bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Mkuu Yanga hawana shida ndani ya uwanja wala pre season sio tatizo tatizo la Yanga ni uzoefu nje ya uwanja tunaona Simba ikifika mechi za kimataifa wanakuaje hapo ndo Yanga wanakwamaHauwezi kupambana kimataifa Kama haufanyi mazoezi ya kimataifa.changamoto mpya ni muhimu.wewe unacheza na mbuni unakwenda kupambana na kocha aliyebeba kombe la shirikisho afrika utamuweza?