Kutoka kwa Ahmed Ally msemaji wa Simba SC

Kutoka kwa Ahmed Ally msemaji wa Simba SC

HERY HERNHO

Senior Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
110
Reaction score
458
Katika mechi nzuri kila upande umepata unachostahili japo tulitamani kupata zaidi lakini haikua hivyo!!!

Well done boy’s 👏 jasho lenu limevuja kuipigania Simba lakini mambo yamegoma

Hongereni mashabiki wetu ambao hii leo pia mmeendelea kutuunga mkono🙏🙏
 
Ingekua Yanga ungesikia bahasha, haya leo Azam wamejifunga ngoja tusikie maelezo
NI kweli ingekuwa Yanga wangesema bahasha hawajui kiburi chao cha kujiita wakubwa ndio kinachowatafuna kwa sababu hawataki kusikia mtu alisema madhaifu ya timu yao ukiwaambia watakwambia wao wanashika nafasi ya 11 Afrika ukiwaambia watakwambia wao wakubwa wanacheza Super cup ndio wanaamini wao Tu ndio wanaoshinda kwa halali lakini Yanga Akishinda wamenunua au wameroga hawataki kusikia ubora wa Yanga Bali wanataka kusikia udhaifu wa Yanga na wanataka kusikia ubora wao hawataki kusikia udhaifu wao Hilo ndio tatizo kubwa😂😂
 
Back
Top Bottom