CCM ni UbwaJuzi CCM walidai ile document niliyoposti ni ya uwongo ila watu wamejaribu kutuma hela kwenye account iliyokuwa kwenye barua na imetokea kweli. Lol
.
Hii bank account imetengenezwa special kwa ajili ya matajiri na makampuni kumwaga pesa humo na sio ombi ni amri anaegoma kuweka pesa humo litamkuta jambo. .
.
Haya CCM juzi mlisema ile barua ni feki haya tuambieni hii bank account mmeifungua kwa ajili gani? Nani anaechangia humo?
View attachment 3341614View attachment 3341615
Inaleta jina gani mkuu?Umesoma namba ya account.Mbona unajichetua kama heshimu rungwe na sera ya ubwabwa
Sasa ni nini kifanyike ili kitoke madarakaniPamoja na wizi, ufisadi na rasilimali walizonazo bado bado wanataka kuwakamua wananchi... Hiki chama hakipaswi kuwa madarakani, uwezo wao wa kufikiri umeisha
Umesoma namba ya account.Mbona unajichetua kama heshimu rungwe na sera ya ubwabwa
Hizi ni taarifa (tangazo) ,mange kaleta barua.View attachment 3341619
View attachment 3341620
View attachment 3341621
Faninisha hizi na hiyo ya kwako uliyopewa na Mange
Una kazi mzeeHizi ni taarifa (tangazo) ,mange kaleta barua.
Hizo pesa zote wameomba kwa mtu mmmoja?Juzi CCM walidai ile document niliyoposti ni ya uwongo ila watu wamejaribu kutuma hela kwenye account iliyokuwa kwenye barua na imetokea kweli. Lol
.
Hii bank account imetengenezwa special kwa ajili ya matajiri na makampuni kumwaga pesa humo na sio ombi ni amri anaegoma kuweka pesa humo litamkuta jambo. .
.
Haya CCM juzi mlisema ile barua ni feki haya tuambieni hii bank account mmeifungua kwa ajili gani? Nani anaechangia humo?
View attachment 3341614View attachment 3341615
Mange kawajaza kwa kuandika SiriHizo pesa zote wameomba kwa mtu mmmoja?
Halafu mbona wanaandika SIRI
Sio kuwajaza hizo barua zimetumwa kweli kama hazijawafikia basi tuliaMange kawajaza kwa kuandika Siri
Mange anaaminika zaidi kuliko CCMMange kawajaza kwa kuandika Siri
Kuwe na wepesi katika kumiliki bunduki ili tuheshimianeSasa ni nini kifanyike ili kitoke madarakani
Ww ni kyuuumerMange kawajaza kwa kuandika Siri