Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

joseph kony of lord resistance army uganda

i ddnt heard you people calling him as A MILITANT CHRISTIAN..WHY :A S 114::A S 114:??

What a double standard...!!

Itahamika tu.

:flypig: :flypig:

I posted a study here from a Scandinavian academic detailing the seriousness of the Kony mayhem as the most significant religious terrorism in East Africa.

But you of course, would go ahead and make ass-umptions on "I didn't heard you people" (sic).

The question remains.

Two wrongs do not make a right.

Any religion that threatens people with hell is necessarily terroristic.
 
Mimi ni pro chadema ila nondo za M. Said nazikubali...
Tatizo letu hatutaki kusikia ukweli...
 
wewe acha kujidanganya, wakristo hasa wakatoliki Wwa Tanganyika mna chuki Sana na uislam na waislam, hivi zile pumba aizoomwaga #Lukuvi Ni nini kama SI chuki na uislam??

Lukuvi alikuwa anatetea ugali wake, usichanganye mada blaza...
 
Wewe mwanamke siyo bure lazima utakuwa na matatizo ya ya akili lakini siwezi kukupa lawama malezi uliyolelewa ndiyo tatizo.[/madrastul mwingine huyu no wonder nchi hii inakweda kinyumenyume- ewe mungu tunusuru na hawa wafia dini wa gerezani
 

Kuna uchaguzi upi sasa hivi? juzi chaguzi zote CCM wamewanyuka wapinzani vibaya sana, kuanzia chopa tatu kata tatu, Kalenga halafu Chalinze, kwa hiyo hilo la uchaguzi hujafikiria vizuri.

Tatizo ni mfumo-kristo.
 
Huenda hauufahamu Ukatoliki. Vinginevyo nilichokiandika ni sahihi kabisa. Unaweza kunisahihisha.

Nna hujarudia post yangu na ukaisome ile niliyoijibu, kwa hiyo wewe unakubaliana na huyo niliyemjibu alipoweka "baba wa Taifa" ni kigezo cha kuwa "mwenye heri"?
 
Hiyo Heri si wanampa wakatoliki wenzake? Kwa nini wa-justify kwako usie wa imani yao? Wewe inakuuma nini? Haulazimiki kumuita "mwenye heri" kama hautaki.

Punguza kulalamika lalamika ovyo. Haipendezi.

Amandla....

Nauliza hivi, Nyerere ana heri zipi? nae alitumikia Serikali isiyo na dini kwa miaka 26? au kuna siri ambayo ni ngumu kuiandika humu?
 

Kwa maneno tu? Tupe ilmu ya hizo heri za Nyerere. Ana heri zipi mtu aliyeitumikia Serikali ya kipagani (isiyo na dini) kwa miaka 26?
 
Hautaki majibu yasiyokupendeza. Niliishakuambia kuwa mimi Uislamu haunitishi. Haunitii hofu.

Sasa, wewe, jee unataka serikali ya Muungano ya Tanzania iwe ya Kiislamu? Au kwa maneno mengine, Sharia ndio ituongoze?

Amandla........

Unatetemeka kwa hofu, ungeandika kwa maandiko mekundu kama hujajawa na hofu, isiyo mfano< you are terrified just by the name Islam. Una tofauti ipi na Lukuvi hata usiwe na hofu?

Hebu nakuomba wewe, kama huna hofu na Uislam, nenda kibanda maiti Zanzibar ukayaseme aliyoyasema Lukuvi. Nakwambia maawee! si wewe wala si Lukuvi wala si Pengo anaethubutu hilo. Mtaongea hayo huku huku Tanzania bara tena ndani ya makanisa tu, Zanzibar! Thubutu!
 
Asalaam Aleykhum!! Kipini cha dhahabu kwenye pua la Nguruwe daima thamani yake hupungua.
 

Unaonesha hata kinachoongelewa hukijui. Hujui kuwa kuna mchakarto wa katiba mpya, hiyo ya Nyerere imeshapitwa na wakati? Hapo sasa! Hofu ya Lukuvi ni katiba mpya, ikiwapa mamlaka kamili Zanzibar ana hofu kuwa itakuwa nchi ya Kiislaam.

Sijui umeelewa hilo au bado?
 
Kwa hiyo wewe unataka Tanganyika nayo iwe nchi ya Kiislamu? Una hofu gani na Ukristu?

Amandla.....

Dunia nzima itakuwa nchi ya Kiislaam, wacha Tanzania. Kwa kuanzia Zanzibar, si mbaya. Huku twaja tartiiiibu. Ulaya watu wameshachoka na dini za kuoana wenyewe kwa wenyewe na wanaingia kwenye Uislaam makundi kwa makundi. Hulijui hilo?

Lazima Lukuvi awe na hofu, na si Lukuvi tu, kila mpenda maovu ni lazima awe na hofu na Uislaam.
 
WEWE mwanamke kaa ukielewa hata sheikh Ponda matofali akiwa rais wa nchi,ruling class itabaki kuwa ile ile,inabidi mupunguze kukariri hiyo albadili hili muwende sambamba na maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…