Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
Dah!
Sasa sakramenti si ndio bora kuliko pesa au?
Mahari yenyewe mpaka usubiri sadaka,hyo ndoa si tutaiskilizia kwny bomba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!
Sasa sakramenti si ndio bora kuliko pesa au?
Sitakung'ata ila ni haidi kama hauta mwambie huye baba mwenye kipara..
Hii iwe siri ya wawili tu..
Mahari yenyewe mpaka usubiri sadaka,hyo ndoa si tutaiskilizia kwny bomba?
Homgera sana mwanangu mungu akujalie kuitunza mimba salama hadi kufiia muda wa wajukuu kuzaliwa
Doctor ...........!!!!!
achachachahxchaaaaaaaaaaaa
Dah!
Sasa sakramenti si ndio bora kuliko pesa au?
Niambie baba
sakramenti pekee haitoshi...... Tutavaa nyasi?
hilo tu ondoa shaka
yaani bebii huyu baba ako anataka niletea balaa mie wakati nimeshakula vya watu
Natambua kwamba we ni mke wa yule baba aliyevalia suti.
Lakini nahitaji nitoe ya moyoni..
Kuwa mke wa mtu hakuzui mtu kuelezea hisia zake juu yako.
Nivumilie kwa kweli mimi......bhana....mimi........eee....nikuambie????
mamiiiii si unamuona mamdogo Passion Lady anavyonifanya eeeeeh
Mnatarajia mahari ili mvae?
Hamjui mkimpa paroko mke bure mtabarikiwa?
hujui kuwa utageuka kitega uchumi?