Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Sasa unaanza viroja, nakuuliza huyo aliomba visa au alijiripua Uingereza?

Hayo ya watu maarufu kutanabahi na kuingia Uislaam na mkaanza kuwapaka matope, tumeyazowea wala hayatustui.

Na hawa Jee, walijiripua Uingereza;

Sasa jiulize, Padri tena Daktari wa Kanoni anaezini na kuzaa na mke wa mtu na kutelekeza mwanamke mwingine aliyezaa nae bila ndoa, huyo sijui unamuongeleaje?

Naona umepewa kisa kidogo na Al Alama Mohamed Said, vipi umeridhika au bado una maswali kuhusu Nyerere kujaribu kila hila kuuangamiza Uislaam Tanzania? (kashindwa) na hakuna ataeweza, si wewe, si Nyerere si Lukuvi, Hilo kumbuka. Si hapa tu, duniani unajionea wanaingia Uislaam makundi kwa makundi. Kama huyaoni basi wewe una macho lakini hayaoni, kama huyasikii basi wewe una masikio lakini hayasikii. Pole sana.

Vipi na wewe unamuunga mkono William Lukuvi kwa aliyoyaongea kanisani?
Mpe na hii bayana kiduchu kutoka Uingereza.

Police force gives headscarves to female officers to wear with Muslims

Avon and Somerset Police is issuing its female officers with head coverings to be used in places of worship to improve relations with Muslim communities.

scarves_1451295c.jpg
Assistant Chief Constable Jackie Roberts (right) said 'It recognises and respects the cultural and religious practices of our communities'
 
Huo ndio mfumo kristu. Uvumilivu. Sio kuchoma nyumba za ibada za wenzako. BTW huu ni ushahidi tosha kuwa sio wote wanaovaa Hijab ni waislamu ( FaizaFoxy umeelewa sasa?) Sasa tuwekee picha ya kanisa Saudi au Yemen.

Amandla.....
 
Fundi Mchundo,
Baada ya yale niliyokufunulia kiduchu ukawa kimya, bado unamini mimi ni wa
''mitaani'' na nasikizwa na watu wa mitaani?

Muda mchache uliopita kabla ya maghrib nilikuwa katika majadiliano kuhusu
muungano yaliyofanywa na VOA mwenyekiti akiwa Abdulshakur Aboud na
''panelists'' akiwamo Prof. Baregu na Hamza Rijal kutoka Zanzibar.

Bado unaniona mtu wa kijiweni?

Wewe ni mtu wa kijiweni tu na ubaya zaidi ni mchochezi na mtu muovu.

Nilikuwa kimya? Hivi mpaka usomewe? Rudi kwenye postingg zangu utakuta hii:

EAMWS kilianzishwa na Aga Khan mwaka 1945. Aga Khan ambae baadhi yenu hamumkubali kama muislamu kamili. Kilichouwa EAMWS ni Azimio la Arusha na dhana ya baadhi ya waislamu kukiona kama chama cha wahindi. Katika mkutano wa mwaka 1968 uliofanyika Iringa, hakuna mkristu aliyekuwepo. Mzungumzaji mkuu alikuwa Karume na ndie yeye aliyepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza la EAMWS.

