Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Tabia ya Uislam ni kusambaa kila kona ya dunia, kama utakuwa unachukia utakuwa unaumia bure na nafsi yako, mwisho wa siku utaamua kujiliwaza na kujifariji tu kuwa hao ni wakimbizi tu, wakati wenye nchi yao wanauza Makanisa baada ya kukosa waumini.
 
Je wadhani kuvaa kofia ndio uislam au kuvaa msalaba ndio ukristo? vitu hivyo vilikuwepo hata kabla ya uwepo wa dini hizo.Ni kweli kuwa uislam unasambaa kwa kasi na mbinu nyingi duniani na ni ukweli pia ukristo umekumbana na vipingamizi vingi vilivyotishia kuuua na mara zote imeendelea kuwepo na ni masihi (kristo)mwenyewe atakayemwangamiza masihi-dajjal na kuwahukumu watu wote, pamoja na wale ambao hawakumwamini. Hata hivyo ninapenda kukujulisha kuwa kwa Tanzania, wakristo au waislam halisi ni wachache kuliko tunavyodhani kwani wengi wao ni washirikina, kinyume na mafundisho ya dini. Pamoja na yote hayo, Tanzania na watanzania kwa sasa hawahitaji (hawana hitaji la) udini au ukabila au ukanda au ubaguzi wa aina yoyote na uchochezi wowote ule hauna faida kwa yeyote miongoni mwetu. Sote tunahitaji ukombozi wa kweli dhidi ya umaskini, ujinga, maradhi na ufisadi.
 
www.themuslimtimes.org

Teeh teeh teeh

Hizi data zimekustua sana zimezidi kukupa hofu na Uislam.

Amandla....

Kumbe ni website ya waislamu wenzako! Ulitegemea nini? Unawekaji percentage ya waislamu waliokuwepo sasa hivi na kudai kuwa ndiyo ushahidi wa kukua kwao kwa kasi! Ni usanii kama huu ndio umefanya wangine kuona hamna haja ya kujadiliana nanyi kitu.

Amandla....
 
Je wadhani kuvaa kofia ndio uislam au kuvaa msalaba ndio ukristo? vitu hivyo vilikuwepo hata kabla ya uwepo wa dini hizo.Ni kweli kuwa uislam unasambaa kwa kasi na mbinu nyingi duniani na ni ukweli pia ukristo umekumbana na vipingamizi vingi vilivyotishia kuuua na mara zote imeendelea kuwepo na ni masihi (kristo)mwenyewe atakayemwangamiza masihi-dajjal na kuwahukumu watu wote, pamoja na wale ambao hawakumwamini. Hata hivyo ninapenda kukujulisha kuwa kwa Tanzania, wakristo au waislam halisi ni wachache kuliko tunavyodhani kwani wengi wao ni washirikina, kinyume na mafundisho ya dini. Pamoja na yote hayo, Tanzania na watanzania kwa sasa hawahitaji (hawana hitaji la) udini au ukabila au ukanda au ubaguzi wa aina yoyote na uchochezi wowote ule hauna faida kwa yeyote miongoni mwetu. Sote tunahitaji ukombozi wa kweli dhidi ya umaskini, ujinga, maradhi na ufisadi.
 

NYERERE alikuwa mdini kuwashinda WAZUNGU walioleta ukirsto,tunapata Uhuru miji mikubwa ni DSM.TANGA.TABORA.LINDI.UJIJI.KILWA.Kwasababu nipo KUSINI hii LINDI ilikuwa meli zinatoka huko ugaibuni zinaweka gati na kushusha bidhaa,kuna NDEGE zilikuwa zinatoka CAIRO mojakwamoja LINDI,Amekuja NYERERE na ubaguzi wake ameinyanyua MIKOA ambayo hata ustaarabu hawana wanalala na MBWA chumba kimoja vitanda ngozi hata kuvaa hawajui.na mikoa ya waislam kuzuia maendeleo.wakati anastaafu MWALIMU MKOA wa KIGOMA ulikuwa na sekondari moja tu.
 
