Wabongo bana[emoji1]Kiukweli huwezi amini kama aliyeandika hapo alimjibu mtu 'unathubutu vipi kuniuliza kama vile mimi ni binti yako wa mwisho' hapo baada ya kuulizwa kama picha aliyotuma kwenye group lao ina uhusiano na forex
Picha ilihusu nini mkuu?Kiukweli huwezi amini kama aliyeandika hapo alimjibu mtu 'unathubutu vipi kuniuliza kama vile mimi ni binti yako wa mwisho' hapo baada ya kuulizwa kama picha aliyotuma kwenye group lao ina uhusiano na forex
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hivi huyo ni Mtanzania????
Huyu ni kijana wa kipekee sana hapa nchini Na mola atamjaalia,ila kuna haja ya kuchunguza uzao wake inawezekana ni mhamiaji .........maana hiyo silka ya kujitoa kwa ajili ya wengine sio maarufu sana hapa nchini
Kiukweli huwezi amini kama aliyeandika hapo alimjibu mtu 'unathubutu vipi kuniuliza kama vile mimi ni binti yako wa mwisho' hapo baada ya kuulizwa kama picha aliyotuma kwenye group lao ina uhusiano na forex