Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Juzi CCM walidai ile document niliyoposti ni ya uwongo ila watu wamejaribu kutuma hela kwenye account iliyokuwa kwenye barua na imetokea kweli. Lol
.
Hii bank account imetengenezwa special kwa ajili ya matajiri na makampuni kumwaga pesa humo na sio ombi ni amri anaegoma kuweka pesa humo litamkuta jambo. .
.
Haya CCM juzi mlisema ile barua ni feki haya tuambieni hii bank account mmeifungua kwa ajili gani? Nani anaechangia humo?