Je wadhani kuvaa kofia ndio uislam au kuvaa msalaba ndio ukristo? vitu hivyo vilikuwepo hata kabla ya uwepo wa dini hizo.Ni kweli kuwa uislam unasambaa kwa kasi na mbinu nyingi duniani na ni ukweli pia ukristo umekumbana na vipingamizi vingi vilivyotishia kuuua na mara zote imeendelea kuwepo na ni masihi (kristo)mwenyewe atakayemwangamiza masihi-dajjal na kuwahukumu watu wote, pamoja na wale ambao hawakumwamini. Hata hivyo ninapenda kukujulisha kuwa kwa Tanzania, wakristo au waislam halisi ni wachache kuliko tunavyodhani kwani wengi wao ni washirikina, kinyume na mafundisho ya dini. Pamoja na yote hayo, Tanzania na watanzania kwa sasa hawahitaji (hawana hitaji la) udini au ukabila au ukanda au ubaguzi wa aina yoyote na uchochezi wowote ule hauna faida kwa yeyote miongoni mwetu. Sote tunahitaji ukombozi wa kweli dhidi ya umaskini, ujinga, maradhi na ufisadi.
 
Uuongelee Ukristo Tanzania na Pengo usimtaje? itakuwa humtendei haki.

Kwani sisi tunaandika katiba mpya ya Palestine au ya Tanzania? hata niitaje Jerusalem?

Black Jews who are Judeo-Christians they think that Jeruselem is a Christian City.
They dont know that even the Key for The Church of Nativity is in the Trust of A particular Palestinian Arab family for centuries.
 

Fundi Mchundo,
Mimi hupenda kuandika jambo kwa makini na bila mzaha kwa kuwa siko hapa
kufanya mchezo.

Nakusihi unichukulie hivyo ili tuwe na mjadala wa manufaa utakaoelimisha na
labda Allah akipenda kuinusuru nchi yetu.

Katika kitabu changu, ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968)
The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism,'' bila hofu
nimezungumza mengi ambayo yalikuwa mwiko kusemwa.

La kwanza ni kuwa Nyerere hakuasisi TANU na muaisisi wa chama kile ikiwa
tutamchukua mtu mmoja katika lile kundi la ile kamati ya ndani basi aliye aula
zaidi ni Abdulwahid Kleist Sykes.

Hili lilizua kishindo kikubwa sana na bado vumbi lake halijatulia kote nipitapo hili
swali lazima litajitokeza.

La pili nililosema ni kuwa kumekuwa na njama ya kuivuruga historia ya uhuru
wa Tangayika.

La tatu na hii ni mwisho wa kitabu nilieleza kuwa Kanisa Katoliki na Nyerere
kutoka uhuru upatikane wamekuwa katika vita dhidi ya Uislam Tanzania na
hapa ndipo unapoingia mgogoro wa EAMWS.

Haya ni maneno mazito na ukiyasema kama nilivyoyasema mie lazima uwe na
ushahidi madhubuti.

Kitabu changu kimejaa ushahidi wa haya.
Kila aliyejaaliwa kukisoma kitabu hiki alibaki kinywa wazi.

Ndiyo maana hadi leo kutoka kitabu kichapwe mwaka 1997 hajatokea mtu
yoyote kukipinga kwa kuandika huo unaosemekana ni ''ukweli.''

Palikuwa na ugomvi kati yangu na mchapaji (publisher) nilianza kitabu kwa
kuanza na maneno haya:''Bismillah Rahmani Rahim,'' akaniuiza kwa nini nataka
kuanza ''an academic work with religious undertones?''

Mhariri wa kitabu hiki alikuwa Prof. mmoja mwanamke wa Kiingereza.

Nilimjibu nikamwambia haya ninayosema nataka Allah ndiye awe shahidi yangu
wasije watu wakasema kuwa mimi ni muongo.

Ushauri wake kwangu ulikuwa kitabu kimejitosheleza hapana haja ya kufanya
hivyo.

Mimi niliamini kuwa eyote amuaminiye Mungu akiona nimemtanguliza katika kauli
yangu atajua kuwa sifanyi mchezo nisemayo ni kweli na kweli tupu.

Sasa kisa cha Nyerere na EAMWS na Karume umtajae ni kisa nakijua vyema
sana.

Katika mkasa huo wa EAMWS Karume alifikia kumkufuru mola wake.

Karume yuko mbele ya Allah itoshe tu kuuombea dua Allah amsamehe madhambi
yake.

Ndiyo maana Nyerere kafa hakutaka anasibishwe na Abdu Sykes wala na mdogo
wake Ally katika kuuunda TANU pamoja na wazalendo wengine takriban sasa wote
wako mbele ya haki.

Katika mazingira kama haya ndiyo maana historia ya TANU haimtaji popote Sheikh
Hassan bin Amir
wala Sheikh SuleimanTakadir...

Ndiyo maana hadi leo hakuna historia ya uhuru ukitoa kitabu changu ambacho
''publishers'' wote nchini walikiogopa nikaenda kukichapa Uingereza.

