Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Hivi kuvaa baragashia ni uislamu. Ukiona imani fulani inatumia silaha dhidi ya imani nyingine ujue imani hiyo nidhaifu.

Kama wale Anti balaka wa kule Afrika ya Kati wanavyotumia silaha dhidi ya waislamu kueneza ulokole. Kweli imani hiyo ni dhaifu.
 
Mohamed Saidi, Ulichokiandika ni sahihi kabisa, ndani ya historia ya Tanganyika, waislamu wengi waliomsaidia hayati Mwal Nyerere, habari zao hazikuandikwa sana aidha kwa makusudi au kwa kutojali. Maana hata waliosaidia kutengeneza maajabu ya vita vya majimaji ni waislamu akiwamo Ally Kinjekitile, na badala yake lile jina la Ally limepotezewa kabisa na kubaki Kinjekitile Ngwale! Sijajua dhamira hasa ilikuwa ni nini! Ama kujenga umoja wa kitaifa au kuuzamisha uislamu,! Kwa hili hata mimi nahitaji uelewa zaidi ndg yangu ili nifunguke ki akili zaidi.

Majina si lazima yamaanishe imani ya mtu.
Na hapo ndio Moh Said alipojengea hoja zake, msingi wa uongo kuwa ukimkuta mtu anaitwa Ally basi lazima awe muislam.
Jaribu kutembea vijijini kama kule Tawa na Kolelo mkoani Morogoro, au katembelee maeneo ya kanda ya ziwa na mengine mengi, utakutana na akina Shabani, masoud, Rashid, Ally, juma, Asha, ambao si waislam, wanaweza kuwa wakristo au wapagani. Of course, najua most ya wananchi wa kawaida mijini wakiwa na majina hayo watakuwa waislam, but that is not always the case kule vijijini. Na hii tunaongelea.wakati huu ambapo dini za kuja zimeenea zaidi. Je nani anaweza kuwa na uhakika wa dini ya mtu kwa kuangalia jina la enzi za akina Kinje?

By the way unamfahamu mwanamuziki P.Abdul (Paula Abdul)? Ukiona P. Abdul utasema ni mwislam kumbe ni adui yenu mkuu- myahudi!

Fahamu pia kuwa kwenye vijiji vyetu familia mbalimbali zina namna zao za kuchagua majina ambayo yanaweza yasi-conform na dini fulani.
Moh Said is just a good, very good storyteller who has decided to capitalize on ignorance of some of you guys to make money and become famous.
 
Last edited by a moderator:

Unazunguka bure tu ili kukata mzizi wa fitina tutajie majina majina mawili tu ya wamapigania uhuru waliokuwa na majina ya Kiislam kumbe Wakirsto.

Bahati nzuri Waislam wote waliopigania uhuru wanajulikana kwa majina mpaka dini zao.

Hata Wakirsto waliopigania uhuru wanajulikana majina yao mpaka dini zao.
 
Majina si lazima yamaanishe imani ya mtu.
Na hapo ndio Moh Said alipojengea hoja zake, msingi wa uongo kuwa ukimkuta mtu anaitwa Ally basi lazima awe muislam.
Jaribu kutembea vijijini kama kule Tawa na Kolelo mkoani Morogoro, au katembelee maeneo ya kanda ya ziwa na mengine mengi, utakutana na akina Shabani, masoud, Rashid, Ally, juma, Asha, ambao si waislam, wanaweza kuwa wakristo au wapagani. Of course, najua most ya wananchi wa kawaida mijini wakiwa na majina hayo watakuwa waislam, but that is not always the case kule vijijini. Na hii tunaongelea.wakati huu ambapo dini za kuja zimeenea zaidi. Je nani anaweza kuwa na uhakika wa dini ya mtu kwa kuangalia jina la enzi za akina Kinje?

By the way unamfahamu mwanamuziki P.Abdul (Paula Abdul)? Ukiona P. Abdul utasema ni mwislam kumbe ni adui yenu mkuu- myahudi!

Fahamu pia kuwa kwenye vijiji vyetu familia mbalimbali zina namna zao za kuchagua majina ambayo yanaweza yasi-conform na dini fulani.
Moh Said is just a good, very good storyteller who has decided to capitalize on ignorance of some of you guys to make money and become famous.

Nanren!

Umezunguka mno kama tiara, je umekumbwa na nini!?

Kwa context hiyo...je unakataa yakua Kinjeketile hakua Muislam!? Je unakataa yakua Chief Mkwawa hakua Muislam!?

Nafikiri Mkuu Ritz,amejaribu kukuuliza utuwekee ushahidi yakinifu ili kuthibitisha japo kwa majina matano kati ya wale Wazee Wetu waliopigania uhuru wa Taifa hilo au waasisi wa ile TAA/TANU...ambao weye kwa fikara zako au umekaririshwa yakua ati walikua na majina ya Kiislam lakini walikua ni Wakristo,au!?

