Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Nauliza hivi, Nyerere ana heri zipi? nae alitumikia Serikali isiyo na dini kwa miaka 26? au kuna siri ambayo ni ngumu kuiandika humu?
WEWE mwanamke kaa ukielewa hata sheikh Ponda matofali akiwa rais wa nchi,ruling class itabaki kuwa ile ile,inabidi mupunguze kukariri hiyo albadili hili muwende sambamba na maendeleo
Anahusikaje?Bibi Naona mmepata ground ya kuonesha ushetani wenu mnakomaa kinoma!Mbona wewe usiende Yerusalemu ukasema huo mji ni wa waislamu?Unatetemeka kwa hofu, ungeandika kwa maandiko mekundu kama hujajawa na hofu, isiyo mfano< you are terrified just by the name Islam. Una tofauti ipi na Lukuvi hata usiwe na hofu?
Hebu nakuomba wewe, kama huna hofu na Uislam, nenda kibanda maiti Zanzibar ukayaseme aliyoyasema Lukuvi. Nakwambia maawee! si wewe wala si Lukuvi wala si Pengo anaethubutu hilo. Mtaongea hayo huku huku Tanzania bara tena ndani ya makanisa tu, Zanzibar! Thubutu!
Kutumikia Serikali isiyo na dini haina maana kuwa yeye hakuwa na dini. Nyerere ana heri katika ukatoliki wake ambao haukuhusu. Ni kama vile Kikwete kama ni Alhaj au la hainihusu.
Amandla.....
Dunia nzima itakuwa nchi ya Kiislaam, wacha Tanzania. Kwa kuanzia Zanzibar, si mbaya. Huku twaja tartiiiibu. Ulaya watu wameshachoka na dini za kuoana wenyewe kwa wenyewe na wanaingia kwenye Uislaam makundi kwa makundi. Hulijui hilo?
Lazima Lukuvi awe na hofu, na si Lukuvi tu, kila mpenda maovu ni lazima awe na hofu na Uislaam.
Kutumikia Serikali isiyo na dini haina maana kuwa yeye hakuwa na dini. Nyerere ana heri katika ukatoliki wake ambao haukuhusu. Ni kama vile Kikwete kama ni Alhaj au la hainihusu.
Amandla.....
Sasa umekubali kuwa kama kawaida yake ya kusema uwongo alikuwa anatumia huo uwongo wake kujifanya Serikali haina dini huku akitumia ukatoliki wake upande wa pili, ni lazima mumpe utakatifu na kuwa mtu wa heri kwa sababu alikuwa analitumikia kanisa, na haya ya #Lukuvi ni muendelezo tu wa viongozi wa serikali kulitumikia kanisa
Dunia nzima itakuwa nchi ya Kiislaam, wacha Tanzania. Kwa kuanzia Zanzibar, si mbaya. Huku twaja tartiiiibu. Ulaya watu wameshachoka na dini za kuoana wenyewe kwa wenyewe na wanaingia kwenye Uislaam makundi kwa makundi. Hulijui hilo?
Lazima Lukuvi awe na hofu, na si Lukuvi tu, kila mpenda maovu ni lazima awe na hofu na Uislaam.
Anahusikaje?Bibi Naona mmepata ground ya kuonesha ushetani wenu mnakomaa kinoma!Mbona wewe usiende Yerusalemu ukasema huo mji ni wa waislamu?
Ginehe ngosha.!!
WEWE mwanamke kaa ukielewa hata sheikh Ponda matofali akiwa rais wa nchi,ruling class itabaki kuwa ile ile,inabidi mupunguze kukariri hiyo albadili hili muwende sambamba na maendeleo
another lost cause,product ya madrasa-hii Jf imekusanya kila aina ya uozoToka jana wewe umeshupaa humu kuandika pumba tu,hueleweki wala huna point, Hebu kamtandikie mumeo mlale, unatujazia server bila sababu ya msingi
Alifanya hivyo kujaribu kuwakomboa ktk utumwa wa ujinga (shule) ingawaje alishindwa kuwashawishi kwani nyie ni conservatives na wapangaji wa kudumu wa ujinga na ushetani!Nyerere Ukatoliki wake umehusisha maamuzi yke mengi yakawa mabovu, kama Mfumo Kristo tunauongelea sasa hivi, utasema je haunihu? Nataka kujuwa ni heri ipi aliyonayo Nyerere?
Mimi nnakutajia kimoja kati ya mengi nnayoyajuwa yasiyo na heri aliyoyafanya Nyerere, sasa wewe nitajie kimoja chenye heri, nami ntaongeza kingine Naaonza:
Alidhulumu mali na roho za watu alipotaifisha (dhulumu kwa nguvu) mali zao. Jee, hiyo ni heri ya Kikatoliki?
Nyerere Ukatoliki wake umehusisha maamuzi yke mengi yakawa mabovu, kama Mfumo Kristo tunauongelea sasa hivi, utasema je haunihu? Nataka kujuwa ni heri ipi aliyonayo Nyerere?
Mimi nnakutajia kimoja kati ya mengi nnayoyajuwa yasiyo na heri aliyoyafanya Nyerere, sasa wewe nitajie kimoja chenye heri, nami ntaongeza kingine Naaonza:
Alidhulumu mali na roho za watu alipotaifisha (dhulumu kwa nguvu) mali zao. Jee, hiyo ni heri ya Kikatoliki?
Nimeisoma kiasi Saladin - Wikipedia, the free encyclopedia ni ndefu sana kwa muda huu kuimaliza.Ntaendelea kesho.@Mount,
Read about Salahadin Al Ayoubi or watch movie The Kingdom of Heaven
Mnajidanganya. Idadi kubwa ya waislamu Ulaya ni wakimbizi kutoka maovu ya waislamu wenzao. Unadhani kwa nini wakina Le Pen na UKIP wanapanda chati? Hapa kwetu mnawapoteza watu kwa vitendo vyenu vya kuua wanaowapinga, kuwamwagia tindikali na kuwachomea sehemu zao za kuabudu. Mtabaki wenyewe mkijibalagua humu kwenye mitandao.
Amandla.....
another lost cause,product ya madrasa-hii Jf imekusanya kila aina ya uozo
FaizaFoxy,Hahahahahah, nchi iliyokuwa na wakimbizi wengi duniani ni Tanzania, juzi juzi tu, Jee, wale walikimbia nini makwao na wakarundikana Tanzania? nikukumbushe?
Halafu wale Watanzania waliojiripua na au kuhamia nchi nyingi za Europe, walikimbia nini? Hebu muulize jamaa yako, MzeeMwanakijiji na au wajiitaowabeba maboksi (wengi tu) wam humu, wao walikimbia nini hapa?
Kwanza napenda uelewe, population ya natives wa Europe aka wazungu, inapunguwa ni kwa kuwa hawazaliani sana, unategemea watazaliana sana na wao wanaoana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, kama hiyo haitoshi, sasa wanaoana na mbwa. Unategemea nini kitawakomboa? Uislaam pekee:
Hebu jismee hii habari kidogo, upate faida:
The Islamic future of Britain
Britain is in denial. If population trends continue, by the year 2050, Britain will be a majority Muslim nation
Soma zaidi: The Islamic future of Britain - The Commentator
Hahahahahah, nchi iliyokuwa na wakimbizi wengi duniani ni Tanzania, juzi juzi tu, Jee, wale walikimbia nini makwao na wakarundikana Tanzania? nikukumbushe?