Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Kweli chuki za kidini zipo,hukuti MZUNGU akitajwa kuhusu UTUMWA ni MWAARABU tu.
 
Maashallah may Allah bless you ustadhanaa....mtu da'awa lazima uchukiwe,utusiwe,ukashifiwe,uzomewe na watu wa baatwil shekh....Allah akuzidishie imaan na istiqama na atujaalie mwisho mwema Insha Allah
 
Wajinga ndio waliwao, na siku zote m2 akikuzidi akili atakutawala upende usipende. Thanks b2 GOD almighty im a Christian aka ruling class.

Mkuu,

Acha kuishi kwa myth na falsehope!

Unazungumzia mambo ya class,je unayafahamu kiundani!? Daah!

Mfano kiduchu...mie tangia mduchu ma-houseboys na housegirls wetu takriban woote ni magalatia/makafiri...kati ya wahehe,wachaga,wagogo na wabena!

Hawa makafiri tuliishi nao vyema...na walikua wakitufulia,kuosha vyombo,kusafisha nyumba na bustani...na wangine tukiwaweka mashamba kuhudumia mifugo na mazao yetu mpaka kesho!

Na mifano kama hii mpaka kesho imetamalaki kwenye majumba kadhaa ya Waislam hapo Tanganyika na Zanzibar yoote!

Jihadhari kiduchu unapogusia issues/topics usozijua kiundani!? Daah!
 
Anasemaje??

Ati wao ni Rulling Class??

Ikulu tunayo sisi kwa sasa na hatutaruhusu tena Radical Catholic kama nyerere au lukuvi kukanyaga jengo lile

Abadan asilan.
 
Kwa hiyo lukuvi ni mwakilishi wa wakatoliki?kama amekukwaza sio wakatoliki wote, acha kutukana dini za watu, wakatoliki tuwe na chuki na waislamu kwa lipi? Hebu nendeni shule mkasome muongeze upeo wa kufikiri sio ku-generalize!!!

Huko makanisani ambako lukuvi alikuwa anamwaga hizo lahaja zake za udini mbona nyinyi wahubiriwa na maaskofu wenu mlikuwa mnashangilia??

Kama sio chuki tuite kitu gani??
 
Soma makala za Joseph Mihangwa uelimike kuhuzu Zanzibar. Achana na vitabu vya kigaidi kama hivyo

Aakhh pow! Joseph Mihangwa another leech like sucker parasite what does he know the history of Zanzibar than the Zanzibari themselves. Bring reference one Zanzibari Historian not the indoctrinated leech fake Mihangwa.
 
Umeanza kwa kutukumbusha kuwa kuna waislamu wanaobeba silaha kutetea dini yao. Kwa unafik mkubwa unajifanya kuwaachia wengine waamue kama wako sawa au la. Kwangu mimi naamini kuwa mtu yeyote anayeshindwa kukemea uovu yuko upande wake. Mtu yeyote anayepata kigugumizi kulaani matendo ya wakina Al Shaabab na Boko Haram, anawaunga mkono. Kwenye hili hatuna haja ya kuwasubiri hao maulamaa watuambie uko upande gani maana ni dhahiri utafurahi ikifika siku waislamu wenzako humu nchini wakibeba silaha kupigana na unachokiita mfumo kristu.Umelalamikia yale unayoona maovu yanayoendelea kufanywa na makafir dhidi ya waislamu. Umepandisha jazba ukifikiria kiburi cha Kafir kama Lukuvi kutamka bayana kuwa anahofia serikali ya kiislamu Zanzibar. Katika yote haya, hata mahali pamoja hukuwataja wakina Father Evaristus Mushi, Pastor Mathew Kachira, Joseph Mwang'amba,Sheikh Fadhil Soraga, Katie Gee na Kirstie Trup ambao ama wamepoteza maisha yao au kuharibiwa viungo vyao mwaka jana kisiwani Zanzibar. Bila shaka kwako wewe hawa ni "collateral damage" katika vita ya kulinda dini ya kiislamu. Kwako wewe hawa ni malipo tosha kwa wale waliopoteza maisha Mwembechai na Pemba! Bila shaka ukiwa na wenzako unawapongeza wale wote walionyanyua silaha zao na chupa zao za tindikali katika kulinda dini yao ya Uislamu.

Huyu binti amekosea alipoita hayo maandiko yako kuwa pumba. Maandiko yako ni zaidi ya pumba, ni maovu na yaliyojaa chuki na uchochezi dhidi ya wasio dini yako. Na ili tusikuchanganye na hao makafir wanaodai Tanganyika yako, unatukumbusha kuwa wazazi wako hawakutoka Tanganyika. Ndio maana hausiti kupandikiza sumu hapa maana una mahali pa kukimbilia! Uzuri tu ni kuwa watu waovu kama wewe kila siku wanashindwa. Hizi jitihada zako zitawafurahisha wafuasi wako humu ndani lakini wengi watakukwepa kama ukoma.

Amandla.......

Imejitosheleza FUNDI MCHUNDO....sina haja ya kuongeza neno
 
Naongea kama muislamu........
Naomba MODS MUNINUKUU.
Sioni fahari Kuwa muislamu.
Waislamu(sio uislamu) ni moja kati ya matatizoya msingi katika taifa letu.
Mnahubiri(kinyume na uislamu) uadui na utengano zaidi ya upendo na mshikamano..
Ni wanafik (kinyume na uislamu).
UAMSHO( WAISLAMU) mnaua viongozi wa dini na kuchoma makanisa(kinyume na uislamu).
Bado MNA akili ya KITUMWA ya kudhani MUARABU ndio MTU bora(wakati ndio mtenda dhambi mkubwa)
Nawashauri tuu ndugu zangu katika imani (waislam) kama mnataka taifa LA kiislamu basi HAMIENI OMAN.... Kwani si kuna ndugu zenu wanaowafadhili.
Serikali 3 au ya NKATABA haipo hata mdhikiri mkiwa watupu

Sasa nani kakuambia yupo hapa kumshangilia muarabu??

Kwani hakuna waarabu ambao ni waamini wa dini zingine??mbona unaongea kama umerukwa na akili au pilau la pasaka limekuzubaisha akili wewe kafiri...
 
Kwa hiyo lukuvi ni mwakilishi wa wakatoliki?kama amekukwaza sio wakatoliki wote, acha kutukana dini za watu, wakatoliki tuwe na chuki na waislamu kwa lipi? Hebu nendeni shule mkasome muongeze upeo wa kufikiri sio ku-generalize!!!

Mkuu,

Mbona unakua mnafiki na mzandiki kama yule haramia Nyerere!? Daah!

Inaelekea unajaribu kukemea huo uliouita ati "ubaguzi wa kidini"...lakini wakti huhuo wewe unatumia sweeping statements/comments dhidi ya Waislam woote!? Duuh!

Wee hivi unifahamu history ya kanisa katoliki kiundani na unyama/impact yake worldwide!? Daah!

Salaam zao Kamanda!
 
Wewe vipi laumu Maalim Mohamed Said yeye kusemea mambo ya Zanzibar kwa sababu yeye penda Tanganyika. Wewe kama taka Tanganyika rudi basi pigania free sovereign Zanzibar. Impossible Tanganyika to annex Zanzibar and call it Tanganyika. You learn history from him sio that been cooked at Pengo's Altart and Chuo ya Kivukoni.
gombesugu bhai

Heko Punjab Signh

Wewe iko nakaa wapi siku hizi,kule kule newdelhi au umehamia islamabad?

Teh Teh Teh....
 
Naongea kama muislamu........
Naomba MODS MUNINUKUU.
Sioni fahari Kuwa muislamu.
Waislamu(sio uislamu) ni moja kati ya matatizoya msingi katika taifa letu.
Mnahubiri(kinyume na uislamu) uadui na utengano zaidi ya upendo na mshikamano..
Ni wanafik (kinyume na uislamu).
UAMSHO( WAISLAMU) mnaua viongozi wa dini na kuchoma makanisa(kinyume na uislamu).
Bado MNA akili ya KITUMWA ya kudhani MUARABU ndio MTU bora(wakati ndio mtenda dhambi mkubwa)
Nawashauri tuu ndugu zangu katika imani (waislam) kama mnataka taifa LA kiislamu basi HAMIENI OMAN.... Kwani si kuna ndugu zenu wanaowafadhili.
Serikali 3 au ya NKATABA haipo hata mdhikiri mkiwa watupu

Bora uwashushue tu hao ndugu zako na wengine wenye mtazamo kama wao..
 
Aakhh pow! Joseph Mihangwa another leech like sucker parasite what does he know the history of Zanzibar than the Zanzibari themselves. Bring reference one Zanzibari Historian not the indoctrinated leech fake Mihangwa.

Mkuu,

Bahati yako weye ni Kalasinga...lakini kwakua unapingana na hizi fikra zao za uchovu na ulemavu...basi wangelikuita ati "mdini"!? Daaah!

Tuko pamoja bhai! Teeeh! Teeeh! Teeeh!

Ahsanta.
 
Punjab Singh,

Najua nyie wasia mlipata tabu sana wakati wa Nyerere, mlidhulumiwa sana mali zenu pole sana, nyumba zenu, hospitali, mashule, na pesa zenu.

Unfortunately he was thief of favours my dad used to doubt him and was one day with one of the Gerezani musliman elders and he asked him how do they trust Nyerere will stand up to his promises.

He used the Army Mutiny to put a blame on Zanzibaris '(Arab)' revolutioneries while hiding the real reason of leaving the wazungu leading the army. The same Arabs he blamed is the one who took him to safety and hid him there in his shamba cottage until the mutiny was put under control. Etc. Etc. Etc.
 
Heko Punjab Signh

Wewe iko nakaa wapi siku hizi,kule kule newdelhi au umehamia islamabad?

