Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Mpe na hii bayana kiduchu kutoka Uingereza.Sasa unaanza viroja, nakuuliza huyo aliomba visa au alijiripua Uingereza?
Hayo ya watu maarufu kutanabahi na kuingia Uislaam na mkaanza kuwapaka matope, tumeyazowea wala hayatustui.
Na hawa Jee, walijiripua Uingereza;
Sasa jiulize, Padri tena Daktari wa Kanoni anaezini na kuzaa na mke wa mtu na kutelekeza mwanamke mwingine aliyezaa nae bila ndoa, huyo sijui unamuongeleaje?
Naona umepewa kisa kidogo na Al Alama Mohamed Said, vipi umeridhika au bado una maswali kuhusu Nyerere kujaribu kila hila kuuangamiza Uislaam Tanzania? (kashindwa) na hakuna ataeweza, si wewe, si Nyerere si Lukuvi, Hilo kumbuka. Si hapa tu, duniani unajionea wanaingia Uislaam makundi kwa makundi. Kama huyaoni basi wewe una macho lakini hayaoni, kama huyasikii basi wewe una masikio lakini hayasikii. Pole sana.
Vipi na wewe unamuunga mkono William Lukuvi kwa aliyoyaongea kanisani?
Police force gives headscarves to female officers to wear with Muslims
Avon and Somerset Police is issuing its female officers with head coverings to be used in places of worship to improve relations with Muslim communities.











