KUTOKA KWA KING MSWATI: Kwenu wadadaz wa JF.

KUTOKA KWA KING MSWATI: Kwenu wadadaz wa JF.

Arushaone karibu sana dodoma, tunakula kuku chako ni chako na double h huku tukiburudishwa na waototo wa cbe na udom, posho ya laki tatu si mchezo.

huo mwaliko naupinga vikali tena kwa maandamano
 
we Arushaone huyo mkeo amekubal kwel kuwalea wana wapotevu usijishauwe kuwatoa kwa mama zao wakaja tendewa mchezo mchafu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom