KUTOKA KWA KING MSWATI: Kwenu wadadaz wa JF.

KUTOKA KWA KING MSWATI: Kwenu wadadaz wa JF.

eeeeeh...... Mume wanguuu, ndio nini kumuitia mwanangu umati wote huo utafikiri kuna maulidi...... Mwanangu nitamfunda mwenyewe kwa taarifa yako, ole wake atakae shika fimbo anichapie mwanangu ndio atajua leba nilienda kucheza sindimba au msondo....

Cc; miss neddy

ahsante mamito ulimi hauna mfupa nisamehewe
 
Last edited by a moderator:
ahsante mamito ulimi hauna mfupa nisamehewe

usijali kipenzi changu, najua hata hilo neno 'mchepuko' maana yake hujui ila tu kwasababu umemsikia daddy wako analiongelea sana na wewe ukacopy na kupaste... Nitakufundisha yote baby baya na nzuri...... sawaeee?
 
hmmm! ba mkwe, hilo neno la mwano miss neddy, ni zito kwa kweli!

naomba nikamchape menyewe kwa bedroom! nadhani bado anakua... akifika kwenye peak period ataacha!!

unajua anaweza akasema kitu amabacho hajwahi kufanya ama hafanyi kabisa!!... mzoee tu mwanao!

hahaha thank u ningeshangaa kama ungekubali nichapwe na umati
ulimi hauna mfupa my king but ungekuwa wewe ungemshauri nini Phlagiey
 
Last edited by a moderator:
usijali kipenzi changu, najua hata hilo neno 'mchepuko' maana yake hujui ila tu kwasababu umemsikia daddy wako analiongelea sana na wewe ukacopy na kupaste... Nitakufundisha yote baby baya na nzuri...... sawaeee?

sawa mamiii mimi nilijua mchepuko ni matundapori sasa Phlagiey aliniuliza achume au asichume porini yuko peke yake nikamwambia achume madam mwenye pori hayupo
 
Last edited by a moderator:
sawa mamiii mimi nilijua mchepuko ni matundapori sasa Phlagiey aliniuliza achume au asichume porini yuko peke yake nikamwambia achume madam mwenye pori hayupo

haya baba miss neddy umemsikia mtoto? Sikunyingine maneno magumu usiongee mbele yake maana ye anayatamka tu bila kujua maana yake.

Cc: my husband Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom