Kutoka kuwa mke wa ndoa na kuwa mchepuko

Kutoka kuwa mke wa ndoa na kuwa mchepuko

Kimeumana
“Wakati huo mwanamme ni mbegu, na mashamba ya kupanda ni mengi.... mengine hayajatumika kabisa”.
Anachokosea ni kumfuatlia na kujilinganisha na mtalaka wake. Mtihani ukija kugundua ameuza uchi had i amenunua au kujenga ghorofa uanze kuumia. Tazama mbele kupambana na yako, ukijilinganisha utapoteza muda na kuumiza moyo.
 
Mkuu,kuna kitu hapa,For the past two years nimeshuhudia wanawwake kadhaa wakiondoka kwa waume zao kwa mbwembwe na kuishiwa kuwa michpeko ya mtaa.Kuna tatizo mahali inagwa sijajua hasa ni nini.
Kuna tatizo! Kosea kujenga..
 
Naona unaongea meengi ila ukweli ni kwamba bado unampenda. Mrudie tuuu...Kwani sh ngap?
Ipo hivyo unapomvumilia mpenz/mke ukiamini atabadilika nal tabia zake

So ikifika siku ukachoka ukaamua umuache aende
Haimaanishi kuwa umpendi huna tena mapenzi nae
Hapana ni vile tu umekubaliana na moyo wako kuwa haiwezekani na umeamua kusonga mwenyewe kimpango wako
So haimaanishi kuwa moyoni hayupo ila una namna ni kumuacha tu aende kuanza ypya maisha yako

Ndivyo ilivyotokea kwa jamaa
 
Mkuu,kuna kitu hapa,For the past two years nimeshuhudia wanawwake kadhaa wakiondoka kwa waume zao kwa mbwembwe na kuishiwa kuwa michpeko ya mtaa.Kuna tatizo mahali inagwa sijajua hasa ni nini.
Kuna matapeli balaaa...mke wa bro alidanganywa na dalali wa mahakama....jamaa alimdanyanya yeye ji hakimu kumbe dalali...anakaa kwenye nyumba ya kaka hake anayeishi nje ya nchi...dem kaingia king kavunja ndoa ....kumbe jamaa ana mke na watoto.
Baada ya kaka yake kurudi jamaa kapiga dem chini karudi kwa familia ...
Dem kabaki chama la wana
 
wengine wanauliza kwnn anamfwatilia?😄
...anaweza asimfwatilie lkn akasikia habari zake popote sababu walishakuwa wanandoa.
 
Back
Top Bottom