Teh Teh Teh....

syria,libya, tunisia, misri sijui ni wapi uislam umewahi fanikiwa kuongoza kwa uhuru

wanajiitwa wakereketwa wakiislam walimuua gadafi kwa msaada wa west,
walimpindua ben wa tunisia
walimwondoa mubaraka
na sasa wanataka kumwondoa assad

NACHOJIULIZA KWA NINI BAADA YA HAYO MAPINDUZI WALISHINDWA KUONGOZA mpaka wakatamani wasingewapindua??

mwislam ameumbwa kuongoza na sii kuongozwa
 
Since you raised a question, do not shy away from it.

Is "Militant Islam" right or not?

joseph kony of lord resistance army uganda

i ddnt heard you people calling him as A MILITANT CHRISTIAN..WHY :A S 114::A S 114:??

What a double standard...!!

Itahamika tu.

:flypig: :flypig:
 
Wee mgalatia aka Kafiri!

Tafadhali hayo masuali yako yoote hapa si pahala pake...au ndo mmeshindwa hoja za maana,na kama dasturi yenu mnakuja kumuharibia thread yake Maalim Mohamed Said!? Daah!

Hii yaonyesha udhaifu na woga mkubwa mlionao!...yaani mlizoea kubebwabebwa takriban katika kila nyanja na yule haramia mnafiki Nyerere!...na mlisahaulishwa kuishi katika mazingira ya mijadala ya kitaaluma au kukosolewa unyama wenu,sio!?

Kwa kifupi, peleka hayo masuali yako kule jukwaa la udini wapo akina Gavana,Ally Kombo,Kahtaan na Maulamaa wangine...nina hakika watakupa tu mipini mizuri na utaridhika, au!?

Ahsanta sana!

jbu bana ucwe na hasira. yana ukwel hayo lakn
 
Bora uwashushue tu hao ndugu zako na wengine wenye mtazamo kama wao..

Wee Aunt Jackson Mmasai!

Huyo kenge kafiri notra dame ni mgalatia tu kama weye!

Ametwishwa gunia la miba na Maalim Mohamed Said...basi kangia mitini tangia jana!? Duuh! Teeeh! Teeh! Teeeh!

Au weye Aunt Jackson hufuatilii hili jamvi post by post!?

Kwanini unafurahia ati kushushuana na sisi ati kupewa mipasho!?...punguza mambo yako hayo,Yakhe! Ebo!

Hapa ni mjadala tu kiduchu wa kiungwana...hakuna haja ya kulumbana wala kukashifiana,au!?

Hata hivyo matusi na kashfa zozote...zitajibiwa ipasavyo!

Kwaheri!
 
syria,libya, tunisia, misri sijui ni wapi uislam umewahi fanikiwa kuongoza kwa uhuru

wanajiitwa wakereketwa wakiislam walimuua gadafi kwa msaada wa west,
walimpindua ben wa tunisia
walimwondoa mubaraka
na sasa wanataka kumwondoa assad

NACHOJIULIZA KWA NINI BAADA YA HAYO MAPINDUZI WALISHINDWA KUONGOZA mpaka wakatamani wasingewapindua??

mwislam ameumbwa kuongoza na sii kuongozwa

Ooh Real??

Kumbe walioamuua ghadaffi,

Saddam hussein,

Wanaoendelea kuua watu iraq maelfu kwa maelfu kwa kigezo kile cha umiliki wa weapons of mass destructions na kadhalika ni waislam??

Walioua watu enz hizo world war 1 n 2 ni waislam kumbe??thats very interesting...

Wa walioua watu maelfu kwa maelfu huko hiroshima na nagasaki ni waislam eeeh??

Looks hata huyu joseph kony of LRA ni muislam si ndiyo??

Na huko Afrika ya kati waislam wanakouawa maelfu kwa maelfu na hawa ANTI BARAKA bila shaka wanauliwa na waislam wenzao eti eeh??

Hamkawii nyinyi kusema hata yesu kristo tumemuua sisi waislam..

Kwani nyinyi mna dogo??

Ila twendeni tuh tutafika.

😛hoto: 😛hoto: 😛hoto:
 
Wewe umesomea porojo na kuhitimu siyo. Kwani ni makosa Zanzibar kupata nchi yao na kuamua mambo yao?

wewe wacha upunguwani wa akili nani asiye jua haya waislam mnaajenda ya siri na Zanzibar

umenifurahisha sana na hiyo mifano yako kwa hiyo jamii ya kiislam haifanyi kazi za ndani kweli umepotoka
nani hasiyejua kwamba waarabu wanawapa hela za bure kwa lengo la kutekeleza malengo feki ya miaka miamoja mlio kubaliana pale Khartoum sudan miaka ya 1980+ ninahamini ipo siku mtayakimbia hayo majumba
haiwezekani mtu ameanza biashara ndani ya mwaka mmoja awe na uwezi wa kumiliki jengo la mill 800 si kweli na inavyo onesha kuna mkuu anayewalinda ndani ya hii serikali ila yanamwisho wake tu
 
Back
Top Bottom