Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Huna lolote kafiri mkubwa we!

Umeishiwa na hoja sasa umebaki na viroja!

Kiumbe gani husetaka kuelewa hata kwa ushahidi mzito ulopewa na kina Ritz, Mohamed Said, Punjab Singh, FaizaFoxy na wengine wengi tu!

Umekua kama yule kafiri mwenzio MaxShimba, kila akipewa nondo zenye ushahidi husonashaka, anakimbilia kujitoa fahamu na kujifanya mweu alorukwa na akili!

Wagalatia wenzio wamekukimbia kwa kuwa umegeuka kituko kwa hoja zako za kubumba zinazowatia aibu.

Hata hivyo natoa shukurani kwa kuja na kujaribu!

Ahsanta

Na we " echo chamber" unadiriki kuongea? Mmeishiwa kweli.

Amandla.......
 
Sycophancy will always get you in his good books. Way to go, Mr. Punjab Singh.

You are however wrong about me hating Mr. Mohamed Said. I don't hate him but I despise him and people like him.

Amandla....

Fundi Mchundo,
Katika adabu ambazo sisi tumefunzwa na mama zetu ni kuheshimiana.

Kwangu mimi kusoma kuwa unanidharau...
Nimetosheka...

Sasa vipi hutaki kukisikia kisa cha mradi wa kuandika historia ya TANU
mwaka1962 kati ya Abdu Sykes, Nyerere na Dr. Kleruu?

Kisa hiki ni moja ya ''drama'' katika historia ya TANU.
 
Sijui na hii biashara wanafanya wakimbizi wa Kiislam walioamia Ulaya na Marekani.

mm%20barts%2024.11.11_church%20for%20sale_l.jpg

church-for-sale.jpg
CC: gombesugu [MENTION=149773] Fundi Mchundo Bill Cosby FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Ritz. Kuna kitu gani kipya ulichozungumza juu ya makanisa? Makanisa mengi ulaya yanapungukiwa na waumini kwa sababu ama waumini hawaoni sababu za kusali kila jumapili, kutoka kabisa na kuachana na mambo ya imani au kutoka na kuhamia pentecostal churches. Traditional churches kama Church of England na Lutheran kaskazini ya Ulaya yamelazimika kuyauza baadhi ya makanisa yao. Makanisa yakishauzwa yanaondolewa wakfu na mengine yamegeuzwa makazi hata klabu. Kwako wewe huu ni ushahidi wa Ukristu kupoteza mvuto wakati mimi naona ni ishara ya uhuru wa waumini wa kikristu kuamua wanachotaka juu ya imani yao bila kuhofia kukatwa mashingo. Leo katika nchi ya kiislamu ya Pakistan kuna watu wamehukumiwa kifo kwa kutaka kutoka kwenye uislamu. Huko ndiko mnakotaka kutupeleka na sisi hatutaki.

Amandla.....
 
Fundi Mchundo,
Katika adabu ambazo sisi tumefunzwa na mama zetu ni kuheshimiana.

Kwangu mimi kusoma kuwa unanidharau...
Nimetosheka...

Sasa vipi hutaki kukisikia kisa cha mradi wa kuandika historia ya TANU nwaka
1962 kati ya Abdu Sykes, Nyerere na Dr. Kleruu?

Kisa hiki ni moja ya ''drama'' katika historia ya TANU.

Hapo vipi Fundi Mchundo, sema nataka ili upate faida!

Halafu wende kuwafahamisha wenzio wakina Mag3 teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Fundi Mchundo,
Katika adabu ambazo sisi tumefunzwa na mama zetu ni kuheshimiana.

Kwangu mimi kusoma kuwa unanidharau...
Nimetosheka...

Sasa vipi hutaki kukisikia kisa cha mradi wa kuandika historia ya TANU nwaka
1962 kati ya Abdu Sykes, Nyerere na Dr. Kleruu?

Kisa hiki ni moja ya ''drama'' katika historia ya TANU.

Mimi si mnafik. Heshima yangu ilitoka dirishani pale uliposhabikia umwagaji damu. Ungekuwa kweli muungwana ungewaasa mashabiki wako wanapowaita watu kenge na majina mengine chafu. Ukimya wako kama ulivyo kwenye dhulma dhidi ya wale wasiokuwa waislamu unaonyesha unakubaliana nao.

