Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Huna lolote kafiri mkubwa we!
Umeishiwa na hoja sasa umebaki na viroja!
Kiumbe gani husetaka kuelewa hata kwa ushahidi mzito ulopewa na kina Ritz, Mohamed Said, Punjab Singh, FaizaFoxy na wengine wengi tu!
Umekua kama yule kafiri mwenzio MaxShimba, kila akipewa nondo zenye ushahidi husonashaka, anakimbilia kujitoa fahamu na kujifanya mweu alorukwa na akili!
Wagalatia wenzio wamekukimbia kwa kuwa umegeuka kituko kwa hoja zako za kubumba zinazowatia aibu.
Hata hivyo natoa shukurani kwa kuja na kujaribu!
Ahsanta
Sycophancy will always get you in his good books. Way to go, Mr. Punjab Singh.
You are however wrong about me hating Mr. Mohamed Said. I don't hate him but I despise him and people like him.
Amandla....
Fundi Mchundo,
Katika adabu ambazo sisi tumefunzwa na mama zetu ni kuheshimiana.
Kwangu mimi kusoma kuwa unanidharau...
Nimetosheka...
Sasa vipi hutaki kukisikia kisa cha mradi wa kuandika historia ya TANU nwaka
1962 kati ya Abdu Sykes, Nyerere na Dr. Kleruu?
Kisa hiki ni moja ya ''drama'' katika historia ya TANU.
Fundi Mchundo,
Katika adabu ambazo sisi tumefunzwa na mama zetu ni kuheshimiana.
Kwangu mimi kusoma kuwa unanidharau...
Nimetosheka...
Sasa vipi hutaki kukisikia kisa cha mradi wa kuandika historia ya TANU nwaka
1962 kati ya Abdu Sykes, Nyerere na Dr. Kleruu?
Kisa hiki ni moja ya ''drama'' katika historia ya TANU.
Nashukuru kama umerudi tena tuendelee na mjadala, kila siku nakuambia usifanye reference ya Uislam kupitia nchi fanya reference kutoka kweye Quran na Sunna, usichanganye tamaduni na mila za watu na Uislam, Uislam haumlazimishi mtu kuwa Muislam, halafu hayo Makanisa sijakuwekea wewe nimewawekea wasomaji wa huu uzi.Ritz. Kuna kitu gani kipya ulichozungumza juu ya makanisa? Makanisa mengi ulaya yanapungukiwa na waumini kwa sababu ama waumini hawaoni sababu za kusali kila jumapili, kutoka kabisa na kuachana na mambo ya imani au kutoka na kuhamia pentecostal churches. Traditional churches kama Church of England na Lutheran kaskazini ya Ulaya yamelazimika kuyauza baadhi ya makanisa yao. Makanisa yakishauzwa yanaondolewa wakfu na mengine yamegeuzwa makazi hata klabu. Kwako wewe huu ni ushahidi wa Ukristu kupoteza mvuto wakati mimi naona ni ishara ya uhuru wa waumini wa kikristu kuamua wanachotaka juu ya imani yao bila kuhofia kukatwa mashingo. Leo katika nchi ya kiislamu ya Pakistan kuna watu wamehukumiwa kifo kwa kutaka kutoka kwenye uislamu. Huko ndiko mnakotaka kutupeleka na sisi hatutaki.
Amandla.....
Mimi si mnafik. Heshima yangu ilitoka dirishani pale uliposhabikia umwagaji damu. Ungekuwa kweli muungwana ungewaasa mashabiki wako wanapowaita watu kenge na majina mengine chafu. Ukimya wako kama ulivyo kwenye dhulma dhidi ya wale wasiokuwa waislamu unaonyesha unakubaliana nao.
Mbona unajichanganya! Hiyo "drama" ilitokea 1961 au 1962? Wewe weka tu maana uhuru wa kufanya hivyo unalindwa katika huu mfumo Kristu.
Amandla.....
