Kutoka kwa Mtanzania mwenzetu Twahir Abbas

Am sure hajakutesa na hakujuwi na alifanya kazi yake kwa namna Mungu alivyomuongoza.

Lucky enough alipata neema ya kumuita cardinal na kumpa mpako na kitubio cha mwisho... kwa mafundisho ya kikatoliki he has gone clean. According to family members alianzisha ibada na nyimbo muda mfupi kabla hajapumzika kwa amani.

Hukumu zenu zitawasaidia wenyewe siku yenu ikifika. Jiombeeni kifo chema kwa maana ukifia guest na mchepuko yoso unaenda straight to hell... hutakuwa na nafasi ya toba. Na kifo ni kama mwivi.
 
Kwa wengine tunabusara za kumshukuru mama anayepika hata kama ni jukumu lake..

Kama mila zenu haziruhusu then una haki ya kutuhukumu.

Uraisi na jukumu lake ila angeweza kutofanya na tusingemfanya sh*t
 
Hata Nyakati za utawala wa Mfalme Daudi katika maadiko matakatifu walikuwepo watu waliomuombea na kulalamika kama ulivyoomba,lakini akazaliwa Yesu Kristu akajiita Mwana wa Daudi .
 
Yeye si alikuwa anajiita JIWE!! Sasa kitubio cha nini kwa Cardinal Pengo? Kama angekuwa Mkatoliki kweli asingezikwa kwa kuzungushiwa ngozi ya mnyama. Yule hakuwa na dini Ila alitumia RC kama platform ya kumuongezea umaarufu.

Mkatoliki hawezi kusimama Altareni na kubisha kauli ya Askofu wake
 
Hata Nyakati za utawala wa Mfalme Daudi katika maadiko matakatifu walikuwepo watu waliomuombea na kulalamika kama ulivyoomba,lakini akazaliwa Yesu Kristu akajiita Mwana wa Daudi .
Hilo likikuwa Shetani tu, hakuna chema kitakachotoka hapo
 
You don't need a lot of energy and time advocating for ones legacy, let's remind our leaders to do good deeds for public interest and the legacy will come calling.
And some will deny no matter what... If you ever lived you will have left a legacy .now it can be good or it can be bad..of which it's all about perceptions... So it is what it is.. and same goes for you.. I think you are equally employing so much energy to denying HIS Legacy why don't you just let it die quietly!??.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Askofu mungu boss?
Tunaliaribu kanisa tukiamini huwezi kumbishia Askofu kaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…