Mbona unajichanganya! Hiyo "drama" ilitokea 1961 au 1962? Wewe weka tu maana uhuru wa kufanya hivyo unalindwa katika huu mfumo Kristu.

Amandla.....
 
Ritz. Kuna kitu gani kipya ulichozungumza juu ya makanisa? Makanisa mengi ulaya yanapungukiwa na waumini kwa sababu ama waumini hawaoni sababu za kusali kila jumapili, kutoka kabisa na kuachana na mambo ya imani au kutoka na kuhamia pentecostal churches. Traditional churches kama Church of England na Lutheran kaskazini ya Ulaya yamelazimika kuyauza baadhi ya makanisa yao. Makanisa yakishauzwa yanaondolewa wakfu na mengine yamegeuzwa makazi hata klabu. Kwako wewe huu ni ushahidi wa Ukristu kupoteza mvuto wakati mimi naona ni ishara ya uhuru wa waumini wa kikristu kuamua wanachotaka juu ya imani yao bila kuhofia kukatwa mashingo. Leo katika nchi ya kiislamu ya Pakistan kuna watu wamehukumiwa kifo kwa kutaka kutoka kwenye uislamu. Huko ndiko mnakotaka kutupeleka na sisi hatutaki.

Amandla.....
Nashukuru kama umerudi tena tuendelee na mjadala, kila siku nakuambia usifanye reference ya Uislam kupitia nchi fanya reference kutoka kweye Quran na Sunna, usichanganye tamaduni na mila za watu na Uislam, Uislam haumlazimishi mtu kuwa Muislam, halafu hayo Makanisa sijakuwekea wewe nimewawekea wasomaji wa huu uzi.
 
Mimi si mnafik. Heshima yangu ilitoka dirishani pale uliposhabikia umwagaji damu. Ungekuwa kweli muungwana ungewaasa mashabiki wako wanapowaita watu kenge na majina mengine chafu. Ukimya wako kama ulivyo kwenye dhulma dhidi ya wale wasiokuwa waislamu unaonyesha unakubaliana nao.

Mbona unajichanganya! Hiyo "drama" ilitokea 1961 au 1962? Wewe weka tu maana uhuru wa kufanya hivyo unalindwa katika huu mfumo Kristu.

Amandla.....

Fundi Mchundo,
Mbona ndugu yangu unanisingizia mambo?
Wapi nimeshabikia umwagaji damu?

Mimi sina mashabiki hapa JF.
Kama ni kuungwa mkono kwa fikra zangu naungwa kama anavyoungwa mtu
yeyote yule.

Ama kuhusu ukimya ni hulka yangu ikiwa uwanja unachafuka mie hujituliza
kwa kuwa sina ujuzi wa mambo kama hayo.

Lakini kubwa mimi ni mzee sasa na ni muhimu nichunge muruwa wangu.

Kuhusu mwaka sijajichanganya ila nimekosea na nimesahihisha niwie radhi
kwa hilo.

Kuweka tu sitaweka hadi upende ndugu yangu.
 
Hivi mtu akikuita mshamba akakujibu wewe kenge kuna kulalamika hapo?

Halafu unamsingizia bure Mohamed Said hana wafuasi humu JF kila mmoja kajiunga kivyake kama ulivyojiunga wewe.

Kama haupendi lugha za kejeli na dharau na wewe usipende kuzitumia.
 
Nashukuru kama umerudi tena tuendelee na mjadala, kila siku nakuambia usifanye reference ya Uislam kupitia nchi fanya reference kutoka kweye Quran na Sunna, usichanganye tamaduni na mila za watu na Uislam, Uislam haumlazimishi mtu kuwa Muislam, halafu hayo Makanisa sijakuwekea wewe nimewawekea wasomaji wa huu uzi.

Swali jepesi. Boko Haram ni waislamu au la? Al Shaabad ni waislamu au la?

Amandla.....
 
Hivi mtu akikuita mshamba akakujibu wewe kenge kuna kulalamika hapo?