"The state radio and the Party press gave very wide publicity to the defection. News headlines and front page photographs depicting Mr. Nasibu busy with Pressmen donned the Party dailies".[SUP] 20[/SUP]
It was after this announcement and the publicity by the mass-media that Muslims in Tanzania came to realise for the first time that they had a Muslim national "crisis" in their hands. Five days later on 22[SUP]nd[/SUP] October, Sheikh Juma Jambia member of the Central Committee of the EAMWS Tanga Region made a similar announcement of withdrawing from the society.[SUP]21[/SUP] Soon after, Iringa also announced its withdrawal from the EAMWS leadership at the headquarters in Dar es Salaam. The leadership of the EAMWS at the headquarters reacted immediately to these withdrawals by calling a meeting of the executive to discuss the new development in the society. The mass-media facilities which were at the disposal of the separatist group i.e., the Party newspapers and the state-controlled radio were denied to the EAMWS leadership. It was therefore clear from outset that the government was taking sides on the "crisis" and the state radio and Party newspapers were being used by the government to subvert Muslims and the EAMWS. Having known what opposition was against them the EAMWS leadership at the headquarters became engulfed with the atmosphere of insecurity and uncertainty, the EAMWS executive turned to Muslims for support.
The dissident group gave many reasons necessitating the split from the EAMWS but the main ones were as follows:
(i) The constitution of the society snot fit compared with the country’s leadership
(ii) The constitution should be Tanzanian
(iii) The Aga Khan should not be a patron
(iv) The Secretary General of the society should be an African Muslim
(v) No one knows the money given as aid from outside countries for the advancement of Muslims, not even the sources.[SUP]22[/SUP]

Maneno yako mwenyewe kuhusu kifo cha EAMWS. Unataka kutuambia hao wakina Nasibu, Jambia na wengine walikuwa wa misheni?

Halafu hebu mfahamishe FaizaFoxy kuwa ni wamisri ndio walioahidi kujenga Chuo Kikuu kwa ajili ya waislamu na sio Gaddafi.

Amandla......

Wadanganye hao "echo chamber" zako ambao kila utakulolisema wao wanalisujudia.

Amandla.....
 
Chagua Source utakayoipenda kwenye hizi nilizokuwekea hapa, najua baadae utarudi.

[TABLE="class: fw-list-grid"]
[TR]
[TD="align: center"]
Islam Fastest growing religion in London...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:18 AM
91 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

Islam in US Islam is Fastest Growing Rel...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:16 AM
87 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

FOX TV News - Islam World Most Growing ....

85 Views - 0 Comments

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 33%, align: center"]

ISLAM World Fastest Growing Religion acc...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:15 AM
87 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

"Islam is the fastest-growing religion i...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:14 AM
50 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

The Fastest Growing Religion in the Worl...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:13 AM
46 Views - 0 Comments

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 33%, align: center"]

BBC NEWS : Islam is the fastest-growing ...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:11 AM
46 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

Islam is Fastest Growing Religion in UK ...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:09 AM
41 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

Islam: fastest growing religion in the w...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:08 AM
32 Views - 0 Comments

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 33%, align: center"]

Islam: The World's Fastest Growing Relig...
by TM Kamal Pasha on March 28, 2013 at 5:01 AM
141 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

Islam - The Fastest Growing Religion par...
by TM Kamal Pasha on March 28, 2013 at 5:00 AM
119 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

Islam, the Fastest growing religion, her...
by TM Kamal Pasha on March 28, 2013 at 4:59 AM
124 Views - 0 Comments
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Huo ndio mfumo kristu. Uvumilivu. Sio kuchoma nyumba za ibada za wenzako. BTW huu ni ushahidi tosha kuwa sio wote wanaovaa Hijab ni waislamu ( FaizaFoxy umeelewa sasa?) Sasa tuwekee picha ya kanisa Saudi au Yemen.

Amandla.....
Hivi unajua Hijab au unakariri tu. Hijab hizi hapa.
2004_05_02_Erb_AFamily_cousins_sister_Pahl.jpg
 
Amandla.....
[/SIZE]

Fundi Mchundo,
Ukiwa umeega sawa hapana neno.

Hiyo ndiyo salama kwako kwani kwa majadiliano hutoweza kunishinda kamwe.

Nilotaka kukueleza naamini umelielewa nalo ni kuwa nalifahamu somo langu
kwa kiwango cha juu sana.

Na wataalamu wa historia ya Afrika wananijua kiasi kuwa mimi ni mmoja wa
waandishi wa Dictionary of African Biographies (DAB) mradi wa Harvard na
Oxford University Press, New York.

