Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wamekupuuza baada ya kuona umewajuza mataputapu.Niliwajuza mods mapema sana,uzi umegeuka muhazara wa dini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekupuuza baada ya kuona umewajuza mataputapu.Niliwajuza mods mapema sana,uzi umegeuka muhazara wa dini
Shamba likiota magugu unafanya kuyangoa.
Hebu palilia tuendelee kulima.
joseph kony of lord resistance army uganda
i ddnt heard you people calling him as A MILITANT CHRISTIAN..WHY :A S 114::A S 114:??
What a double standard...!!
Itahamika tu.
:flypig: :flypig:
Hivi mkiambiwa ukweli kwa nini mbakimbila kwa mods?
wewe acha kujidanganya, wakristo hasa wakatoliki Wwa Tanganyika mna chuki Sana na uislam na waislam, hivi zile pumba aizoomwaga #Lukuvi Ni nini kama SI chuki na uislam??
Wewe mchina sio kungoa ni kung'oa...
me msukuma,Ngosha.
Wewe mwanamke siyo bure lazima utakuwa na matatizo ya ya akili lakini siwezi kukupa lawama malezi uliyolelewa ndiyo tatizo.[/madrastul mwingine huyu no wonder nchi hii inakweda kinyumenyume- ewe mungu tunusuru na hawa wafia dini wa gerezani
Nadhani hofu ya Lukuvi iko ktk kushindwa kwa uchaguzi kwa chama chake ndio maana pamoja na Muislam Kikwete kuona dini yake inadhalilishwa kwa kuhofiwa ameshindwa kumfuta kazi Lukuvi kwasababu ameongea ukweli kuhusu chama chake kushindwa huko.
BACK TANGANYIKA
Unamuongelea nani Lukuvi?Wewe mwanamke siyo bure lazima utakuwa na matatizo ya ya akili lakini siwezi kukupa lawama malezi uliyolelewa ndiyo tatizo.[/madrastul mwingine huyu no wonder nchi hii inakweda kinyumenyume- ewe mungu tunusuru na hawa wafia dini wa gerezani
Huenda hauufahamu Ukatoliki. Vinginevyo nilichokiandika ni sahihi kabisa. Unaweza kunisahihisha.
Hata yeye alijua kuwa wako 95%. Basi na wewe tuwekee ushahidi wa hicho unakijua.
Amandla.....
Hiyo Heri si wanampa wakatoliki wenzake? Kwa nini wa-justify kwako usie wa imani yao? Wewe inakuuma nini? Haulazimiki kumuita "mwenye heri" kama hautaki.
Punguza kulalamika lalamika ovyo. Haipendezi.
Amandla....
Mchakato unaendelea. Wakatoliki wenzake wanazihangaikia hizo heri. Zikikosekana au hata zikipatikana zikapingwa na mtu kama wewe Faiza, Mwalimu hatatangazwa kuwa mwenyeheri na wewe na wa aina yako mtafurahi kabisa ingawa mnayo DINI yenu na mambo yenu.
Hautaki majibu yasiyokupendeza. Niliishakuambia kuwa mimi Uislamu haunitishi. Haunitii hofu.
Sasa, wewe, jee unataka serikali ya Muungano ya Tanzania iwe ya Kiislamu? Au kwa maneno mengine, Sharia ndio ituongoze?
Amandla........
Nilipoma katiba ya JMT mara ya mwisho niliona kwamba JMT is a secular country! Hivi ibara hiyo ya katiba ilisha badilishwa?!. Hofu ambayo Wakiristu wanaweza kuwa nayo kama ZNZ itakua Islamic country ni kuchomewa makanisa na shule zao kama kawaida ya waislamu wengine duniani kote wafanyavyo Boko haram na Al Shabaab.
Kwa hiyo wewe unataka Tanganyika nayo iwe nchi ya Kiislamu? Una hofu gani na Ukristu?
Amandla.....
WEWE mwanamke kaa ukielewa hata sheikh Ponda matofali akiwa rais wa nchi,ruling class itabaki kuwa ile ile,inabidi mupunguze kukariri hiyo albadili hili muwende sambamba na maendeleoUnatetemeka kwa hofu, ungeandika kwa maandiko mekundu kama hujajawa na hofu, isiyo mfano< you are terrified just by the name Islam. Una tofauti ipi na Lukuvi hata usiwe na hofu?
Hebu nakuomba wewe, kama huna hofu na Uislam, nenda kibanda maiti Zanzibar ukayaseme aliyoyasema Lukuvi. Nakwambia maawee! si wewe wala si Lukuvi wala si Pengo anaethubutu hilo. Mtaongea hayo huku huku Tanzania bara tena ndani ya makanisa tu, Zanzibar! Thubutu!