Majina si lazima yamaanishe imani ya mtu.
Na hapo ndio Moh Said alipojengea hoja zake, msingi wa uongo kuwa ukimkuta mtu anaitwa Ally basi lazima awe muislam.
Jaribu kutembea vijijini kama kule Tawa na Kolelo mkoani Morogoro, au katembelee maeneo ya kanda ya ziwa na mengine mengi, utakutana na akina Shabani, masoud, Rashid, Ally, juma, Asha, ambao si waislam, wanaweza kuwa wakristo au wapagani. Of course, najua most ya wananchi wa kawaida mijini wakiwa na majina hayo watakuwa waislam, but that is not always the case kule vijijini. Na hii tunaongelea.wakati huu ambapo dini za kuja zimeenea zaidi. Je nani anaweza kuwa na uhakika wa dini ya mtu kwa kuangalia jina la enzi za akina Kinje?
By the way unamfahamu mwanamuziki P.Abdul (Paula Abdul)? Ukiona P. Abdul utasema ni mwislam kumbe ni adui yenu mkuu- myahudi!
Fahamu pia kuwa kwenye vijiji vyetu familia mbalimbali zina namna zao za kuchagua majina ambayo yanaweza yasi-conform na dini fulani.
Moh Said is just a good, very good storyteller who has decided to capitalize on ignorance of some of you guys to make money and become famous.