Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Unajua, viongoz wanachangia sana kusababisha Machafuko. Elimu anayoitoa Nzur but he is biased, wanaongelea yalopita, wanayaacha ya Leo.

Leo waislamu na wakristo tunaish kwa Aman. Mimi ni Mkristo, lakin nimelelewa ktk Familia ya kiislamu, nawaona ni zaid ya Ndugu kwangu. Nawaombea kwa Mola awajazie maisha mema watu walonilea.

Najisikia vibaya, Muelimika anapo jaribu kuondoa hali hii ya aman. Yalotokea ni Mengi, yote si mema, lakin pia yote si mabaya. Bas kwann tusirekebishe haya mabaya? Kwann tunayatumia kama bakora?????

Tuelimishe jamii jaman tusichochee wala kupandikiza chuki. Hv umoja huu nnyi hamuupendi? Are you not enjoy ths peaceful interaction? Mnataka tuwe kama kule nageria? Hebu achaga Hizooo.
 
So who is he? Mbona mnamquote yeye tuu? Hamkubahatika kusoma ama kumsikia mwanahistoria mwingine mshare nasi?

Am sure wapo walokuwa na story tofaut, ama mawazo tafaut, historia haiwez kamilika kwa hadithi moja tuu.

Am sure kuna meng bado mnayaficha, au hamyasemi, there must be a reason behind all ths.

Am still searching. Bdo nasoma...
 
Pole Sana umeona Punjab ndio kichwa chako cha kukujibia ewe gezeaji.... Sasa alichojibu ni kipi kipya hadi umetaharuki na masifa umetoa? huyo Mwamedi wenu alishafananisha Sheta ni na mtu mweusi kisa cha kusingizia Jews ni kipi hadi kizidi hicho cha mwamedi...! au mapovu yanakutoka tu... Hakuna watu wabaya zaidi ya Waarabu katika ulimwengu huu na haswa ndio waliolaaniwa kwa uovu wa kila aina...

Kama Jews culture yao ni kuwa wao kwa wao ukiwabuguzi wakikasirika ndio kinakufanya ushangae?na kustaajabika...? Historia ya Maisha yao ndio wameisihi maisha ya hivyo hadi leo hii hubaguliwa haswa na hii ni kutokana na Kushika Sheria za Mungu zinazokataza maovu...Kutunza Sabato ambayo hamitaki kukataza kula vyakula na nyama zilizokatazwa kutoshirikiana na waovu n.k Ndio hali halisi ule minguluwe yako then uje kunishika mikono yako... Uabudu misanamu na mizimu yako then uje ushirikiane na mimi bega kwa bega pole sana... Tumche Mungu tuwe Sawa...

ni nani hapa Duniani asiye bagua hebu nitajie japo mmoja au hata Shehe wenu yeyote yule...

Wee mbwakoko wa kisabato!

Acha kutumwagia uharo hapa! Ebo!

Nalishawahi kukufahamisha yakua...mie sizungumzi na mbwa!...kamlete bwanako akufugaye hapo mjini...ndo labda atajaribu kunena nami!?

Salaam zao!
 
Waislam wote wabishi hapa kwangu lazima mpige Saruti... mimi ndio Kiboko Yenu Uzi wangu hakuna Muislam wa Kuushinda... wote napiga chini
 
Waislam wote wabishi hapa kwangu lazima mpige Saruti... mimi ndio Kiboko Yenu Uzi wangu hakuna Muislam wa Kuushinda... wote napiga chini

Kupiga SARUTI ndio kufanya nini mkuu?

Tatizo lako wewe sio kitu cha Kushangaza sana.
Binaadamu ambae mpaka leo 2014 anaabudu picha ya mzungu sidhani kama anaweza kuwa Intellectually ok!
Wewe kwa lugha ya kikoloni tunakuita "MORON"! Haujijui wala haujitambui.
 
Picha ya Mzungu? pole sana mimi nadhani katika elimu yako hadi leo hii kwa jinsi ulivyo na huwezi kataa unaamini kuwa Wakristo huamini kuwa ile sanamu na picha ndie Yesu haswa? na Pia Wahindu na Baniani unaamini wanaabudu Ngo'ombe au vinyago vinginevyo... Pole Sana... haya mambo ni mapito tu kutokana na mazingira yalivyo katika Maisha ya Binadamu... Kwa kuwa Dini yako ya Kiislam huielewi vema ndio maana unakuja kwa nguvu zote mpira wa juu unataka kuupiga kwa tik tak huku umevaa msuli pole sana....

Nikuambia kitu kuwa katika watu ambao ndio wakushangaza zaidi duniani basi hakuna wengine ni Waislam... wewe kwa kuwa unaishi Africa mashariki ndio hufahamu kinachoendelea huko Arabuni unapoamini dini yenu imeaanzia..

Dini ya Uislam ni dini za kale zilizobadilishwa na kuitwa Islam hapo kabla zilikuwa zikiitwa dini za Mataifa za miungu ya vinyago... na kinyago cha Allah bado kipo hadi leo hii...Allah alijulikana kama Mungu Mwezi... na hilo halina ubishi.. hata watoto wake kina manathi lazima unawafahamu katika historia ya uislam Utata uliopo kilipopotea hicho kinyago kikabakia kiwakilishi chake ambacho ni alama ya Mwezi na kipo kwa kila Msikiti wa waislam nadhani Ismailia wao walikikataa peke yao...ambapo kiongozi wake Aga Khan anatokea ukoo mmoja wa Mwamedi katika wajukuu zake... jiulize kwanini wanafahamu the truth....

Kwa Wazungu unaozungumzia kihistoria na wataalam wa kuchora humhadithia Yesu alivyokuwa hata sasa kuna wataalamu wa kuchora kwa kumhadithia tu na akikucholea hukatai... ndipo historia ya picha ya yesu ilivyojulikana na kuchorwa.... ndio maana hata Mwamedi anachoreka tu ila ndio hamtaki... japo hana la maana lolote kwani hakuleta amanai zaidi ya umwagaji damu tu hadi leo hii...

Wahindu na baniani huamini Mungu aliye juu na zile sanamu ni aina tu ya kumfanya mtu apate hisia za kuwa anawasiliana na Mungu... lakini sanamu hazina maana yoyote...

Maandiko yamekataza kutengeneza Sanamu... hivyo mimi kwangu siamini wala kuabudu sanamu lolote

0-pt-17-pg-46-allah.jpg
 
Picha ya Mzungu? pole sana mimi nadhani katika elimu yako hadi leo hii kwa jinsi ulivyo na huwezi kataa unaamini kuwa Wakristo huamini kuwa ile sanamu na picha ndie Yesu haswa? ]

KANISA MAMA lililoko VATICAN limejaa masanamu ya MZUNGU!

Na Makanisa yote Duniani Yamejaa Picha za MZUNGU.

Mnaabudu Mzungu halafu mnajifanya Wajanja.
Huo ni upunguani mkuu.
Amkeni nyie mambulumundu!

Ugalatia ni mzigo.

Leo unataka kukataa kuwa Yule nsela wa msalabani sio MZUNGU yesu?
Kataa basi upigwe laana na PENGO bin Mwanya!
 
kichaa wa akili anajulikana kwa maneno tu
 
Mohammed Said,

I will skip the yippy yapping and go to the heart of the matter.

Dini zote hizi za Abrahamic line ni uongo wa kizamani. Hakuna mungu. Vitabu vimeandikwa na binadamu na vinatumiwa na binadamu kisiasa na kiuchumi.

Quran inakwambia Allah atawatia wengine moyo mgumu sana wasimjue, na wengine atawapa neema wamjue, kisha wale aliowachagua yeye mwenyewe kuwatia moyo mgumu wasimjue atawahukumu na kuwachoma moto, wale aliowachagua kuwapa neema ya kumjua atawapa pepo.

Sasa kama Allah ndiye anayechagua nani apate neema ya kumjua yeye Allah, na nani hata ajitahidi vipi kumjua Allah hawezi kumjua, inakuwaje tena Allah amhukumu huyu mtu ambaye yeye mwenyewe Allah kamfanya moyo wake huyu mtu uwe mgumu kiasi huyu mtu ashindwe kumtambua Allah?

Hivi hili linaingia akilini kweli hili?

Allah anifanye mimi kichwa ngumu nisimkubali, kwa kuwa yeye ndiye muweza yote, akishaamua hivyo, mimi siwezi kumjua, halafu siku ya kiama anihukumu mimi kwa kutomjua yeye?

Ilhali yeye mwenyewe ndiye aliyeamua kunifanya niwe na moyo mgumu?

This is what the Quran says.

There is no Allah. It's just old incoherent stories.

Ukristo na Uislamu ni dini zilizojengwa juu ya uongo. Na kitu kikishajengwa juu ya uongo matokeo yake ni uongo zaidi na ubaya.

Ndiyo maana unaona matatizo yote yanayoendana na dini haya.
 
KANISA MAMA lililoko VATICAN limejaa masanamu ya MZUNGU!

Na Makanisa yote Duniani Yamejaa Picha za MZUNGU.

Mnaabudu Mzungu halafu mnajifanya Wajanja.
Huo ni upunguani mkuu.
Amkeni nyie mambulumundu!

Ugalatia ni mzigo.

Leo unataka kukataa kuwa Yule nsela wa msalabani sio MZUNGU yesu?
Kataa basi upigwe laana na PENGO bin Mwanya!
Tatizo lako kila umuonaye anapinga uislam wewe unamchukulia ni Roman Catholic... Pole Sana......

Kama unamsema Yesu basi umekosea Yesu hakuwa Msela.... Kumlinganisha na Mwamedi....

Yesu-alikuwa na Upendo na alikuwa Mwema,Aliponya watu,Aliwafundisha watu wawe wema na upendo, Yeye aliwaambia watu kuwa yeye ni Njia kwa Mungu aliye hai....

Mwamedi - Alibaka,Aliua,Alizini,Aliwaingilia wanaume,Aliingiliwa Kiume baada ya kufumaniwa na mke wa Mtu,Mwizi wa Mali za watu,mfitini,mzandiki,aliingiwa Mashetani pangoni,alibaka watoto wadogo,alilaanisha wafuasi wake wote wanaomfuata na watakao mfuata kwa kumuamini yeye kama mtumwa wa allah na Allah,Hajui Allah atamfanya nini siku ya kiama,amewadanganya waislam kuwa akhera ni kufanya mapenzi tu huko na wanawake wengi,Makosa yake yamewafanya waislam wawe wanamuombea kila siku hakika alikuwa mkosefu...

Hapo utaona nani Msela
 
Tatizo lako kila umuonaye anapinga uislam wewe unamchukulia ni Roman Catholic... Pole Sana......

Kama unamsema Yesu basi umekosea Yesu hakuwa Msela.... Kumlinganisha na Mwamedi....

Yesu-alikuwa na Upendo na alikuwa Mwema,Aliponya watu,Aliwafundisha watu wawe wema na upendo, Yeye aliwaambia watu kuwa yeye ni Njia kwa Mungu aliye hai....

Yesu aliposema kwenye MATHAYO 10; 34 kuwa.

Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga.-

Hapa huyu msela huu upanga aliotuletea alitaka tulie maembe au?

Na kwenye LUKA 19:26-27 Anaendeleza UNYAMA wake kwa kusema

"26-Nawaambia, Kila aliye na kitu atapewa, bali yule asiye na kitu atanyang'anywa hata alicho nacho.-
27-Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.-

Sasa huyu Shetani anaechinja watu Ovyo Ndio unaesema Kamuwakilisha Mungu?
Huyo mungu wako anauita UPANGA kuwa Ni MAPENZI sidhani hapa TZ tunamuhitaji!
Mpeleke huko kwenu Rwanda

kafiri Mbulula wahed.
 
Mohammed Said,

I will skip the yippy yapping and go to the heart of the matter.

Dini zote hizi za Abrahamic line ni uongo wa kizamani. Hakuna mungu. Vitabu vimeandikwa na binadamu na vinatumiwa na binadamu kisiasa na kiuchumi.

Quran inakwambia Allah atawatia wengine moyo mgumu sana wasimjue, na wengine atawapa neema wamjue, kisha wale aliowachagua yeye mwenyewe kuwatia moyo mgumu wasimjue atawahukumu na kuwachoma moto, wale aliowachagua kuwapa neema ya kumjua atawapa pepo.

Sasa kama Allah ndiye anayechagua nani apate neema ya kumjua yeye Allah, na nani hata ajitahidi vipi kumjua Allah hawezi kumjua, inakuwaje tena Allah amhukumu huyu mtu ambaye yeye mwenyewe Allah kamfanya moyo wake huyu mtu uwe mgumu kiasi huyu mtu ashindwe kumtambua Allah?

Hivi hili linaingia akilini kweli hili?

Allah anifanye mimi kichwa ngumu nisimkubali, kwa kuwa yeye ndiye muweza yote, akishaamua hivyo, mimi siwezi kumjua, halafu siku ya kiama anihukumu mimi kwa kutomjua yeye?

