Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Naona mtu mzima mwenzangu umeamua Arushaone
Arushaone ananipa headache ujue basi tu ukipenda boga...........
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mtu mzima mwenzangu umeamua Arushaone
eeeeeh...... Mume wanguuu, ndio nini kumuitia mwanangu umati wote huo utafikiri kuna maulidi...... Mwanangu nitamfunda mwenyewe kwa taarifa yako, ole wake atakae shika fimbo anichapie mwanangu ndio atajua leba nilienda kucheza sindimba au msondo....
Cc; miss neddy
Tumpe adhabu gani mkuu?
nisamehewe ulimi ulimi hauna kizuizi dady
ahsante mamito ulimi hauna mfupa nisamehewe
hmmm! ba mkwe, hilo neno la mwano miss neddy, ni zito kwa kweli!
naomba nikamchape menyewe kwa bedroom! nadhani bado anakua... akifika kwenye peak period ataacha!!
unajua anaweza akasema kitu amabacho hajwahi kufanya ama hafanyi kabisa!!... mzoee tu mwanao!
usijali kipenzi changu, najua hata hilo neno 'mchepuko' maana yake hujui ila tu kwasababu umemsikia daddy wako analiongelea sana na wewe ukacopy na kupaste... Nitakufundisha yote baby baya na nzuri...... sawaeee?
hahahahaaaaaaa.....!!Tumpe adhabu gani mkuu?
sawa mamiii mimi nilijua mchepuko ni matundapori sasa Phlagiey aliniuliza achume au asichume porini yuko peke yake nikamwambia achume madam mwenye pori hayupo
Unalog off umekuwa Washawasha wewe mmasai?
honey ba paroko hana madhara
Unasema?????????