Kukhusu hizo khabar za cultures,customs and other traditions...nakhis hapa si pahala pake! Soote tunafahamu yayo kiundani,na hiyo topic pia ni ndefu mno!

Nani alokwambia yakua Waislam adui yao mkuu ni Mayahudi/Jews!?...kwanini isiwe Mayahudi ni maadui wakubwa wa nyinyi Wakristo!?

Au nawe pia utajifanza ati huamini hizi imani/dini za "kuletwa na majahazi"!?...very odd defensive mechanism! Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Kwani hufahamu yakua hao mayahudi ndo walomtundika Bwana Yesu pale msalabani na kumtoa roho,au!?

Sasa,nani ni adui mkubwa mno wa mayahudi kati yenu nyinyi ambae walimsulubu na hatimae kumuua yule "mungu" wenu!?...au Waislam,ambao ni kweli wao wana old feuds and/or geopolitical tension na wale Zionists!?

Ahsanta sana!
 
Dawa ya minyoo ninayo mimi

Nawazibua mara nyingi hawa magalatia

Kama Matola nishamtibu uzurii kabisa saivi vidudu havimwashi tena

Bado huyu Nicholas bin mlevi mbwa nataka nimtibu kwa kutumia njia ile ile mashuhuri inayotumiwa na wachungaji kuwahudumia mikondoo kama akina mliwaleo aka Mlaleo

Wewe mlevi wa mapuya ulikuwa umelazwa unaumwa minyoo kama ndugu yako Matola, nakukukishieni safari hii minyoo itawatafuna mpaka ubongo mtakunywa kila dawa haitopona kauzu wewe.

Ikhwani mnanivunja mbavu huku!

Teeeh teeeh teeeh! Duhh!
 
Last edited by a moderator:
We mbulula hujajua mpaka leo tatizo liko wapi!?Tatizo la nchi yetu NI WALEVI KAMA WEWE! ambao wanamaliza chakula tu masokoni lkn hakuna faida wanalitea Taifa!Sasa ukiweka mtu kama wewe halafu ukaongeza na Ukristo juu yake! Hapo inakuwa ni mchanganyiko wa kufa mtu!Kwa mtu km wewe ili upate kusaidiwa inabidi tukupige misasa ya aina mbili au tatu!Msasa wa kwanza ni kufuta hizo gongo unazokunywa kila siku.Wa pili ni kufuta ile fikra ya nyie wagalatia kuwa MUNGU SI MZUNGU.Na labda ya kuongezea ni kukufudisha tofauti ya mama na mke! Manake we mtoto ulivyolaaniwa Ukishalewa tu una tabia ya kumtongoza mara kwa mara mama Nicholas.Na hio ni laana!
Ujinga na ugaidi ni nguzo nyingine za hiyo dini yenu.Huwa mnadanganya kwa huruma ili wajinga wengine wawahurumie na kuukubali huo ujinga,majungu,umbea na fitna...Nani kakuambia kuna anayesema Mungu ni Mzungu...au ndio wale masheikh wajinga wamewadanganya na kwa jinsi msivyopenda soma ukweli basi huwa mnaamini.Km Ganster wenu mkuu alivyokuwa akichoka maswali yenu ya kijinga wakati anasaula vimwana ...akaanza waambia ujinga km sijui shetwani huja kuwakojolea wapi na wapi usiku,kwani shetani anawafaidi na kuwadhalilisha hivyo?Mungu hakuwa Mzugu na Ukristu hauna asili ya ulaya kima wewe....Ukristu ulianzia Israeli..ukaenda kwa wasomi wa Ugiriki,na Watawala wa Roma..ndio ukawa na nguvu ya kijeshi na nguvu ya kielimu toka kwa wagiriki(wayunani)..Kiyunani kilikuwa ndio lugha ya kisomi na hivyo baadhi ya maandiko ya Kikristu ya mwanzo yameandikwa kiyunani.Just as uisla ulipopata nguvu ya kisomi baada ya Uturuki kuwa nchi ya kiislam,walipata nguvu ya kijeshi na kisomi.
 
Mlevi kaharisha...by the way mchaga jambazi la mabenki linaitwa mollel limekamatwa
 
wewe acha kujidanganya, wakristo hasa wakatoliki Wwa Tanganyika mna chuki Sana na uislam na waislam, hivi zile pumba aizoomwaga #Lukuvi Ni nini kama SI chuki na uislam??

Kama kuna mkristo anaemchukia mwislam awe katoliki, protestant, TAG, SDA, huyo si mkristo. Kuna tofauti kati ya kuchukia matendo ya mtu na kumchukia mtu. Hakuna Mkristo mwenye ruhusa ya kumchukia mtu yeyote, bali aweza kuchukia matendo yasio mema ya mtu huyo. Zaidi sana ndg zangu waislam tumejaa hisia ya jazba isivyo lazima sana. Kwani ni jambo jema kama kila mmoja atatimiza wajibu wake kwa bidii ili kujipatia maendeleo ya kimwili na kiroho kuliko kuendelea na hizi jazba
 
wewe acha kujidanganya, wakristo hasa wakatoliki Wwa Tanganyika mna chuki Sana na uislam na waislam, hivi zile pumba aizoomwaga #Lukuvi Ni nini kama SI chuki na uislam??

Saju b, William Lukuvi anaposimama na kuongea sio kwamba anawakilisha mawazo ya wakristu na wala hajatumwa akaseme aliyoyasema. Halafu nawashangaa wale wanaoandama wakatoliki kuwa ni adui namba moja wa uislam kwa nini???Kumbukeni ni shule za wakatoliki zimesomesha viongozi waislam tunaowaona leo. Lakini sidhani kama shule na vyuo vingekuwa vya waislam kama mkristu angesoma. Meseji ni kwamba, tuache kuchochea chuki baina yetu waislam na wakristu mbona tunaishi pamoja kwa amani?>?? Hayo yakuletewa kutoka nje tujaribu kuchanganya na yetu ili tuuone ukweli na tuamue mstakabali wetu kwa kuzingatia misingi ya ukweli na upendo pia. Eee MUNGU walaani wote wenye kujenga chuki za kidini
 
Fugwe,
Hebu soma hapo chini:

''The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.''[1]

Huyo ni Dr. John Sivalon katika kitabu chake, ''Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985,'' (Ndanda, 1992)

[1] Ibid. p 37.
 
Dawa ya minyoo ninayo mimi

Nawazibua mara nyingi hawa magalatia

Kama Matola nishamtibu uzurii kabisa saivi vidudu havimwashi tena

Bado huyu Nicholas bin mlevi mbwa nataka nimtibu kwa kutumia njia ile ile mashuhuri inayotumiwa na wachungaji kuwahudumia mikondoo kama akina mliwaleo aka Mlaleo

Waislam bila Matusi mipasho na ushambenga hawana cha kuzungumza ila sishangai sana kwani haya ni matunda ya Madrassa na kuinamishwa sana misikitini... vitu vipo open muda wote misikitinimwendo harufu za uharo tu wakianza kuswali
 
Nanren!

Umezunguka mno kama tiara, je umekumbwa na nini!?

Kwa context hiyo...je unakataa yakua Kinjeketile hakua Muislam!? Je unakataa yakua Chief Mkwawa hakua Muislam!?

Nafikiri Mkuu Ritz,amejaribu kukuuliza utuwekee ushahidi yakinifu ili kuthibitisha japo kwa majina matano kati ya wale Wazee Wetu waliopigania uhuru wa Taifa hilo au waasisi wa ile TAA/TANU...ambao weye kwa fikara zako au umekaririshwa yakua ati walikua na majina ya Kiislam lakini walikua ni Wakristo,au!?

Kukhusu hizo khabar za cultures,customs and other traditions...nakhis hapa si pahala pake! Soote tunafahamu yayo kiundani,na hiyo topic pia ni ndefu mno!

Nani alokwambia yakua Waislam adui yao mkuu ni Mayahudi/Jews!?...kwanini isiwe Mayahudi ni maadui wakubwa wa nyinyi Wakristo!?

Au nawe pia utajifanza ati huamini hizi imani/dini za "kuletwa na majahazi"!?...very odd defensive mechanism! Daah! Teeh! Teeh! Teeh!

Kwani hufahamu yakua hao mayahudi ndo walomtundika Bwana Yesu pale msalabani na kumtoa roho,au!?

Sasa,nani ni adui mkubwa mno wa mayahudi kati yenu nyinyi ambae walimsulubu na hatimae kumuua yule "mungu" wenu!?...au Waislam,ambao ni kweli wao wana old feuds and/or geopolitical tension na wale Zionists!?

Ahsanta sana!
Wewe ndie uliitisha Sensa wakati wa maisha ya yesu ndipo ukajua Wayahudi wengi ndio waliamua Yesu auliwe na Waitalia Roman empire?
Ndio unasema Raisi kikwete amechaguliwa na Watanzania kuiongoza Tanzania ukienda kwenye idadi ya watu ni 45m na waliojiandikisha ni 20m waliopiga sijui ni 8m waliompa jk ni 4au 5m basi imekuwa Nongwa... Yesu aliuliwa na Romans full Stop kwani walikuwa na uwezo wa kutenda Haki ya ukweli na hawakuweza kwani Unabii ulishasema yatakayotokea na ikatokea bora utulie fata ya mwamedi kuua na kubaka na kuvioa vitoto...
 
