Unajua, viongoz wanachangia sana kusababisha Machafuko. Elimu anayoitoa Nzur but he is biased, wanaongelea yalopita, wanayaacha ya Leo.
Leo waislamu na wakristo tunaish kwa Aman. Mimi ni Mkristo, lakin nimelelewa ktk Familia ya kiislamu, nawaona ni zaid ya Ndugu kwangu. Nawaombea kwa Mola awajazie maisha mema watu walonilea.
Najisikia vibaya, Muelimika anapo jaribu kuondoa hali hii ya aman. Yalotokea ni Mengi, yote si mema, lakin pia yote si mabaya. Bas kwann tusirekebishe haya mabaya? Kwann tunayatumia kama bakora?????
Tuelimishe jamii jaman tusichochee wala kupandikiza chuki. Hv umoja huu nnyi hamuupendi? Are you not enjoy ths peaceful interaction? Mnataka tuwe kama kule nageria? Hebu achaga Hizooo.