KUTOKA KWA KING MSWATI: Kwenu wadadaz wa JF.

KUTOKA KWA KING MSWATI: Kwenu wadadaz wa JF.

Dady etu nawdays anahesabu wajukuu tu,mamy kapumzika kufyetua mamis!mswati ndio kwanza anawatafuta aliowakataaga hadharani,atajirjuuu!pacha angu kazi anayo!

Wala usitie shaka shem, tumejipanga.

CC: Lady doctor
 
Last edited by a moderator:
anampa presha my king Excel mpaka leo nimefungiwa mlango wa chumbani sujui nitalala wapi leo

kaah! Kumbeee! Ngoja niongee nae aache kabisa kukutia presha mwanangu.... Halafu na huyu Excel anakufungia mlango ili iweje? Hajui kuna msururu wa wanaume wanajileta kutoa mahari hapa? Ye mwache achezee shilingi kwenye tundu la choo
 
Last edited by a moderator:
kaah! Kumbeee! Ngoja niongee nae aache kabisa kukutia presha mwanangu.... Halafu na huyu Excel anakufungia mlango ili iweje? Hajui kuna msururu wa wanaume wanajileta kutoa mahari hapa? Ye mwache achezee shilingi kwenye tundu la choo

mama bwana hao wanaojileta ni team bazazi mi siwataki
Excel ndo kila kitu
mom mbembeleze Excel anifungulie mlango kwanza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom