Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,097
Kutoa ni moyo na siyo utajiri kijana mwenzetu ameliona hili kua mwaka ndio kwanza unaanza.Ni bora kupambana mapema kabisa ju ya kesho yako ya mafanikio. Na katika maisha kushikwa mkono imo tena na mtanzania mwenzio.
Tumia hii kama fursa kabisa usingoje kesho anza sasa kwa better future yako. Kama wewe unaona haikufai wengine itawafaa tu.
Hapa nitakua na weka mabandiko yake kutoka uko aliko kwa sasa.
![]()
Karibuni sana tuko pamoja kwa wenye kujali kesho yao.
Asante sana ONTARIO
Karibu mkuu [emoji120]
Ni mtanzania mwenzetu kabisa!!
Kujitoa ni moyo tu Mkuu
Tuitikie wito kwa hili sasa!! Ndio hoja mkuu