Nina uzoefu wa watu kama wewe wa kudharau Waislam.

Katika maisha yangu nimekutana na wengi na wote tumeachana wakiwa na
adabu zao kamili kwangu.

Najua ndani ya moyo wako unakiri ukweli lakini hulka ya binadamu ni kuwa
unajikaza na umeifundisha saikolojia yako kukataa unajiambia, ''Haiwezekani
huyu Mswahili wa Kariakoo...''

Wewe si wa kwanza na hautokuwa wa mwisho In Sha Allah.

Vizuri umeaga.

Nami nakuaga na hii hapa chini:

Mwaka ni 1962.

Mahali ni New Street katika ofisi ya rais wa TANU Nyerere na kabla yake
ilikuwa ofisi ya Abdulwahid Sykes wakati alipokuwa Rais wa TAA 1952/53.

Pamoja na Abdu Sykes na Nyerere yuko Dr. Kleruu.
Wanapanga namna ya kuandika historia ya TANU maana uhuru ushapatikana.

Abdu Sykes kaja na majadala ya baba yake Kleist akiwa katibu muasisi wa
African Association 1929.

Pamoja na nyaraka hizo za baba yake, Abdu Sykes kaja na shajara (diary)
zake binafsi toka 1945 na nyingine kaziandika kwa shorthand (hati mkato).

Zote hizo zinaonyesha harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nyerere kashangazwa na mambo yale...

Hakutegemea kukuta historia nzima ya uhuru wa Tanganyika mikononi mwa
Abdu Sykes.

Hakuamini macho yake...
Kapigwa na butwaa kubwa...

Fundi Mchundo,
Ukitaka nikukamilishie kilichotokea nieleze.

Nitakupa kisa kizima kuonyesha jinsi nyoyo zenu ziliavyokuwa na hasad na
choyo...

Sishangai na chuki yako dhidi yangu.
 
Fundi Mchundo,
Ukiwa umeega sawa hapana neno.

Hiyo ndiyo salama kwako kwani kwa majadiliano hutoweza kunishinda kamwe.
Nilotaka kukueleza naamini umelielewa nalo ni kuwa nalifahamu somo langu
kwa kiwango cha juu sana.

Na wataalamu wa historia ya Afrika wananijua kiasi kuwa mimi ni mmoja wa
waandishi wa Dictionary of African Biographies (DAB) mradi wa Harvard na
Oxford University Press, New York.

Nina uzoefu wa watu kama wewe wa kudharau Waislam.

Katika maisha yangu nimekutana na wengi na wote tumeachana wakiwa na
adabu zao kamili kwangu.

Najua ndani ya moyo wako unakiri ukweli lakini hulka ya binadamu ni kuwa
unajikaza na umeifundisha saikoloji wako kukataa unajiambia, ''Haiwezekani
huyu Mswahili wa Kariakoo...''

Wewe si wa kwanza na hautokuwa wa mwisho In Sha Allah.

Vizuri umeaga.

Nami nakuaga na hii.

Mwaka ni 1961.
Mahali ni New Street katika ofisi ya rais wa TANU Nyerere na kabla yake
ilikuwa ofisi ya Abdulwahid Sykes.

Pamoja na Abdu Sykes na Nyerere yuko Dr. Kleruu.
Wanapanga namna ya kuandika historia ya TANU maana uhuru ushspatikana.

Abdu Sykes akaja na majadala ya baba yake Kleist akiwa katibu muasisi wa
African Association 1929.

Pamoja na nyaraka hizo Abdu Sykes kaja na shajara (diary) zake toka 1945
na nyingine kaziandika kwa shorthand (hati mkato).

Zote hizo zinaonyesha harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nyerere kashangazwa na mambo yale...

Hakuamini macho yake...
Kapigwa na butwaa kubwa.

Ukitaka nikukamilishie kilichotokea nieleze.

