Kutoka kwa Ontario; ujumbe wa manufaa kwa baadhi yetu

Kutoka kwa Ontario; ujumbe wa manufaa kwa baadhi yetu

Kampuni ya kuwaelekeza watu jinsi ya kuvuna pesa kwenye simu au compyuta
Hela ingekuwa easy kiasi hiki.kina Bill Gate na Mzee wa Apple Steve Job- wangekuwa matrilionia!
Wacha kina Trump watutusi tu some time tunastaili kwa kweli!
Alafu watu wanamtetea jamaa wakati kuna watu hiyo Forex wanaugulia maumivu ,wengine wamekopa huenda ata vijumba vyao vitapigwa mnada...Eee Mungu tunusuru waja wako
 
Wengi mnaosoma hapa hamjaelewa kabisa
upload_2018-1-27_12-5-27.png

Mkitaka kuelewa niulizeni niwafafanue ! Kama unataka kuelewa waulizeni wanafunzi wa TMT waliahidiwa nini kwa kila mwezi
 
Huyu dogo hauwezi jua 'motive' zake hasa ni nini after all kwa age yake anatakiwa ku 'establish' sana hata hizo biashara zake ndo baade aanze ku 'coach' watu, pia hata nae anatakiwa kujua biashara zina 'ups and downs ' na kwa age yake sijui kakutana na changamoto zenyewe hasa ktk hizo projects zake na aka 'emerge' kuna muda unampeleka katika ktk lifestyle ya kina Papa msofe,Mtt wa ndama,Kizaizai nk sema dogo ni wa ki 'digitally'
 
Kwanini umerudisha mjadala wa Ontario. Wakati mwenyewe ameamua kukaa kimya?unataka watu waendelee kumsema?

Mkuu hapana sijarudisha mjadala wa FOREX. Hii ni kitu kingine kabisa ndio maana. Nimekileta kwa wenye uhitaji kama mm. Wasio n uhitaji wapite tu. Kama umesoma vzr mwanzo wa bandiko utakua umenielewa
 
Huyu dogo hauwezi jua 'motive' zake hasa ni nini after all kwa age yake anatakiwa ku 'establish' sana hata hizo biashara zake ndo baade aanze ku 'coach' watu, pia hata nae anatakiwa kujua biashara zina 'ups and downs ' na kwa age yake sijui kakutana na changamoto zenyewe hasa ktk hizo projects zake na aka 'emerge' kuna muda unampeleka katika ktk lifestyle ya kina Papa msofe,Mtt wa ndama,Kizaizai nk sema dogo ni wa ki 'digitally'

Hahahahaha!!!!
 
Mkuu hapana sijarudisha mjadala wa FOREX. Hii ni kitu kingine kabisa ndio maana. Nimekileta kwa wenye uhitaji kama mm. Wasio n uhitaji wapite tu. Kama umesoma vzr mwanzo wa bandiko utakua umenielewa
Hakukuwa na ulazima wa kumtaja jamaa.
 
Mimi ni injinia na kazi zangu nyingi nafanya kwa "kuclick maus ya kompyuta"....Hapo unasemaje? bado una amini siwezi ingiza pesa kwa kuclick mouse ya computer?
Wewe ndo yule injinia mwenye jina kama la chama cha China ya zamani?
 
Back
Top Bottom