Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Unatetemeka kwa hofu, ungeandika kwa maandiko mekundu kama hujajawa na hofu, isiyo mfano< you are terrified just by the name Islam. Una tofauti ipi na Lukuvi hata usiwe na hofu?

Hebu nakuomba wewe, kama huna hofu na Uislam, nenda kibanda maiti Zanzibar ukayaseme aliyoyasema Lukuvi. Nakwambia maawee! si wewe wala si Lukuvi wala si Pengo anaethubutu hilo. Mtaongea hayo huku huku Tanzania bara tena ndani ya makanisa tu, Zanzibar! Thubutu!
Sasa wewe foxy wale ccm wenzenu sindowalikuwa wanashabikia serkal2..? tena wakasema hawatishiki nahizo habari za kibanda maiti..? tatzo ni ccm ndo imeleta hizo habar za mfumo mnaodai kristo..
 
Mfumo Kristo ulianzishwa na Nyerere.

Soma hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...the-rise-of-muslim-militancy-in-tanzania.html

CCM ni chama tu kama ilivyo vyama vingine.

CCM ni chanzo cha matatzo yote.....Lukuvi alirudia tena maneno yake pale bungeni waislam wote wakashangilia...alhaj J.k aliliona hilo wala hakukemea...umesema chanzo ni Nyerere Lissu aliposema ukweli kuhusu hilo CCM wote wakachachamaa kusema amekosea amemtukana...na wewe kila siku uko mstari wa mbele kuisifu hiyo ccm sasa kwa haya machache kwanini usijivue gamba ukawaunga mkono UKAWA..?
 
Hofu ya William Lukuvi ya kuwa Zanzibar itakuwa nchi ya Kiislaam ndio hofu ya Nyerere.

Jee, kuna tatizo lipi Zanzibar ikiwa nchi ya Kiislaam?
 
Huwa unapenda kutumia vitu vidogo vidogo ambavyo vipo visible ili kujenga hoja yako, kwa lengo la ku capture attention ya majority wenye ufinyu wa kupambanua mambo.
Kama hapa unapojaribu kuoanisha Uisilam na balaghashia. Balaghashia ni moja ya mavazi ya kichwani ya kitamaduni maeneo ya arabuni. Ukiwa huko ni sehemu ya maisha ya kawaida sana kuona watu wanaenda kanisani wakiwa wamevaa baraghashia na kanzu.
Hata hapo Zanzibar utakuta wanaweka wamevaa hijab na wanaendakusali kanisani. Inawawezekana una hoja nzuri unataka kuijenga na kuiwasilisha lakini tabia ya kuokoteza tuvitu hutu tudogo twenye mafungamano na tamaduni za watu kwa lengo la kujigeuza 'centre of gravity' inakupunguzia maksi mbele ya watu wafuatiliaji na makini.
Otherwise huwa nakusifu kwa tabia ya kupenda kuandika.

Ahsante sana.
 
Lukuvi na maCCM wenzake wanajali zaidi matumbo yao makubwa kama mapakacha. Hawako tayari kuona Zanzibar inakoma kuwa koloni la Tanganyika. Lakini ipo siku ukoloni huu utafika tamati.
 
Hivi kuvaa baragashia ni uislamu. Ukiona imani fulani inatumia silaha dhidi ya imani nyingine ujue imani hiyo nidhaifu.
 
Embu tuoneshe hapa kwa ushahidi yakinifu ili tuweze ku-substantiate hayo madai yako...yakua ati hao ulowaita Wanawake wa kizungu ndo siku hizi "wamepawa na ngono"!? Daah! Hizi blankent statements/comment zako ni madhara makubwa mno kwa Wazazi wako...kama bado hawajafa kwa karaha ya kuzaa mnyama kama wewe Nicholas mlevi! Huyo Mwanamke...walaa hajawahi kutembea na hao unaodai ati watu nje ya jamii yake...mumewe pia ni "mzungu"/mwingereza mwanzie...au hufahamu hili!? Acha/punguza kutukana makabila ya watu! Hata nyinyi Wakibosho mbona Wazazi wenu wa kiume wanawalala wake zenu kule kwenu milimani!? Na nyinyi mkirudi toka makazini/mikoa mingine walaa zile mimba ambazo hamkuzitia nyinyi...mbona hamuzikatai!? Daah! Nakukumbusha...pana uchafu na madhaifu makubwa mno hata kule kwenu migombani/milimani utokeako!
Ijui unasema hata nini? Naona unaandika vitu out of context.Anyway ndivyo mnavyowapotosha wenzenu hadi wanashindwa waelewa na kuamua kua assume mnajua.Mtaozea ktk ujinga na kuizamisha dunia kwa elimu zenu za mashariki zilizolaaniwa tangua Abraham, kuja kwa solomon alipoingiza wanwake wa mashariki na miungu yao Majinn..
 
William Lukuvi umesikiliza kanisani: [video=youtube_share;G4P3_YDkrIY]http://youtu.be/G4P3_YDkrIY[/video]
Sasa unataka solve issue ipi?Kuwa shida ni Ukristu au ni CCM?Kwani kanisani Lukuvi alifata nini na aliongea nini?Kwanini then CCM wanamtetea na kumlinda?Na kwanini kwa upande mwingine waislam wanailinda CCM kwa nguvu zote?Au kwa vile uobgozi wa juu ni wa waislam
 
Wacha kuhororoja.
 