Wewe ndie uliitisha Sensa wakati wa maisha ya yesu ndipo ukajua Wayahudi wengi ndio waliamua Yesu auliwe na Waitalia Roman empire? kenge wewe umachange na nick name kabisa...

Ndio unasema Raisi kikwete amechaguliwa na Watanzania kuiongoza Tanzania ukienda kwenye idadi ya watu ni 45m na waliojiandikisha ni 20m waliopiga sijui ni 8m waliompa jk ni 4au 5m basi imekuwa Nongwa... Yesu aliuliwa na Romans full Stop kwani walikuwa na uwezo wa kutenda Haki ya ukweli na hawakuweza kwani Unabii ulishasema yatakayotokea na ikatokea bora utulie fata ya mwamedi kuua na kubaka na kuvioa vitoto...

Jesus wa killed by the consent of the Jews period even we who are not Musliman we know that. The jews hates Christians, Muslimans and all other religions. They believe they are the Chosen people of God so they should rule the world.

They are racists too they hate Africans and mostly black.
 
Shukran ndugu yangu Punjab Singh kwa kumpa jawaba stahiki huyo kimapunju ajiitae mliwaleo!

Walaa hana hadhi ya kujibiwa na mie...Mamake lazim atakua ni muhuni kama yeye mwanae mwenyewe mliwaleo aka mlaleo!

Tuko pamoja Mkuu!

Ahsanta sana.
 
So Hiyo Consent ilikuwa na how many people hadi ichukue majolity ya Jews People hadi leo hii? au ushasikia wapi au kwa Mungu Gani kuwa Jews wamelaaniwa kwa kifo cha Jesus? hiyo ku hate imo ndani ya Any human body Hindu,Banian,Arab, Mehsahib African na extra..... yaani Binadamu wote even God of Ibrahim alishasema kuhusu kuchukizwa na waovu Hiyo Choosen no bady atakayekataa na ndio hivyo Ahadi aliyopewa Jacob ndio bado ipo na haiishi...

Let me Tell you when you start or made something and everybody akafurahi na akapendezwa then someone else anakuja kuanzisha chake then anachange kiaina na ulichoanzisha huku akisisitiza yupo na wewe huku akienda wrong way you will be happy? Jedaism ni old Religion after Jesus maybe 100 or 400 years later some people come and claim in different way of Jesus Teaching change the God worship day and many many do you think Judaism we be happy? come on man.... Then hao watu wakishirikiana na Watawala wa wakati huo wakaweka Sheria na kuwabagua Jews hadi leo hiyo tabia bado kuisha... Judaism ndio bado wanafuata what God has ask them to worship..

Askari wa Roman ndio walimuua Jesus.
 
Shukran ndugu yangu Punjab Singh kwa kumpa jawaba stahiki huyo kimapunju ajiitae mliwaleo!

Walaa hana hadhi ya kujibiwa na mie...Mamake lazim atakua ni muhuni kama yeye mwanae mwenyewe mliwaleo aka mlaleo!

Tuko pamoja Mkuu!

Ahsanta sana.

Pole Sana umeona Punjab ndio kichwa chako cha kukujibia ewe gezeaji.... Sasa alichojibu ni kipi kipya hadi umetaharuki na masifa umetoa? huyo Mwamedi wenu alishafananisha Sheta ni na mtu mweusi kisa cha kusingizia Jews ni kipi hadi kizidi hicho cha mwamedi...! au mapovu yanakutoka tu... Hakuna watu wabaya zaidi ya Waarabu katika ulimwengu huu na haswa ndio waliolaaniwa kwa uovu wa kila aina...

Kama Jews culture yao ni kuwa wao kwa wao ukiwabuguzi wakikasirika ndio kinakufanya ushangae?na kustaajabika...? Historia ya Maisha yao ndio wameisihi maisha ya hivyo hadi leo hii hubaguliwa haswa na hii ni kutokana na Kushika Sheria za Mungu zinazokataza maovu...Kutunza Sabato ambayo hamitaki kukataza kula vyakula na nyama zilizokatazwa kutoshirikiana na waovu n.k Ndio hali halisi ule minguluwe yako then uje kunishika mikono yako... Uabudu misanamu na mizimu yako then uje ushirikiane na mimi bega kwa bega pole sana... Tumche Mungu tuwe Sawa...

ni nani hapa Duniani asiye bagua hebu nitajie japo mmoja au hata Shehe wenu yeyote yule...
 
Back
Top Bottom