Nitakupa kisa kizima kuonyesha jinsi nyoyo zenu ziliavyokuwa na hasad na
choyo...

Sishangai na chuki yako dhidi yangu.

Yes he is Islamophobic amd has personal hate to you Mr. Mohamed Said, he is Schiendler, a.k.a. Max Shimba or Nicholas
 
Fundi Mchundo,
Ukiwa umeega sawa hapana neno.

Hiyo ndiyo salama kwako kwani kwa majadiliano hutoweza kunishinda kamwe.

Nilotaka kukueleza naamini umelielewa nalo ni kuwa nalifahamu somo langu
kwa kiwango cha juu sana.

Na wataalamu wa historia ya Afrika wananijua kiasi kuwa mimi ni mmoja wa
waandishi wa Dictionary of African Biographies (DAB) mradi wa Harvard na
Oxford University Press, New York.

Nina uzoefu wa watu kama wewe wa kudharau Waislam.

Katika maisha yangu nimekutana na wengi na wote tumeachana wakiwa na
adabu zao kamili kwangu.

Najua ndani ya moyo wako unakiri ukweli lakini hulka ya binadamu ni kuwa
unajikaza na umeifundisha saikolojia yako kukataa unajiambia, ''Haiwezekani
huyu Mswahili wa Kariakoo...''

Wewe si wa kwanza na hautokuwa wa mwisho In Sha Allah.

Vizuri umeaga.

Nami nakuaga na hii hapa chini:

Mwaka ni 1961.

Mahali ni New Street katika ofisi ya rais wa TANU Nyerere na kabla yake
ilikuwa ofisi ya Abdulwahid Sykes wakati alipokuwa Rais wa TAA 1952/53.

Pamoja na Abdu Sykes na Nyerere yuko Dr. Kleruu.
Wanapanga namna ya kuandika historia ya TANU maana uhuru ushapatikana.

Abdu Sykes kaja na majadala ya baba yake Kleist akiwa katibu muasisi wa
African Association 1929.

Pamoja na nyaraka hizo za baba yake, Abdu Sykes kaja na shajara (diary)
zake binafsi toka 1945 na nyingine kaziandika kwa shorthand (hati mkato).

Zote hizo zinaonyesha harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nyerere kashangazwa na mambo yale...

Hakuamini macho yake...
Kapigwa na butwaa kubwa...

Fundi Mchundo,
Ukitaka nikukamilishie kilichotokea nieleze.

Nitakupa kisa kizima kuonyesha jinsi nyoyo zenu ziliavyokuwa na hasad na
choyo...

Sishangai na chuki yako dhidi yangu.
Maneno mazito haya yaliojaa busara na hekima.
 
Chagua Source utakayoipenda kwenye hizi nilizokuwekea hapa, najua baadae utarudi.

[TABLE="class: fw-list-grid"]
[TR]
[TD="align: center"]
Islam Fastest growing religion in London...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:18 AM
91 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

Islam in US Islam is Fastest Growing Rel...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:16 AM
87 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

FOX TV News - Islam World Most Growing ....
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:16 AM
85 Views - 0 Comments

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 33%, align: center"]

ISLAM World Fastest Growing Religion acc...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:15 AM
87 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

"Islam is the fastest-growing religion i...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:14 AM
50 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

The Fastest Growing Religion in the Worl...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:13 AM
46 Views - 0 Comments

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 33%, align: center"]

BBC NEWS : Islam is the fastest-growing ...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:11 AM
46 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

Islam is Fastest Growing Religion in UK ...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:09 AM
41 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

Islam: fastest growing religion in the w...
by TM Kamal Pasha on December 27, 2013 at 5:08 AM
32 Views - 0 Comments

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 33%, align: center"]

Islam: The World's Fastest Growing Relig...
by TM Kamal Pasha on March 28, 2013 at 5:01 AM
141 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

