Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutoka kwa AY............. hongera zake
Hivi kunenepa ndo kipimo cha mafanikio?
Utaambiwa ana Vogue,Duka sinza na Eitcher mbili,Nyumba Kigamboni(Ingawa hajawai kuipost hata siku moja).
Hivi kunenepa ndo kipimo cha mafanikio?
Utaambiwa na nani!?
Kwani ni lazima kwa msanii kupost vitu vyake mtandaoni?
Usikurupuke mkuu relax,jamaa ameuliza tu kwani kunenepa ndio ishara ya kufanikiwa?