Niliwajuza mods mapema sana,uzi umegeuka muhazara wa dini
Viumbe kama ninyi mtapa taabu sana katika kufahamu ukweli!
Kwani bado mmefungwa katika fikra mgando za Lukuvi!
Nyie wapakwa mafuta mmeathirika sana na mafundisho yasoruhusu masuali kwa wachungaji kondoo hapo kanisani!
Wewe mtu mzima unaambiwa hapa JF, hiyo picha ya mzungu mnayoweka sio Yesu ni jamaa tu, unabisha na kuwa mkali kiasi unataka kurusha ngumi!
Badala uende kwa mchungaji wako ukamuulize eti Baba mchungaji, JF wanasema ile picha ya Yesu sio yeye ni mcheza sinema tu?!
Lakini kwakua mmejengwa kati nidhamu ya woga na kutoruhusiwa kuuliza maswali, kamwe hakuna mgalatia miongoni mwenu anaeweza msogelea Mchungaji au Paroko na kuuliza suali hilo, HAKUNA!!!
Ukijitahidi kubana makalio na kujitoa ufahamu ukauliza, sana sana utaambiwa umepatwa na MAPEPO kwahivo uombewe!
Wacheni woga nyie wapakwa mafuta....tulieni hapa tuwaoneshe yalo kweli na HAKI.
Waislam tuko huru kuzungumza na kuuliza masuali bila ya woga na ndio maana Dini yenu feki tunaijua nje ndani.
Tulieni tuwafunze historia ya kweli ya nchi hii na mkimsingizia Yesu wa kweli uongo sisi hatutakaa kimya!
Tutawaambia UKWELI nyie wapakwa mafuta hata kama utawauma!