Kimeumana
Anachokosea ni kumfuatlia na kujilinganisha na mtalaka wake. Mtihani ukija kugundua ameuza uchi had i amenunua au kujenga ghorofa uanze kuumia. Tazama mbele kupambana na yako, ukijilinganisha utapoteza muda na kuumiza moyo.“Wakati huo mwanamme ni mbegu, na mashamba ya kupanda ni mengi.... mengine hayajatumika kabisa”.
Kuna tatizo! Kosea kujenga..Mkuu,kuna kitu hapa,For the past two years nimeshuhudia wanawwake kadhaa wakiondoka kwa waume zao kwa mbwembwe na kuishiwa kuwa michpeko ya mtaa.Kuna tatizo mahali inagwa sijajua hasa ni nini.
hii ndo kiiwedi“Wakati huo mwanamme ni mbegu, na mashamba ya kupanda ni mengi.... mengine hayajatumika kabisa”.
Ipo hivyo unapomvumilia mpenz/mke ukiamini atabadilika nal tabia zakeNaona unaongea meengi ila ukweli ni kwamba bado unampenda. Mrudie tuuu...Kwani sh ngap?
Kuna matapeli balaaa...mke wa bro alidanganywa na dalali wa mahakama....jamaa alimdanyanya yeye ji hakimu kumbe dalali...anakaa kwenye nyumba ya kaka hake anayeishi nje ya nchi...dem kaingia king kavunja ndoa ....kumbe jamaa ana mke na watoto.Mkuu,kuna kitu hapa,For the past two years nimeshuhudia wanawwake kadhaa wakiondoka kwa waume zao kwa mbwembwe na kuishiwa kuwa michpeko ya mtaa.Kuna tatizo mahali inagwa sijajua hasa ni nini.