Kutoka kwa AY

Kutoka kwa AY

Tuache unafiki Dogo anajituma juzi nimeona kuna Ngoma kafanya na kingstone
 
Mfukuze mbali shetani anayekuambia huwezi..

Na kama hamtaji GK kwenye safari yake ya mafanikio atakua anakosea sana. GK alikua anambeba kila akirekod nyimbo enzi hizo.by then kupata pesa ya kwenda studio ilikua ishu AY alikua anadandia kwa Gk mpaka alipoizoea studio na kurekod raha tuu. GK anajua siri nyingi za Ay na Fa na hata oten ambae ngoma yake ya unanichek fedha yote ya studio katoa GK! basi tu yule mshkaji smart wala hatangazi ufadhili wake kwa hawa mastaa.
 
Sijajua kiundani kuhusu ufadhili wa Gk kwa Ay na Fa. Lakini pia usiweke asilimia zote kwamba mafanikio ya hawa jamaa yametokana na Gk.
 
Back
Top Bottom