Ijui unasema hata nini? Naona unaandika vitu out of context.Anyway ndivyo mnavyowapotosha wenzenu hadi wanashindwa waelewa na kuamua kua assume mnajua.Mtaozea ktk ujinga na kuizamisha dunia kwa elimu zenu za mashariki zilizolaaniwa tangua Abraham, kuja kwa solomon alipoingiza wanwake wa mashariki na miungu yao Majinn..

Wee kenge mlevi mbwa aka Nicholas! Bado hujafa tu!? Daah!

Mbona unaongea ovyo!?...au na weye una minyoo sugu kama yule kafiri mwanzio Diaspora wa Muleba aka Matola!? Teeh! Teeeh! Teeh!

Salaam zao!
 
Sasa unataka solve issue ipi?Kuwa shida ni Ukristu au ni CCM?Kwani kanisani Lukuvi alifata nini na aliongea nini?Kwanini then CCM wanamtetea na kumlinda?Na kwanini kwa upande mwingine waislam wanailinda CCM kwa nguvu zote?Au kwa vile uobgozi wa juu ni wa waislam

We mbulula hujajua mpaka leo tatizo liko wapi!?
Tatizo la nchi yetu NI WALEVI KAMA WEWE! ambao wanamaliza chakula tu masokoni lkn hakuna faida wanalitea Taifa!
Sasa ukiweka mtu kama wewe halafu ukaongeza na Ukristo juu yake! Hapo inakuwa ni mchanganyiko wa kufa mtu!

Kwa mtu km wewe ili upate kusaidiwa inabidi tukupige misasa ya aina mbili au tatu!

Msasa wa kwanza ni kufuta hizo gongo unazokunywa kila siku.

Wa pili ni kufuta ile fikra ya nyie wagalatia kuwa MUNGU SI MZUNGU.
Na labda ya kuongezea ni kukufudisha tofauti ya mama na mke!
Manake we mtoto ulivyolaaniwa Ukishalewa tu una tabia ya kumtongoza mara kwa mara mama Nicholas.
Na hio ni laana!
 
Last edited by a moderator:
Ijui unasema hata nini? Naona unaandika vitu out of context.Anyway ndivyo mnavyowapotosha wenzenu hadi wanashindwa waelewa na kuamua kua assume mnajua.Mtaozea ktk ujinga na kuizamisha dunia kwa elimu zenu za mashariki zilizolaaniwa tangua Abraham, kuja kwa solomon alipoingiza wanwake wa mashariki na miungu yao Majinn..
Wewe mlevi wa mapuya ulikuwa umelazwa unaumwa minyoo kama ndugu yako Matola, nakukukishieni safari hii minyoo itawatafuna mpaka ubongo mtakunywa kila dawa haitopona kauzu wewe.
 
Last edited by a moderator:
Wewe mlevi wa mapuya ulikuwa umelazwa unaumwa minyoo kama ndugu yako Matola, nakukukishieni safari hii minyoo itawatafuna mpaka ubongo mtakunywa kila dawa haitopona kauzu wewe.

Dawa ya minyoo ninayo mimi

Nawazibua mara nyingi hawa magalatia

Kama Matola nishamtibu uzurii kabisa saivi vidudu havimwashi tena

Bado huyu Nicholas bin mlevi mbwa nataka nimtibu kwa kutumia njia ile ile mashuhuri inayotumiwa na wachungaji kuwahudumia mikondoo kama akina mliwaleo aka Mlaleo
 
Last edited by a moderator:
Wewe mlevi wa mapuya ulikuwa umelazwa unaumwa minyoo kama ndugu yako Matola, nakukukishieni safari hii minyoo itawatafuna mpaka ubongo mtakunywa kila dawa haitopona kauzu wewe.
Boko haramu mna shida sana.
 
Last edited by a moderator:
Dawa ya minyoo ninayo mimi Nawazibua mara nyingi hawa magalatia Kama Matola nishamtibu uzurii kabisa saivi vidudu havimwashi tena Bado huyu Nicholas bin mlevi mbwa nataka nimtibu kwa kutumia njia ile ile mashuhuri inayotumiwa na wachungaji kuwahudumia mikondoo kama akina mliwaleo aka Mlaleo
Boko haram kutoka religion of peace....sijui mmekuja mkomboa mwanamke wakati sasa hivi mnacheza kila drama ili mpate wa kuwauza..kuanzia afghanistani,pakistani,misri,algeria ,india,..etc mnateka wanawake..si msubiri allaha kawape ktk gansters paradise..?
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Saidi, Ulichokiandika ni sahihi kabisa, ndani ya historia ya Tanganyika, waislamu wengi waliomsaidia hayati Mwal Nyerere, habari zao hazikuandikwa sana aidha kwa makusudi au kwa kutojali. Maana hata waliosaidia kutengeneza maajabu ya vita vya majimaji ni waislamu akiwamo Ally Kinjekitile, na badala yake lile jina la Ally limepotezewa kabisa na kubaki Kinjekitile Ngwale! Sijajua dhamira hasa ilikuwa ni nini! Ama kujenga umoja wa kitaifa au kuuzamisha uislamu,! Kwa hili hata mimi nahitaji uelewa zaidi ndg yangu ili nifunguke ki akili zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom