Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Jirani mambo??
safi tu jirani yangu za msituni niaje huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirani mambo??
safi tu jirani yangu za msituni niaje huko
Leo niko na mke wa mmasai mwenzangu huku porini wa wili tu, sijui ni chepuke maana ananitia hamasa eti jirani?
hahahahahahaha hilo sio la kuuliza we chepuka ukimuacha atajua jogoo hapandi mtungi
Umenipaje ujasiri..
Nitaleta mrejesho.
Ila ingekuwa vipi kama ungekuwa wewe ndo mke wa mtu halafu mtu anataka kuchepuka na wewe??
Usisahau kuja kunitembelea hospitali maana nahisi kukaribisha majeraha ya mapanga...
hahahahah mimi Excel ananitosheleza sifikirii kuchepuka ukikatwa mapanga ajari kazini baba na mpaka ukatwe sime yako itakuwa wapi ?? uiweke karibu karibu mwenyewe akitokea unajihami
Ujasiri nautoa wapi wakati nitakuwa nimeshikwa ugoni,,, unacheza na fumanizi wewe.
utajitahidi kumuovertake bwana
Hapo ndo huwa ujasiri wa mwanaume unaishia...!
hahahahahaha nguvu zote zinakuwa zimeelekezwa chini eeh
Kama ulikuwepo vile jirani..
Usiku mwema.
Na log off..
hahahahahahaha hilo sio la kuuliza we chepuka ukimuacha atajua jogoo hapandi mtungi
Mbona siku zimeshakuwa nyingi sasa?
Ni miaka 2 sasa
We kama unataka kunipa ile kitu nipe tu bana .....!!