Kutoka kwa Ontario; ujumbe wa manufaa kwa baadhi yetu

Kutoka kwa Ontario; ujumbe wa manufaa kwa baadhi yetu

Kutoa ni moyo na siyo utajiri kijana mwenzetu ameliona hili kua mwaka ndio kwanza unaanza.Ni bora kupambana mapema kabisa ju ya kesho yako ya mafanikio. Na katika maisha kushikwa mkono imo tena na mtanzania mwenzio.

Tumia hii kama fursa kabisa usingoje kesho anza sasa kwa better future yako. Kama wewe unaona haikufai wengine itawafaa tu.

Hapa nitakua na weka mabandiko yake kutoka uko aliko kwa sasa.
1987206371dce54dd97ad014cb7989bc.jpg

Karibuni sana tuko pamoja kwa wenye kujali kesho yao.
Kwahiyo sasa hivi mnaumiziana huko DM?
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] eeh!! Dogo noma sana huyo hakuna haja ya kufanya kazi unajiunga unavuna madolari
Wanaume wa jf wanashobokeaga vitu sana.kuna mmoja aliniambia anilipie training ya forex nikamwambia nimpe mtaji nikauze nyanya .akaniona fala.hajawai kupata hata mia anajilaumu sasa
 
Wanaume wa jf wanashobokeaga vitu sana.kuna mmoja aliniambia anilipie training ya forex nikamwambia nimpe mtaji nikauze nyanya .akaniona fala.hajawai kupata hata mia anajilaumu sasa
Naww uliahidi kumpa nn?
 
kawombe Kuna kitu akipo sawa.naisi again hii ni ID ya huyo OTARIO ! Why asipost yeye mwenyewe??? Ameliza watu na hayo maforex yake,now anakuja kivingine...uwezi vuna hela kwa kuClick Maus ya Computer

Hahahahaha hapana mkuu mm ni mm yeye ni yeye (watu wawili kabisa mkuu)ondoa shaka kiongozi.
 
Mkuu umewaza vema jamaa kaleta post y ontario halafu yeye ndo anakaribisha watu na kujibu maswali.
Multiple Id[emoji2] [emoji2]

Mm ni kawombe tu siwezi kuleta bandiko hapa kisha nilitelekeze Mkuu. Ni watu wa wili tofauti kabisa.
 
Wanaume wa jf wanashobokeaga vitu sana.kuna mmoja aliniambia anilipie training ya forex nikamwambia nimpe mtaji nikauze nyanya .akaniona fala.hajawai kupata hata mia anajilaumu sasa
Watu wameliwa sana, watu wamekula mitaji, watu wamepata stroke na frustration ya kufa mtu..

Yaani mi ninaowajua kitaa ni kama 15, haloo wamechanganyikiwa!
 
Kuna watu wana nyota za kuchukia wenzao
 
wangepatikana vijana kama hawa kumi daaah mi binafsi
namkubali amenifanya nijue vingi ambavyo ningechelewa kuvijua ningejutia sana but nimevijua mapema
 
Back
Top Bottom