Nilikuwa namjibu Mohamed Said. Mimi sidhani kuwa wewe kama Ritz umeniita kenge na nisingelalamika wewe kufanya hivyo. Wewe haujawahi kujifanya paragon of virtue kama anavyofanya Mohamed Said. Ndio maana namshangaa mtu anayejiita mstaarabu na kutaka aheshimiwe wakati wafuasi wake wamejaa matusi na kebehi dhidi ya watu wanaotofautiana nao. Kwangu mimi hiyo ni hypocrisy na fully deserving of my contempt.

Kumbuka hata wewe umenifanyia kebehi kwenye huu mnakasha sijui kama unakumbuka lakini mie nikakujibu kwa kukubali kebehi yako, lakini haina shida tuendelee na mnakasha.
 
Fundi Mchundo,
Mbona ndugu yangu unanisingizia mambo?
Wapi nimeshabikia umwagaji damu?

Mimi sina mashabiki hapa JF.
Kama ni kuungwa mkono kwa fikra zangu naungwa kama anavyoungwa mtu
yeyote yule.

Ama kuhusu ukimya ni hulka yangu ikiwa uwanja unachafuka mie hujituliza
kwa kuwa sina ujuzi wa mambo kama hayo.

Lakini kubwa mimi ni mzee sasa na ni muhimu nichunge muruwa wangu.

Kuhusu mwaka sijajichanganya ila nimekosea na nimesahihisha niwie radhi
kwa hilo.

Kuweka tu sitaweka hadi upende ndugu yangu.

Hili ni somo tosha linalojitegemea lakini hapa hatuwezi kuingia ndani ila itoshe tu kusema kuwa kuna Waislam wananyanyua silaha kuilinda dini yao. Kama hivyo ni sawa au si sawa hilo tuwaachie maulamaa waamue.

Haya maneno ulisema wewe? Si yako hapo juu? Hao wanaonyanyua silaha wanazinyanyua kwa ajili gani kama si kumwaga damu kwa kulinda dini yao? Na mbaya zaidi unajifanya kuwa neutral kwenye hili suala. Kwangu mimi hakuna neutrality kwenye uovu. Uovu ukifanywa na Anti Balaka au Seleka, wote ni uovu tu. Uovu ukifanya na he Lord's Resistance army ni uovu tu. Hakuna neutrality hapo. Wote walaaniwe tu. Sasa wewe unashindwa nini kuwalaani watu wanaochinja koo za watu wa imani tofauti nao? Watu wanaoteka watoto wa shule na kuwabaka kwa kusema kuwa wanapingana na ilmu ya makafir? Unashindwa nini kulaani bila kumung'unya maneno wale waliowapiga risasi mapadri Zanzibar? Tuelewe nini baada ya hayo uliyoyaandika hapo juu?

Mzee sio peke yako. Hiyo haikuondoi kuwajibika kwa matamshi yako. Mpaka hapo utakapolaani umwagaji wa damu unaofanywa na mtu wa imani yeyote nitaendelea kuku-despise.

Amandla....
 
Nilikuwa namjibu Mohamed Said. Mimi sidhani kuwa wewe kama Ritz umeniita kenge na nisingelalamika wewe kufanya hivyo. Wewe haujawahi kujifanya paragon of virtue kama anavyofanya Mohamed Said. Ndio maana namshangaa mtu anayejiita mstaarabu na kutaka aheshimiwe wakati wafuasi wake wamejaa matusi na kebehi dhidi ya watu wanaotofautiana nao. Kwangu mimi hiyo ni hypocrisy na fully deserving of my contempt.

Amandla....

We mtoto vipi umlaumu mzee Mohamed Said kwa maneno ya hao uwaitao wafuasi!?

Wakati nyerere ana watumishi aliowatuma kutaifisha mali za watu hatukuona watu km nyie kumlaani yule mwizi wa haki.
leo unamlaumu mzee MS kwa maneno ya wengine!!?

Huo tunauita ni unafiki! Na huo ufundi wako labda wa kusafisha utumbo lkn fundi makini hufanya yale ya haki!
 
Last edited by a moderator:
Wanaweza? Mbona bado unakaa juu ya "fence"? Ni waislamu au la?

Amandla.....

Mkuu kabla ya kuendelea mbele huyo amandla mke mwenza au!??
Hebu nijuze kidogo! Manake sie watu wa bara mipasho hatuijui!
 
Back
Top Bottom