Prof. Issa Shivji, Prof. Saida Haroub Othman na Dk. Kamata walikuja kunihoji
kuhusu Nyerere kwa kuwa wao wanaandika maisha ya Mwalimu Nyerere.

Tulifanya session tatu na mazungumzo yetu yanakaribia dakika 180.

Mimi niliwashauri kuwa waende kwa Mama Maria Nyerere atawaeleza historia
ya TANU kama alivyoishuhudia kwa jicho lake kuanzia mwaka 1953.

Hiyo itajazilia mazungumzo yangu.

Nikawaambia kuwa kwa kuwa siku nyingi zimepita wanaweza kuamsha kumbukumbu
za Mama Maria kwa kumkumbusha mashoga zake wawili Bi Mwamvua bint Masha
(Mama Daisy) na Mwalimu Sakina bint Arab kwani mengi walifanya pamoja wakati
wa kudai uhuru.

Fundi Mchundo,
EAMWS haikupingwa na Muislam yoyote na ushahidi upo.

Wakati wa mgogoro ule mwaka 1968 hapo TANU New Stret Baraza la Wazee wa
TANU lililokuwa chini ya Mwenyekiti wake Mzee Iddi Tulio lilikuwa lishavunjwa na
Nyerere mwaka 1963 kwa kisingizio cha ''kuchanganya dini na siasa.''

Hawa ndiyo waliompeleka Nyerere Umoja wa Mataifa (UNO) mwaka 1955.

Hapakuwa na watu wa maana tena pale.

Yako mengi lakini haya niliokueleza nadhani yameshakupa picha unazungumzana
nani.

Napenda kumaliza kwa kukueleza kuwa jana nilitembelewa na mwanafunzi ambae
anafanya shahada ya uzamili na katika kukamilisha shahada yake anatakiwa aafanye
utafiti.

Alinihoji kuhusu Sheikh Hassan bin Amir.
Nilimwekea mhadhara mmoja niliotoa Zanzibar kuhusu Sheikh Hassan bin Amir.

Ghafla nimemuona kijana kajiinamia machozi yanamlengalenga.
 
Ufaransa Waislam wapo Milioni 6.5

Ujerumani Waislam Milioni 4.3

Nako huko wanatishwa?
 
Wala usijali takuletea data za Wazungu sijui nazo utazikubali haina shida safari hii takuja na data za kutosha, wanaofuatilia huu mjadala nadhani watafaidika.
 

EAMWS kilianzishwa na Aga Khan mwaka 1945. Aga Khan ambae baadhi yenu hamumkubali kama muislamu kamili. Kilichouwa EAMWS ni Azimio la Arusha na dhana ya baadhi ya waislamu kukiona kama chama cha wahindi. Katika mkutano wa mwaka 1968 uliofanyika Iringa, hakuna mkristu aliyekuwepo. Mzungumzaji mkuu alikuwa Karume na ndie yeye aliyepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la EAMWS.



Maneno yako mwenyewe kuhusu kifo cha EAMWS. Unataka kutuambia hao wakina Nasibu, Jambia na wengine walikuwa wa misheni?

Halafu hebu mfahamishe FaizaFoxy kuwa ni wamisri ndio walioahidi kujenga Chuo Kikuu kwa ajili ya waislamu na sio Gaddafi.

Amandla......
 
Ufaransa Waislam wapo Milioni 6.5

Ujerumani Waislam Milioni 4.3

Nako huko wanatishwa?

Unadhani Le Pen amefanya vizuri uchaguzi wa hivi karibuni kwa sababu gani? Waislamu Ujerumani wengi ni waturuki. Unajua ni wangapi wamepata uraia wa kijerumani? Unajua idadi ya raia wa kijerumani wenye asili ya Uturuki inazidi kushuka? Kuwepo kwao na kuwa na nguvu za kisiasa ni vitu viwili tofauti.

Amandla.....


Amandla......
 
haha..waislam wapo busy kwa distribution yao....hawajajiuliza waislam wangapi wanakuwa wakristu..hata TZ tuu waislam wanaingia ktk makanisa ambayo hayana hata Muda wa kuinjilisha wageni km Catholics..wakatoliki kwa muda mrefu tuu hawakuwa aggressive kuingiza waumini wapya..ila kwa kweli idadi ya waislam wanaoingia ukatoliki ni wengi sana..Hawajajiuliza wakristu wangapi wanaokuwa waislam wanarudi ktk Ukristu baada ya kipindi cha chini ya Mwaka.
 

