Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfukuze mbali shetani anayekuambia huwezi..
Na kama hamtaji GK kwenye safari yake ya mafanikio atakua anakosea sana. GK alikua anambeba kila akirekod nyimbo enzi hizo.by then kupata pesa ya kwenda studio ilikua ishu AY alikua anadandia kwa Gk mpaka alipoizoea studio na kurekod raha tuu. GK anajua siri nyingi za Ay na Fa na hata oten ambae ngoma yake ya unanichek fedha yote ya studio katoa GK! basi tu yule mshkaji smart wala hatangazi ufadhili wake kwa hawa mastaa.