Hivi mtu akikuita mshamba akakujibu wewe kenge kuna kulalamika hapo?Mimi si mnafik. Heshima yangu ilitoka dirishani pale uliposhabikia umwagaji damu. Ungekuwa kweli muungwana ungewaasa mashabiki wako wanapowaita watu kenge na majina mengine chafu. Ukimya wako kama ulivyo kwenye dhulma dhidi ya wale wasiokuwa waislamu unaonyesha unakubaliana nao.
Mbona unajichanganya! Hiyo "drama" ilitokea 1961 au 1962? Wewe weka tu maana uhuru wa kufanya hivyo unalindwa katika huu mfumo Kristu.
Amandla.....
Nashukuru kama umerudi tena tuendelee na mjadala, kila siku nakuambia usifanye reference ya Uislam kupitia nchi fanya reference kutoka kweye Quran na Sunna, usichanganye tamaduni na mila za watu na Uislam, Uislam haumlazimishi mtu kuwa Muislam, halafu hayo Makanisa sijakuwekea wewe nimewawekea wasomaji wa huu uzi.
Hivi mtu akikuita mshamba akakujibu wewe kenge kuna kulalamika hapo?
Jibu: wanaweza kuwa Waislam lakini hawafanya matendo ya Kiislam.Swali jepesi. Boko Haram ni waislamu au la? Al Shaabad ni waislamu au la?
Amandla.....
Kumbuka hata wewe umenifanyia kebehi kwenye huu mnakasha sijui kama unakumbuka lakini mie nikakujibu kwa kukubali kebehi yako, lakini haina shida tuendelee na mnakasha.Nilikuwa namjibu Mohamed Said. Mimi sidhani kuwa wewe kama Ritz umeniita kenge na nisingelalamika wewe kufanya hivyo. Wewe haujawahi kujifanya paragon of virtue kama anavyofanya Mohamed Said. Ndio maana namshangaa mtu anayejiita mstaarabu na kutaka aheshimiwe wakati wafuasi wake wamejaa matusi na kebehi dhidi ya watu wanaotofautiana nao. Kwangu mimi hiyo ni hypocrisy na fully deserving of my contempt.
Amandla....
Mzee Mohamed Said wewe ni mmanyema wa Kigoma kwa akina abakorakamo. Mahaba uliyonayo kwa Zanzibar yanatoka wapi? Pambana Tanganyika yako Irudi.
Fundi Mchundo,
Mbona ndugu yangu unanisingizia mambo?
Wapi nimeshabikia umwagaji damu?
Mimi sina mashabiki hapa JF.
Kama ni kuungwa mkono kwa fikra zangu naungwa kama anavyoungwa mtu
yeyote yule.
Ama kuhusu ukimya ni hulka yangu ikiwa uwanja unachafuka mie hujituliza
kwa kuwa sina ujuzi wa mambo kama hayo.
Lakini kubwa mimi ni mzee sasa na ni muhimu nichunge muruwa wangu.
Kuhusu mwaka sijajichanganya ila nimekosea na nimesahihisha niwie radhi
kwa hilo.
Kuweka tu sitaweka hadi upende ndugu yangu.
Hili ni somo tosha linalojitegemea lakini hapa hatuwezi kuingia ndani ila itoshe tu kusema kuwa kuna Waislam wananyanyua silaha kuilinda dini yao. Kama hivyo ni sawa au si sawa hilo tuwaachie maulamaa waamue.
Nilikuwa namjibu Mohamed Said. Mimi sidhani kuwa wewe kama Ritz umeniita kenge na nisingelalamika wewe kufanya hivyo. Wewe haujawahi kujifanya paragon of virtue kama anavyofanya Mohamed Said. Ndio maana namshangaa mtu anayejiita mstaarabu na kutaka aheshimiwe wakati wafuasi wake wamejaa matusi na kebehi dhidi ya watu wanaotofautiana nao. Kwangu mimi hiyo ni hypocrisy na fully deserving of my contempt.
Amandla....
Jibu: wanaweza kuwa Waislam lakini hawafanya matendo ya Kiislam.
Hauna muda mrefu huu uzi utatunguliwa tu
Wanaweza? Mbona bado unakaa juu ya "fence"? Ni waislamu au la?
Amandla.....