KUTOKA KWA KING MSWATI: Kwenu wadadaz wa JF.

hilo tu ondoa shaka

Natambua kwamba we ni mke wa yule baba aliyevalia suti.
Lakini nahitaji nitoe ya moyoni..
Kuwa mke wa mtu hakuzui mtu kuelezea hisia zake juu yako.
Nivumilie kwa kweli mimi......bhana....mimi........eee....nikuambie????
 
enhe....! Nakusikiliza......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…