josefast
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 372
- 134
Sasa wewe foxy wale ccm wenzenu sindowalikuwa wanashabikia serkal2..? tena wakasema hawatishiki nahizo habari za kibanda maiti..? tatzo ni ccm ndo imeleta hizo habar za mfumo mnaodai kristo..Unatetemeka kwa hofu, ungeandika kwa maandiko mekundu kama hujajawa na hofu, isiyo mfano< you are terrified just by the name Islam. Una tofauti ipi na Lukuvi hata usiwe na hofu?
Hebu nakuomba wewe, kama huna hofu na Uislam, nenda kibanda maiti Zanzibar ukayaseme aliyoyasema Lukuvi. Nakwambia maawee! si wewe wala si Lukuvi wala si Pengo anaethubutu hilo. Mtaongea hayo huku huku Tanzania bara tena ndani ya makanisa tu, Zanzibar! Thubutu!