Kutoka kwa JR Farhan, Mchambuzi wa Soka la Kibongo wa Clouds Media

Kutoka kwa JR Farhan, Mchambuzi wa Soka la Kibongo wa Clouds Media

Hauwezi kupambana kimataifa Kama haufanyi mazoezi ya kimataifa.changamoto mpya ni muhimu.wewe unacheza na mbuni unakwenda kupambana na kocha aliyebeba kombe la shirikisho afrika utamuweza?
Mkuu Yanga hawana shida ndani ya uwanja wala pre season sio tatizo tatizo la Yanga ni uzoefu nje ya uwanja tunaona Simba ikifika mechi za kimataifa wanakuaje hapo ndo Yanga wanakwama
 
Tatizo tunamaliza maneno as if yanga amesha disqualify tayariii.

Hata huyo simba mwenyewe last year alienda Pre season Morroco na mwishowe alishindwa kwenda makundi CAFCL.

Hizo hoja za kwenda Pre season sijui wapi na kucheza timu gani sijuii..hazina nguvu kiivo[emoji16]..

Timu nyingi za ulaya huwa zinaenda bara la Amerika au Asia kuweka kambi ya pre season na huwa zinacheza timu ambazo average kwao..

Swala la yanga ni swala la kawaida unless mtu uongee kimahaba ila kimpira mechi bado ipo open sana.
Leo mechi ipo open? Mmeanza kumheshimu Al Hilal sasa? Sio nyie mlisema atapigwa kama ngoma?
 
Mkuu Yanga hawana shida ndani ya uwanja wala pre season sio tatizo tatizo la Yanga ni uzoefu nje ya uwanja tunaona Simba ikifika mechi za kimataifa wanakuaje hapo ndo Yanga wanakwama
Hebu nipe mfano wa hilo tatizo la nje ya uwanja na mimi nijue.
 
Leo mechi ipo open? Mmeanza kumheshimu Al Hilal sasa? Sio nyie mlisema atapigwa kama ngoma?
Nazungumzia katika angle ya kimpira sio kishabiki.

Shabiki yoyote hawezi akakuambia kua tunafungwa.
 
Nazungumzia katika angle ya kimpira sio kishabiki.

Shabiki yoyote hawezi akakuambia kua tunafungwa.
Katika angle ya kimpira ulipaswa kutambua kuwa hata Hilal nao wana mikakati ya kufuzu na tayari wameonesha hilo kwa kupata goli ugenini.
Pia kama hauongei kishabiki nilitegemea ungeongelea ni katika angle ipi yanga wanaweza kufuzu. Kusema tu kuwa mchezo uko open haina maana yoyote bali ni kujifariji tu.
 
Maoni ya mdau wa 1.......

Maneno ni mengi sana ungeandika tu kwa ufupi kuwa UTOPOLO YANANUNUA MECHI KWA KUHONGA MAREFA, TIMU, WACHEZAJI PINZANI NA WANAOJIITA WACHAMBUZI KTK LIGI ZA NDANI TU,HUKO NJE "HAWAJIWEZI" in voice of Jemedar Said
hadi mechi ya simba wananunua

mawazo ya kipuuzi haya
 
Farhan, dogo tumesoma nae mahenge kwa ndorobo sahivi anakula maisha clouds.
 
Back
Top Bottom