Islam - The Fastest Growing Religion par...
by TM Kamal Pasha on March 28, 2013 at 5:00 AM
119 Views - 0 Comments

[/TD]
[TD="width: 33%, align: center"]

Islam, the Fastest growing religion, her...
by TM Kamal Pasha on March 28, 2013 at 4:59 AM
124 Views - 0 Comments
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Unajua siwezi kujizuia kukutoa ushamba. Unataka nichague source wakati zote ni kutoka kwa mtu mmoja (TM Kamal Pasha)? Huyu bias yake iko wazi katika hizo clips alizoziweka. Yaani kweli unaniwekea waislamu na Fox wakisema kuwa Uislamu ndio dini inayokuwa kwa haraka halafu unataka nikuamini?

Unajitahidi lakini umefikia tamati ya kufikiri kwako. Hapa si kijiweni kama ambavyo Mkuu wenu alivyoisha jifunza. Naondoka kwa sababu mnatia hata uvivu kujibu hoja zenu.

Amandla....
 
Yes he is Islamophobic amd has personal hate to you Mr. Mohamed Said, he is Schiendler, a.k.a. Max Shimba or Nicholas

Sycophancy will always get you in his good books. Way to go, Mr. Punjab Singh.

You are however wrong about me hating Mr. Mohamed Said. I don't hate him but I despise him and people like him.

Amandla....
 
Unajua siwezi kujizuia kukutoa ushamba. Unataka nichague source wakati zote ni kutoka kwa mtu mmoja (TM Kamal Pasha)? Huyu bias yake iko wazi katika hizo clips alizoziweka. Yaani kweli unaniwekea waislamu na Fox wakisema kuwa Uislamu ndio dini inayokuwa kwa haraka halafu unataka nikuamini?

Unajitahidi lakini umefikia tamati ya kufikiri kwako. Hapa si kijiweni kama ambavyo Mkuu wenu alivyoisha jifunza. Naondoka kwa sababu mnatia hata uvivu kujibu hoja zenu.

Amandla....
Ahahahahaha!! utarudi tena najua unahangaika kweli.
 
Unajua siwezi kujizuia kukutoa ushamba. Unataka nichague source wakati zote ni kutoka kwa mtu mmoja (TM Kamal Pasha)? Huyu bias yake iko wazi katika hizo clips alizoziweka. Yaani kweli unaniwekea waislamu na Fox wakisema kuwa Uislamu ndio dini inayokuwa kwa haraka halafu unataka nikuamini?

Unajitahidi lakini umefikia tamati ya kufikiri kwako. Hapa si kijiweni kama ambavyo Mkuu wenu alivyoisha jifunza. Naondoka kwa sababu mnatia hata uvivu kujibu hoja zenu.

Amandla....

Huna lolote kafiri mkubwa we!

Umeishiwa na hoja sasa umebaki na viroja!

Kiumbe gani husetaka kuelewa hata kwa ushahidi mzito ulopewa na kina Ritz, Mohamed Said, Punjab Singh, FaizaFoxy na wengine wengi tu!

Umekua kama yule kafiri mwenzio MaxShimba, kila akipewa nondo zenye ushahidi husonashaka, anakimbilia kujitoa fahamu na kujifanya mweu alorukwa na akili!

Wagalatia wenzio wamekukimbia kwa kuwa umegeuka kituko kwa hoja zako za kubumba zinazowatia aibu.

Hata hivyo natoa shukurani kwa kuja na kujaribu!

Ahsanta
 
Last edited by a moderator:
Unajua siwezi kujizuia kukutoa ushamba. Unataka nichague source wakati zote ni kutoka kwa mtu mmoja (TM Kamal Pasha)? Huyu bias yake iko wazi katika hizo clips alizoziweka. Yaani kweli unaniwekea waislamu na Fox wakisema kuwa Uislamu ndio dini inayokuwa kwa haraka halafu unataka nikuamini?

Unajitahidi lakini umefikia tamati ya kufikiri kwako. Hapa si kijiweni kama ambavyo Mkuu wenu alivyoisha jifunza. Naondoka kwa sababu mnatia hata uvivu kujibu hoja zenu.

Amandla....
Mie kweli ni mshamba lakini nashukuru mipini inakuingia kisawasawa, umeyaona yale Makanisa yapo sokoni lakini.

Teeh teeh teeh.
 
Fundi Mchundo,
Ukiwa umeega sawa hapana neno.

Hiyo ndiyo salama kwako kwani kwa majadiliano hutoweza kunishinda kamwe.

Nilotaka kukueleza naamini umelielewa nalo ni kuwa nalifahamu somo langu
kwa kiwango cha juu sana.

Na wataalamu wa historia ya Afrika wananijua kiasi kuwa mimi ni mmoja wa
waandishi wa Dictionary of African Biographies (DAB) mradi wa Harvard na
Oxford University Press, New York.

Nina uzoefu wa watu kama wewe wa kudharau Waislam.

Katika maisha yangu nimekutana na wengi na wote tumeachana wakiwa na
adabu zao kamili kwangu.

Najua ndani ya moyo wako unakiri ukweli lakini hulka ya binadamu ni kuwa
unajikaza na umeifundisha saikolojia yako kukataa unajiambia, ''Haiwezekani
huyu Mswahili wa Kariakoo...''

Wewe si wa kwanza na hautokuwa wa mwisho In Sha Allah.

Vizuri umeaga.

Nami nakuaga na hii hapa chini:

Mwaka ni 1961.

Mahali ni New Street katika ofisi ya rais wa TANU Nyerere na kabla yake
ilikuwa ofisi ya Abdulwahid Sykes wakati alipokuwa Rais wa TAA 1952/53.

Pamoja na Abdu Sykes na Nyerere yuko Dr. Kleruu.
Wanapanga namna ya kuandika historia ya TANU maana uhuru ushapatikana.

Abdu Sykes kaja na majadala ya baba yake Kleist akiwa katibu muasisi wa
African Association 1929.

Pamoja na nyaraka hizo za baba yake, Abdu Sykes kaja na shajara (diary)
zake binafsi toka 1945 na nyingine kaziandika kwa shorthand (hati mkato).

Zote hizo zinaonyesha harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nyerere kashangazwa na mambo yale...

Hakuamini macho yake...
Kapigwa na butwaa kubwa...

Fundi Mchundo,
Ukitaka nikukamilishie kilichotokea nieleze.

Nitakupa kisa kizima kuonyesha jinsi nyoyo zenu ziliavyokuwa na hasad na
choyo...

Sishangai na chuki yako dhidi yangu.

Shukrani sana Sheikh Mohamed Said kwa hii bayana yako!

Panapo majaaliwa ukipata wasaa japo kiduchu, tunaomba utumalizie hiki kisa nasi hapa tupate kufahamu!

Kwani wapo wanaofuatilia hizi nondo zako kama darsa tosha la historia!

Na ikiwa hujaandika, nyoyo zao upatwa na unyonge maskini!

Watu hawa wanakukubali sana ndani ya nafsi zao lakini wamejawa woga wa kukiri wazi wazi.

In Sha Allah wakati ukifika watakubali haya uyasemayo kama alivyofanya Tundu Lisu kwa kuchukua bayana zako na kuzihamishi Bungeni.
 
Last edited by a moderator:
Fundi Mchundo,
Ukiwa umeega sawa hapana neno.

Hiyo ndiyo salama kwako kwani kwa majadiliano hutoweza kunishinda kamwe.

Nilotaka kukueleza naamini umelielewa nalo ni kuwa nalifahamu somo langu
kwa kiwango cha juu sana.

Na wataalamu wa historia ya Afrika wananijua kiasi kuwa mimi ni mmoja wa
waandishi wa Dictionary of African Biographies (DAB) mradi wa Harvard na
Oxford University Press, New York.

