lina mkono ktk uendeshaji wa nchi hii,wengi walitusema ooh sisis wadini,tunataka kuvuruga amani ya nchi na mengine mengi dhidi yetu.Leo mdini amejulikana na kasema wazi "tunataka kuwadhibiti Waislam"Lakini kosa letu ni nini au ni kua Waislam??
Mkuu kanisa lina mikono kuanzia serikalini hadi kwenye mashirika nyeti kama TRA, BOT nk...siku zote walikuwa wanaoperate kimya kimya thru CEOs na Wakurugenzi Waajiri ndiyo maana Ratios kwenye ajira tofauti zake ni mbingu na ardhi hata kwa wafanyakazi wahudumu!!! so ile hoja eti waislam hawajasoma ni kaputi kwakuwa nafasi zilizokuwa za STD VII hadi kidato cha nne wameshika wao kutokana na upendeleo wa HR waliowekwa strategically na Kanisa...Kama alivyosema Lisu, Ukweli lazima utaibuka tu hatakama itakuwa imechelewa kwa muda gani... Ili kuepusha machafuko kwa nchi hii dawa ni kujenga Jamii yenye fursa sawa kwa wote kama walivyofanya wenzetu wa nchi za ASIA or Mashariki ya mbali...
 
Umesema kweli mzee,kwa wale ambao yamewagusa haina maana kutoa matusi km wafanyavyo bungeni bali leteni hoja kupinga alichosema mzee Mohammed.Lazima tuwe waadilifu ili tuwe na amani chuki na ubaguzi hautatufikisha mahala.Na km kweli kuna chuki za kidini bac ni kinyume na mafundisho ya dini vitabu havijasema umdhulumu mtu kwakua haamini dini yako. Na ww kama unahoja ya kumwita ktk fini yako c kwachuki bali mpe hoja za wazi za kuonesha ukweli wa unachoamini. Na kwa yale yalipita solution tumrudie Mungu tusidhulumiane hapo tutaishi kwa amani.
 
JINI NI NINI?


Nilushukuru sana kwa elimu yako ndugu na bila shaka ulipata kuwa muislam huko nyuma na ndio maana umeeza kuyajua yote haya.

Sasa mimi ombi langu ni moja tu nataka kujua juu ya hii inayoitwa ALBADIRI samahani kama sijaandika sahihi

Je hii sara anaweza kuomba muislam kwa mtu yeyote hata asiye muislam.

Je muislam anapoomba sara hiyo dua zake huzielekeza kwa nani ALLAH au JINI

Je sara hiyo hufanywa kwa matokeo yoyote kiwe kif,ugonjwa au ulemavu.

Je muislam ni mpaka atendewe nini ndipo aitumie sara hiyo je hata kwa tusi aweza kuitumia sara hiyo kukudhuru.

BACK TANGANYIKA

Wee mgalatia aka Kafiri!

Tafadhali hayo masuali yako yoote hapa si pahala pake...au ndo mmeshindwa hoja za maana,na kama dasturi yenu mnakuja kumuharibia thread yake Maalim Mohamed Said!? Daah!

Hii yaonyesha udhaifu na woga mkubwa mlionao!...yaani mlizoea kubebwabebwa takriban katika kila nyanja na yule haramia mnafiki Nyerere!...na mlisahaulishwa kuishi katika mazingira ya mijadala ya kitaaluma au kukosolewa unyama wenu,sio!?

Kwa kifupi, peleka hayo masuali yako kule jukwaa la udini wapo akina Gavana,Ally Kombo,Kahtaan na Maulamaa wangine...nina hakika watakupa tu mipini mizuri na utaridhika, au!?

Ahsanta sana!
 
Kitabu cha "Kwaheli Ukoloni Kwaheli Uhuru" cha Dr.Harith Ghassany, kumbe kilipigwa marufuku Zanzibar, juzi kwenye bunge la katiba nilimuona mjumbe mmoja akifanya reference kupitia kitabu hicho.
 
Back
Top Bottom