Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Ni kitu gani natetea mkuu, mbona sitetei kitu! au wewe unaona nini natetea?Kitambo tu bro ...lakini unanipa wasiwasi inavyotetea hii ishu kana kwamba hawaliwi! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua hata kama alitoa sababu, swali linakuja je hizo sababu wakati akiahidi mwazo hakuzifahamu??Kwani hakusema kwanini anachaji?
Usihangaike kuwajibu watu ambao wameshakata tamaa ya maisha maana wanaweza kukujibu chochote. Hata hiyo simu yake (smartphone) aliyotumia kupost kwenye hii thread pia ni computer kama hajui hilo. Wanaoiponda forex ni wale walio waliozoea spoon feeding shuleni. Huwezi kuwa professional trader wa forex kwa semina ya Ontario ya masaa kadhaa tu kwa siku tano. Elimu huwa ni endelevu na haijawhi kumalizwa na mtu yoyote katika dunia hii ila kwa mfuatiliaji wa mambo mambo ukisoma forex kwa njia mbalimbali ikiwemo mitandao na kufanya demo trading za kutosha unaweza kupata uzoefu mkubwa sana utakaokuwezesha kuvuna pesa katika forex. Kama mtu unaweza kuvuna hadi dolla 2000 - 10000 kwa mwezi hata ndani ya wiki au wiki mbili kulingana na mtaji wako na risk taking yako hilo si jambo dogo. Waache waendelee kuiponda forex. Hao ndio wale sizitaki mbichi hizi!!Mimi ni injinia na kazi zangu nyingi nafanya kwa "kuclick maus ya kompyuta"....Hapo unasemaje? bado una amini siwezi ingiza pesa kwa kuclick mouse ya computer?
Sio kwamba namtetea ila lazima tujue mambo yana change, leo utapanga kesho utumie gari kwenda dsm ukaamka ukakuta gari halipo, so lazima utafute alternatives!!Unajua hata kama alitoa sababu, swali linakuja je hizo sababu wakati akiahidi mwazo hakuzifahamu??
Hata shuleni kuna wanao feli na wanao fauluNaona tapeli kajaa kivingine mwambie mwaka huu atafunga ile ofisi yake ya kamari tumechoka kupata hasara
hahahahh...amekopa kopaKuna mmoja huyo mkaka amekopa kopa maskini hajapata kitu!...basi anaongea mwenyewe barabarani
Maneno anayoongea sasa mmmh, anawataja wote!
Ontario hongera sana, vyeti vyangu vimeoza kwa vumbi kabatini 6'yrs!!!!Jamii forums mnashiriki kwenye kampeni za ujambazi za huyu kijana..
Haya mabandiko ya misukule yake humu imelenga kwenye UTAPELI, SIFA NA UKWEZI ambao hauna tija yoyote humu. Jukwaa hili limegeuzwa kijiwe cha habari za udaku kuhusu huyu mwizi.
Ni wendawazimu kufuta nyuzi au kuunganisha nyuzi za watu wengine na kuacha nyuzi za sifa za kijinga zaidi ya moja humu.
Uzi huu hauna maana yoyote humu..ni ujinga tupu
he he!😀NENDA TMT YA ONTARIO JANGID PLAZA,OYSTERBAY OFISI NO 211 KWA MSAADA ZAIDI