Fundi Mchundo,
Soma kwa utaratibu hayo si maneno yangu.
Pitia footnotes zitakuonyesha ni maneno ya nani.
 
haha..utumwa ulipopigwa chini biashara ya waislam ikaisha..waislam hawakuwahi jiweka ktk maisha endelevu....wao wanategemea kuwa makuli pal bandarini...as if hawajui kuwa yote yatatehemea uwepo wa uzalishaji wa maza ya biashara,pia mizigo mingi inayoingia na kutoka ipite bandarini..km inakatiza border ,km inarushwa na ndege,km inafanyiwa kazi ndani biashara yao inakuwa ngumu, haajui hata badari iiwa mordernized hali inazidi kuwa tofauti zaidi....kualala na wanyama si kukosa ustaarabu bhana..acha ujinga huku ukidhani wewe ni mjuaji..kwani kulala na paka, majinn ni kustaarabika positively zaidi?Wapo mbwa wengi tuu ni waastarabu kuliko binadmau wa aina yako...wanakunya nje, hawaui watu kwa akili za kijinga....wala kunajisi vitu.
 
gombesugu, nimepokea "notification" kwamba nimetajwa humu ndio maana nimeingia humu; hata hivyo nasikitika kwani kwa sasa wengine wetu tumetingwa na mjadala muhimu unaogusa maslahi ta taifa letu kuliko hizi porojo za barghashia na msalaba...hizo tunawaachia vijana wa mitaani. Siku huyo Mohamed Said atakapoanzisha mada yenye tija isiyo na harufu ya Udini, nishtue, lakini hizi za uchonganishi, chuki na fitna, big NO. Please, count me out for in the long run people might fail to notice the difference. Nakutakia siku njema.
 
Black Jews who are Judeo-Christians they think that Jeruselem is a Christian City. They dont know that even the Key for The Church of Nativity is in the Trust of A particular Palestinian Arab family for centuries.
who are those Judeo Christians...You talking about..? Judeo -Christian is a general term that describes values(common to Judaism & Christianity.sometimes either), so anymperson from this culture can know his portion...Jews think Jerusalem is Jewish city ,some Christian may think the same on their side etc...and many outsiders have no clues that there are Arabs as well as Palestinians who Christians and have been since the time.It funny that you have no clues that Palestians are not Arabs.. though they are both Muslims and have mixed through intermarriages.
 
Tabia ya Uislam ni kusambaa kila kona ya dunia, kama utakuwa unachukia utakuwa unaumia bure na nafsi yako, mwisho wa siku utaamua kujiliwaza na kujifariji tu kuwa hao ni wakimbizi tu, wakati wenye nchi yao wanauza Makanisa baada ya kukosa waumini.
Hata ujambazi na biashara ya unga inasambaa dunia kwa haraka unataka tuambiaje..?Nazo zinaenea kwa vile ni nzuri na kweli...?Kuuza makanisa kunatokana na mamabo mengi..wengine wanauza kwa vile makanisa yao yanafilisika kwa mazingir amagumu yaliyowekwa na serikali..kumbuka serikali za Ulaya zimeanza kupinga Ukristu na kuanza kuanza favour uislam ..ktk issue za mafuta na rasilimali za nchi za kiislam...Subiri mapinduzi kidogo tuu uone jinsi watakavyoazna watafuta waislam....UK sasa ndio wanaamka na kuanza Hubiri kuwa nchi zao ni Christian Nations..na wanajivunia hilo....
 

Mimi nilikuwa sijui kama makanisa yanafilika. Ila ni kweli au umechangia tu.
 

Mag3,
Kwa kuwa umenitaja na kunihusisha na ''vijana wa mitaani,'' nawajibika kukujibu.

Angalia hapa chini kama hizo ni sifa za ''mitaani:''

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
2. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London)

3. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London)

4. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

5. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam)

6. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam)

7. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003)

8. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000' (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003)

9. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004)

10. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004)

11. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006)

12. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi (Children's book)

13. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007 Nairobi

14. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam

15. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century (1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006), Kenyatta University Nairobi

16. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006) University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International Durban

17. Visiting Scholar University of Iowa, Iowa City and Northwestern University, Chicago USA and Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin 2011

18. Tanzania: A Nation without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September at IFRA Nairobi

19. Mjumbe wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Swaziland, Zimbabwe, Saudi Arabia, Egypt, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Netherlands, Switzerland, France and Iran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…