Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Mkuu what is your point of reference.
Maana Ijp inaongiza idara kubwa kuliko mkurugenzi
 
Nani mwenye cheo kikubwa? Je, mtu kwa mfano akitolewa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS na kupewa U-IGP inakuwa imekaaje? Je, anakuwa kapanda cheo au kashushwa cheo nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP maana duh.!

===
Vp Commissioner wa TRA? anakaa wapi?
 
Kisheria, Idara ya Usalama wa taifa ni taasisi ya kiraia (cilivian intelligence agency) ingawa ndani yake inashughuli za kijeshi kwa kiasi kidogo.

Hivyo basi, mkurugenzi mkuu wake anafanana cheo na wakuu wa taasisi nyingine za kiraia kama vile mkurugenzi mkuu wa TMDA na EWURA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…