Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Hivi ni vyombo vya ulinzi na usalama
  1. Top Mkuu wao ni CinC- Amiri Jeshi Mkuu
  2. CDF ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
  3. DGIS ni Mkuu wa jeshi la usalama
  4. IGP ni Mkuu wa jeshi la polisi
  5. Commissioner of Magereza
  6. Commissioner of Uhamiaji
  7. Commissioner of Zimamoto
  8. Commissioner wa Tume ya madawa kulevya
P
Mkuu what is your point of reference.
Maana Ijp inaongiza idara kubwa kuliko mkurugenzi
 
Nani mwenye cheo kikubwa? Je, mtu kwa mfano akitolewa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS na kupewa U-IGP inakuwa imekaaje? Je, anakuwa kapanda cheo au kashushwa cheo nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP maana duh.!

===
Vp Commissioner wa TRA? anakaa wapi?
 
Kisheria, Idara ya Usalama wa taifa ni taasisi ya kiraia (cilivian intelligence agency) ingawa ndani yake inashughuli za kijeshi kwa kiasi kidogo.

Hivyo basi, mkurugenzi mkuu wake anafanana cheo na wakuu wa taasisi nyingine za kiraia kama vile mkurugenzi mkuu wa TMDA na EWURA.
 
Back
Top Bottom