Ilhali yeye mwenyewe ndiye aliyeamua kunifanya niwe na moyo mgumu?

This is what the Quran says.

There is no Allah. It's just old incoherent stories.

Ukristo na Uislamu ni dini zilizojengwa juu ya uongo. Na kitu kikishajengwa juu ya uongo matokeo yake ni uongo zaidi na ubaya.

Ndiyo maana unaona matatizo yote yanayoendana na dini haya.

Mtoto wa zinaa Hata ukijitahidi Kumfundisha Nidhamu Utapoteza wakati wako tu.!

We mtoto nilishakwambia muda mrefu kuwa Haya majina mnayopewa na Mama zenu wakati mwingine yana Madhara makubwa sana. Kiranga kwa lugha ya Kizaramo Maana yake ni NYEGE!
Sasa mkuu wewe Uitwe "NYEGE"! Hivi unategemea Utaandika la maana hapa?

Unatunga vitu kutoka kichwani kwako halafu Unaandika kuwa Vimetoka Kwenye QURAAN!
Hebu tuwekee Reference hapa Ya Hayo maneno yako hapo juu Tuone umeyatoa wapi ktk QURAAN.!

Ndio Nyie Mnaotawaliwa Mpaka leo na Hao wazungu mnaowaita wamestaarabika hali ya kuwa Nguo pia hawajajua Kuvaa mpaka leo!
Kuchamba kwa maji pia imekuwa Ni shida kubwa!

Na wewe Mtoto wa Kizaramo Unawaiga na Kuja Macho Juu hapa kwa Kukataa na Kupinga vitu USIVYO NA ELIMU zao.

Nakushauri tena! Jaribu Kubadili jina.
Au Utazidi kusumbuliwa na Hayo Manyege All the time.
 
Last edited by a moderator:

All your usual ramshackle ad hominem attacks are going straight to my ignore list.

Not worth a glance.
 
Last edited by a moderator:
All your usual ramshackle ad hominem attacks are going straight to my ignore list.

Not worth a glance.

The wise old elf use to say.

To know that you do not know is the best.
To think you know when you do not is a disease.
Recognizing this disease as a disease is to be free of it.

Time after time, history demonstrates that when people don't want to believe something, they have enormous skills of ignoring it altogether.
And Kiranga remember that Ignorance is a lot like alcohol: the more you have of it, the less you are able to see its effect on you.
 
Mkuu Ritz,

Nimekusoma na kukufahamu kwa utuvu ulo mwingi mno!

Ndo kwanza leo nimerejea humu-JF na nyoote ndo napitia posts zenu...yaani hii mipini yenu ni khatari! Duuh!

Unanuliza mie kwanini ati magalatia woote wamengia mitini hapa jamvini!?...sasa nyie mmemwaga hizo WMD's,sasa ndo panakalika kweli hapa!? Daah! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Nastaajab mno njama na huu woga unaowapata hata hawa Mods wa JF!?

Kwanini kila thread anayoanzisha Maalim Mohamed Said,wao Mods lazim wanafanza njama/hila za aidha kuifuta au kuihamisha kutoka pale jukwaa la siasa!? Wanaogopa nini!?

Nyinyi Mods...kama kweli mngalikua mnafuata sharia na kanuni zenu wenyewe za humu-JF...basi msingalithubutu kuachia thread kadhaa zenye kueneza chuki na kashfa dhidi ya Waislam/Uislam,chuki za makabila na upuuzi mwangineo zitamalaki khasa pale jukwaa la siasa!? Daah!

Thread/s zoote za Nicholas kutukana Waislam/Uislam na wale alowaita ati "Waswahili"...zilikaa/ziliachwa pale "Jukwaa la Siasa" kwa muda mrefu mno...na ilhali kila mmoja akiona yakua zilitamalaki chuki za kidini,ukabila/ukanda na matusi/kashfa dhidi ya hao ati " Waswahili"/Waislam!? Daah!

Tuko pamoja Kaka!
Wewe jamaa umeishia wapi!? Kitambo sana cc Titans
kahtaan huyu bwana mdogo ulimfanza nini.?
 
kwann ijiunge na IOC!? alichozungumza lukuvi sio dhambi. nilazima Muungano uwepo.Zanzibar ina umuhimu kama kuril islands kwa Russia,Macao,hongkong,Taïwan kwa china,Hawaii,Guam, kwa USA etc
 
Back
Top Bottom