Nina uzoefu wa watu kama wewe wa kudharau Waislam.

Katika maisha yangu nimekutana na wengi na wote tumeachana wakiwa na
adabu zao kamili kwangu.

Najua ndani ya moyo wako unakiri ukweli lakini hulka ya binadamu ni kuwa
unajikaza na umeifundisha saikolojia yako kukataa unajiambia, ''Haiwezekani
huyu Mswahili wa Kariakoo...''

Wewe si wa kwanza na hautokuwa wa mwisho In Sha Allah.

Vizuri umeaga.

Nami nakuaga na hii hapa chini:

Mwaka ni 1961.

Mahali ni New Street katika ofisi ya rais wa TANU Nyerere na kabla yake
ilikuwa ofisi ya Abdulwahid Sykes wakati alipokuwa Rais wa TAA 1952/53.

Pamoja na Abdu Sykes na Nyerere yuko Dr. Kleruu.
Wanapanga namna ya kuandika historia ya TANU maana uhuru ushapatikana.

Abdu Sykes kaja na majadala ya baba yake Kleist akiwa katibu muasisi wa
African Association 1929.

Pamoja na nyaraka hizo za baba yake, Abdu Sykes kaja na shajara (diary)
zake binafsi toka 1945 na nyingine kaziandika kwa shorthand (hati mkato).

Zote hizo zinaonyesha harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.
Nyerere kashangazwa na mambo yale...

Hakuamini macho yake...
Kapigwa na butwaa kubwa...

Fundi Mchundo,
Ukitaka nikukamilishie kilichotokea nieleze.

Nitakupa kisa kizima kuonyesha jinsi nyoyo zenu ziliavyokuwa na hasad na
choyo...

Sishangai na chuki yako dhidi yangu.

Chuki dhidi yako? You flatter yourself. Hayo ya kujibalaghua tuliishajadiliana kitambo na nikakuonyesha kuwa kwangu hazini-impress.

Kwa nini Nyerere ashangae Abdu Sykes kuwa na diary? Kwani alikuwa anadhani hajui kuandika? Hawa ni watu waliotoka mbali na kupitia mengi pamoja lakini leo unataka kutuambia kuwa Nyerere alishikwa na butwaa (wink* wink*) alipoona Abdu anda diary? Ni hizi insinuations zako ndizo ninazo zi-despise. Haraki za Uhuru zilianza toka hao vijana wakiwa masomoni Makerere na hata alipoenda Edinburg. Leo ashangae kuwa kuna watu nao walikuwa wakizungumzia harakati hizo? Hivi muda wote walivyokuwa wakikutana kwa wakina Mzee Mtamila walikuwa wanazungumzia nini kama sio historia ya harakati zao!

Wewe una chagua ya kuandika humu kwenye mtandao kujenga chuki wakati ukijua aslani kuwa sivyo ilivyokuwa. Kama ulivyosema bila aibu kuwa hakuna muislamu alihusika katika kifo cha EAMWS wakati ukijua thika kuwa walihusika kikamilifu! Yote haya katika kujaribu kumtwisha msalaba huo mwalimu na kuwaacha wakina Karume, jambia na wengine.

Mtu anayeweza kufanya hivyo ni muovu na mchochezi. Anastahili contempt ya mtu yeyote anayeitakia mema nchi yetu. Kweli ulitegemea ulipochangamkia mauaji yanayofanywa na waislamu wenzako(ubebaji wowote wa silaha madhumuni yake ni kumwaga damu) ulitegemea nikuchekee na kuku-indulge katika polite conversation juu ya kikombe cha chai? Mimi sio kama wengine, ninapoona maovu na yakemea. Na uliyoyasema ni maovu. Yanastahili kulaaniwa kwa nguvu zote.

Amandla.....
 
Back
Top Bottom